Historia ya Uhuru isimuliwavyo na Mohammed Said yakosolewa

Historia ya Uhuru isimuliwavyo na Mohammed Said yakosolewa

Kuna watu huwa wanafikiri kwamba wanammiliki Mungu. "wenzenu" wa upande wa kushoto ni kina nani tena hao, na nyie ni nani kawaambia kwamba mko mkono wa Kulia?

Hiyo homework yako ya leo.

Kumbuka Mohamed said yupo katikati kuna walio kuliani kwake na wale wa kushotoni kwake.
Sasa tafuta wa kuliani kwake ni nani na wa kushotoni kwake ni nani.

Usipende kurahisishiwa kila kitu
.
 
Lengo lako likiwa ni nini? OIC ni sawa na Clinton Foundation au Aghakhan?

OIC umeitaja wewe mimi wala sipo huko.

Nilikuomba unifahamishe sifa za nchi ili iwe nchi na kutambulika kimataifa na kitaifa. Na sifa za taasisi kama AgaKhan au Clinton foundation. Ili tujue Vatican inasimama wapi?
 
Hiyo homework yako ya leo.

Kumbuka Mohamed said yupo katikati kuna walio kuliani kwake na wale wa kushotoni kwake.
Sasa tafuta wa kuliani kwake ni nani na wa kushotoni kwake ni nani.

Usipende kurahisishiwa kila kitu
.
Mimi nilidhani kwamba kushoto kwa mungu. kama ni kushoto kwa Mohamed mimi naomba niwe wa kwanza kuwa kushoto kwake, lakini kama ni kushoto kwa Mwenyezimungu hakuna binadam awezaye kuamua hatima yangu bali ni mwenyezimungu mwenyewe!!
 
Ahsantu kwa darsa hii.

Hakika kila mtenda mabaya basi Mola atamlipa sawa na matendo yake na mtenda mema halikadhalika. Adam nasib na Alhaj Kundya watakumbukwa daima.

Lakin Pia nakuombea kwa mola Sheikh Mohamed Said akujaalie kila lenye kheir na kukukinga na shari za wenzetu wa upande wa kushoto
.

Ndugu yangu Barubaru,

Allah SW anaonyesha hapa hapa duniani.
Adam Nasib kafa usiku hadi kufika asubuhi Allah Akbar...

Sina kinywa cha kueleza hali iliyotokea haraka wamemkimbiza kumzika.
Nadhani umenielewa.
Wala Waislam na wale aliowatumikia walikuwa na habarinae.

Kafa mpweke.

Mie nimemuona mwisho wake.
Sikuamini kuwa huyu ndiye yule.

Kadhalilila mwisho wa kudhalilika.
Kavaa kanzu utadhani kaitoa katika pipa.

Alikuwa funzo kwetu nini unakuwa mwisho wa wanaompiga vita Allah.

Mohamed
 
Hakika malipo yana anzia hapa hapa duniyani.

Nakumbuka maneno haya ya Maalim wangu wa Madrasa Unguja (maalim bakathiri) kuwa malipo yote ya mja yanaanzia hapa Duniani na kumalizikia mbinguni.

Naona kwa Adam yalithihiri.

Ahsantu Sheikh Mohamed kwa darsa. Kumbuka pia tuna kiu sana kwa kusubiri darsa zaidi kutoka kwako.
 
Mvurugaji ww. Huna cha maana unachoongea. Unachukuwa nusu ya sentensi unaitafsiri utakavyo! 'out of context' nani kakuambia ni Masheikh wa wakristo? Au......
Tatizo unasoma majadiliano haya kwa hisia na jaziba wala hutulizi akili yako ukayatafakari kwa akili. Acha kufikiri kwa moyo. Hata hivyo Sikulaumu ndugu yangu, namlaumu mzee Mohamed aliye pandikiza chuki kwako...."thus you have lost all the rational thinking." Kwani Barubaru unayemjibia hapa anapo sema "masheikh wa Bakwata na Masheikh wawaislam"... anamaana gani?Tuliza akili yako, achana na sumu ya huyo mzee wenu, haina manufaa kwenu wala kwa mtu yeyote isipokuwa yeye mzee Mohamedi.
 
Swali labda lipelekwe mbele zaidi. Wanapowaita ni "second class citizens" wanawapimia nini? Dini yao, hali yao ya maisha, elimu yao, utajiri au kitu gani?

a. Haiwezi kuwa dini - kwa sababu hakuna nafasi yoyote nchini ambayo Muislamu amewahi kukataliwa kuishika. NONE.
B. Haiwezi kuwa elimu - kwa sababu wapo Waislamu wengi waliosoma na wanaoendelea kusoma nchini na hakuna shule yoyote ambayo inakataza - kama kanuni au mfumo - Waislamu kuingia isipokuwa zile ambazo zimetengwa kwa ajili ya mafunzo ya kiroho ya waumini wa dini hizo.
c. Haiwezi kuwa hali - kwa sababu hali ya maisha inawakuta Wakristu sawasawa na Waislamu, Wapagani sawasawa na wenye kuamini imani nyingine.
d. Haiwezi kuwa utajiri - kwa sababu hakuma Muislamu tajiri ambaye amenyang'anywa utajiri wake au kukatazwa asiwe tajiri kwa sababu ni Muislamu.

Kwa hiyo, huu 'usecond class' tunaoambiwa ambao unaimbwa kuwafanya Waislamu watembee kwa aibu kwenye nchi yao au kujiona kuwa 'hawalingani' unatokana na nini? Utaona kuwa karibu mara zote ni viongozi wa Kiislamu au Waislamu viongozi ambao hutoa kauli zenye kuwafanya Waislamu wajione duni.

"Waislamu someni kama Wakristu"
"Waislamu tukuzeni elimu"
"Waislamu kwanini nyini nanyi msiombe MoU kama Wakristu"
"Waislamu... "

Hakuna kiongozi Mkristu ambaye amewahi kutoa kauli za namna hii. Cha kushangaza viongozi wanaosema hivyo ni Waislamu! Sasa kwanini wanataka wenzao wajione duni?

Unajua nani katia hao wanaotoa kauli hizo? Viongozi wa BAKWATA chini ya maagizo ya serikali. This is what is called psychological war fare kama ambavyo wazungu US and UK na European hasa nchi za Ujerumani, Austria, France, Spain and Italy wanavyotoa kauli kama hizo kwa jamii ya watu weusi.

Prime Minister wa UK alizungumza hivi ilipotokea london riots "London riots are caused by complicated factors including children who are brought up in deprived areas. My government will start several pilot projects in association with the black-british community association in london, religious institution groups etc". The mindset of the government na wazungu ni kwamba mtu mweusi is a second class citizen na hata media zao ukiangalia ziko katika kuweka picha watu weusi ni matarishi, wafagizi na nk. That is to say is not the truth. Watoto wanaofanya vizuri elimu ya primary na secondary ni watoto wanaotoka katika familia maskini including blacks. Watoto walioko katika universities wengi hasa katika field of science are blacks. Waliofanya london riots wengi sio blacks ni wazungu maskini. Let me ask you a question why do you think they keep doing that?

Similar statements zinatolewa na serikali na la kushangaza basi sio kweli. Waislamu wengi wanasoma. Evidence of that pita katika vyuo vikuu vingi lecturers wengi are muslims na the number is rising. Nenda private sectors muslims wako wengi wanafanya kazi huko. Sekta ya kujiajiri pia waislamu wengi wapo wamejiajiri na kujipatia vipato vyao. Sasa kwanini serikali inaamini waislamu hawajasoma? Were do they get the data to say waislamu hawajasoma? Au ndio wanaangalia serikalini katika taasisi zao na kuona kwa vile waislamu ni wachache basi Tanzania nzima waislamu hawajasoma. Acheni udini wenu that is the truth in Tanzania Muslims are second class citizen kama walivyo watu weusi marekani na Europe.

Kwa kuongezea asubuhi katika kusoma magazeti ya duniani nimekutana na habari hii nafikiri inasupport nachokizungumzia kuhusu ulaya na US na their interpretation of ethnic minorities:

Ethnic minority pupils increase by 57% in a decade

_56734978_003741538-1.jpg
The geographer's study looked at the changing population of England's secondary schools

The number of ethnic minority pupils in England's secondary schools rose by 57% in a decade, according to research from King's College London.

The study by Chris Hamnett looked at the changing demographics of schools between 1999 and 2009.

In inner London, 67% of secondary pupils are from ethnic minorities, says Professor Hamnett.

Gathering such data is important for understanding the future make-up of the population, he says.

The study, from the geography department of King's College London, reveals a "very substantial" shift in the population, which Professor Hamnett says represents an "irrevocable" change.

Changing places The 57% increase in ethnic minority pupils contrasted with an overall secondary school population rise of 4.7% - and a slight decline in white pupils, a figure that also includes migrants from eastern Europe.

Across the country, the proportion of ethnic minority pupils has risen in a decade from 11.5% to 17% - and Professor Hamnett forecasts that it is set to rise again to 20%.

He found a pattern of an increasing proportion of ethnic minority pupils in big cities, particularly London.

"London as a whole now has an ethnic minority dominated secondary school system, akin to that of many large US cities, and the figure reaches 67% in inner London," says Professor Hamnett.

"This is also true of a small number of other towns and cities with large ethnic minorities, notably Slough (64%), Leicester (58%), Birmingham (52%) and Luton (51%). Manchester and Bradford are not far behind with 43%."

Professor Hamnett says that this is not about recently arrived children, these are children born in England.

And patterns of birth rates indicate that the proportion of ethnic minority pupils will increase in the next decades.

Such changes have become a lasting feature of the ethnic make-up of England's population, he says.

But he also says it shows a picture of ethnic minority families moving out to towns and suburbs across England.

"We're not looking at minorities being trapped or ghettoised in small areas. There's a process of suburbanisation," says Professor Hamnett. This was particularly the case for Asian families, he says.

Among the biggest increases were areas such as Merton, Croydon and Enfield.

New majority There are also wide differences in the ethnic breakdowns of schools in different parts of the country.

In places such as Knowsley, Cumbria and Durham, fewer than 2% of pupils are from ethnic minorities. In Brent, Tower Hamlets and Newham in London, the figure is above 80%.

Such changes will also eventually mean "revisiting" the language of minorities and majorities, he says.

This relationship between schools and ethnicity has many sides - with wide variations in achievement between different groups. White working class boys have been identified as particular underachievers.

The relatively high performance of schools in inner London has been attributed to the impact of ambitious immigrant families.

Professor Hamnett says it is important to gather such objective data showing the population in schools - which will become the future adult population.

"Let's have the evidence, even if it is politically difficult," he says.

"If we're interested in addressing inequalities in education and access to university, it's only possible if we have gathered the data.

"Once a society stops talking about this, it's the worst kind of self-censorship."

Source: BBC
 
Kama kuna mifano mingi si ungetoa hata mmoja? Lakini pia ufahamu mambo ya Al Qaida yameanza wakati Nyerere ni marehemu tayari. Kuna jambo la maana la kujiuliza, misikiti iliyopo haitoshelezi, tatizo la waislam linalolalamikiwa na Mohamed Said ni ukosefu wa sehemu za kuabudia za Waislam?

Mimi ninavyoelewa ni kwamba watu wengi wanaopinga kujiunga na OIC hoja yao kubwa ni kwamba OIC kuna kipengele ambaocho kinataka mwanachama wake awe ni nchi yenye kuhimiza ujenzi wa dini ya Kiislam au ni nchi ya Kiislam kupitia serikali.

Wakati fulani Mohamed na wenzake walikuwa wanadai mbona Vatican wana ubalozi hapa nchini kwa nini OIC wanazuiliwa. Mimi si mkatoliki lakini katika vitu ninavyoelewa ni kwamba Vatican ni nchi lakini inayoendeshwa kidini kama ilivyo kwa Iran, Saudi Arabia, Uingereza au Uturuki. Haitakuwa ajabu kwa Saudi Arabia kuleta Balozi wake akiwa na sifa ya Ulamaa. Vatican ni nchi na OIC ni shirika la Kiislam linalohimiza ujenzi wa Uislam kupitia serikali, na sisi tunataka serikali yetu isijuhusishe na ujenzi wa dini yoyote ile.

Katika watu wanaounga mkono uanzishwaji wa mahakama ya Kadhi mimi ni mmojawapo. Lakini pia katika watu wanaopinga mahakama ya Kadhi kuingizwa kwenye katiba yetu mimi ni mmojawapo. Wakristo wanasheria yao ya kanisa ya mambo ya ndoa inayosema kwamba "alichokiunganisha mungu, mwanadamu hatengeui" lakini kwa sababu sheria hiyo ya kanisa haitambuliwi na katiba yetu, hao hao waliofunga ndoa kanisani wakienda kwenye mahakama za kawaida za serikali ndoa yao inatenguliwa. Kanisani watatengwa na hawataruhusiwa kuoana tena nje ya ndoa yao ya awali, lakini kwa sheria ya nchi ndoa yao haipo tena na wanaruhusiwa kuoana na mtu mwingine.

Jamii yetu imechanganyikana sana, tunataka mahakama ya kadhi iwe na nguvu kwenye misikiti lakini siyo kwenye kila nyanja ya maisha ya watanzania. Hebu fikiria kuna mwanamke ameishi na mume wake kwa miaka 20 na kuchuma mali mbali mbali, lakini mume huyo anataka waachane na anapeleka Kesi yake kwenye Mahakama ya Kadhi inayotambuliwa na Katiba, mwanamke si muislam. Haki ya huyo mwanamke itallindwa vipi na mahakama ya Kadhi wakati katiba inatamka masuala yote ya ndoa za waislam yatashughulikiwa na Mahakama ya Kadhi wakati mwanamke mwenyewe si muislam?

There you are wewe sio mwislamu nimeshakukamata. Nani kakuambia vatican nchi sheria ipi inasema Vatican nchi? What does an international law says about the definition of the country. Kama barubaru alivyokuambia jambo usilolijua ni kama usikuwa kiza nenda Italy pale rome kuna kisehemu kinaitwa Vatican City jiulize nchi hiyo imetokea wapi. Vatican ni taasisi tu kama zilivyo taasisi zenginezo duniani kama Clinton Foundation, au Aga Khan foundation.
 
Unajua nani katia hao wanaotoa kauli hizo? Viongozi wa BAKWATA chini ya maagizo ya serikali. This is what is called psychological war fare kama ambavyo wazungu US and UK na European hasa nchi za Ujerumani, Austria, France, Spain and Italy wanavyotoa kauli kama hizo kwa jamii ya watu weusi.

Prime Minister wa UK alizungumza hivi ilipotokea london riots "London riots are caused by complicated factors including children who are brought up in deprived areas. My government will start several pilot projects in association with the black-british community association in london, religious institution groups etc". The mindset of the government na wazungu ni kwamba mtu mweusi is a second class citizen na hata media zao ukiangalia ziko katika kuweka picha watu weusi ni matarishi, wafagizi na nk. That is to say is not the truth. Watoto wanaofanya vizuri elimu ya primary na secondary ni watoto wanaotoka katika familia maskini including blacks. Watoto walioko katika universities wengi hasa katika field of science are blacks. Waliofanya london riots wengi sio blacks ni wazungu maskini. Let me ask you a question why do you think they keep doing that?

Similar statements zinatolewa na serikali na la kushangaza basi sio kweli. Waislamu wengi wanasoma. Evidence of that pita katika vyuo vikuu vingi lecturers wengi are muslims na the number is rising. Nenda private sectors muslims wako wengi wanafanya kazi huko. Sekta ya kujiajiri pia waislamu wengi wapo wamejiajiri na kujipatia vipato vyao. Sasa kwanini serikali inaamini waislamu hawajasoma? Were do they get the data to say waislamu hawajasoma? Au ndio wanaangalia serikalini katika taasisi zao na kuona kwa vile waislamu ni wachache basi Tanzania nzima waislamu hawajasoma. Acheni udini wenu that is the truth in Tanzania Muslims are second class citizen kama walivyo watu weusi marekani na Europe.

Ahali yangu Mdondoaji,

Hapa naona umemaliza kila kitu. Kwani kawaida kabisa kwa anaedhulumu kujiona ana haki zaidi ya yule anayedhulumiwa. Tena kwa maneno ya kejeli ya kifedhuli. Lakin siku zote mdharau mwiba basi mguu unaota tende.

Allah akubarik sana
 
Tatizo unasoma majadiliano haya kwa hisia na jaziba wala hutulizi akili yako ukayatafakari kwa akili. Acha kufikiri kwa moyo. Hata hivyo Sikulaumu ndugu yangu, namlaumu mzee Mohamed aliye pandikiza chuki kwako...."thus you have lost all the rational thinking." Kwani Barubaru unayemjibia hapa anapo sema "masheikh wa Bakwata na Masheikh wawaislam"... anamaana gani?Tuliza akili yako, achana na sumu ya huyo mzee wenu, haina manufaa kwenu wala kwa mtu yeyote isipokuwa yeye mzee Mohamedi.

Gwalihenzi,

Labda kwa sababu nipo nje ya Tz labda nimepitwa na wakti. Lakini ukipitia kwenye mtandao au hata magazeti ya huko. mfano siku ya swala ha Eid el fitr wamemuonyesha Makamo wa Rais Muungano Dr Bilal akiwa pamoja na (imeandikwa hivi) Mufti wa Bakwata Sheikh Simba, Sheikh wa Bakwata mkoa wa Dar sheikh Adi, Sheikh wa Bakwata mkoa wa kigoma ndivyo wanavyoitwa.

Nisaidie kulichunguza hilo na utaliona wazi kisha nikosoe kama nitakuwa nimekosea.
 
Ahali yangu Mdondoaji,

Hapa naona umemaliza kila kitu. Kwani kawaida kabisa kwa anaedhulumu kujiona ana haki zaidi ya yule anayedhulumiwa. Tena kwa maneno ya kejeli ya kifedhuli. Lakin siku zote mdharau mwiba basi mguu unaota tende.

Allah akubarik sana

Ahali yangu Dr Barubaru (ijapokuwa waislamu sie si aghlabu kupenda kuitwa Madr na Maprofessa but you deserve it kwani unayo hiyo PhD).

Kitu kimoja wanachoshindwa kufahamu hawa ndugu zetu waislamu ni kuwa zama zinabadilika na wao fikra zao lazima zibadilike. Fikra za ndugu zetu nyingi naweza kuzisummarise kama "Mswahili syndrome". This is a derogatory slur ambayo viongozi wa serikali have been using for a long time towards muslims Tanzanians. Ukienda nao katika mabaa utawasikia ah unakuwa kama mswahili bwana nyie waislamu ni waswahili tu. Wanasahau mswahili ni kabila na wenyewe they are proud of their tribe. But when you associate uswahili with some negative aspects such as illiteracy, wizi, uzembe, na other negative attitudes to the society that accounts to institutional racism. That is something which has been in the country for a very long time. Mwaka huu mwezi tatu au nne Spika wa bunge alichemka na kusema ati bunge limekuwa kama waswahili wa kariakoo akimaanisha bunge limekosa maadili na mwenendo wa kistaarabu.

Nikashangaa Human Rights and Legal centre wameshindwa kumshitaki Spika huyu kwani this is Institutional Racism. Ingelikuwa Speaker wa Congress Marekani amesema hayo nakuhakikishia ingelikuwa scandal ambayo hatasahu. Vile vile Obama angelikuwa na wakati mgumu sana kulipatia jibu murua. Mama Nkya kazi yake ni kufuatilia masuala ya Richmond na ajenda za chadema lakini activities za ubaguzi nchini wala hana habari nazo. Where is the Human right free of racist insult?

Waislamu wa sasa wengi ni waelewaje na wanafahamu kitu gani kinaendelea ndio maana unaona sasa hivi malalamiko ya maaskofu kila siku yanazidi kwani wanaona wanaelekea ukingoni. Serikali inatoa matamko kuonyesha uduni kwa waislamu wakati wangelitoa taarifa za waislamu wangapi wamegraduate universities tungelikuwa tunazungumza mengine. Vile vile kwanini kama wameona kuna tatizo basi wasilifanyie kazi kimya kimya action speak louder than words. I do not think it is wise kuwaambia wananchi waliokupigia kura kuwa jitahidini kusoma au nyie hamjasoma watakuuliza tulikuchagua utusadie sasa wewe una mchango gani kusaidia tusome??? Instead wawekee mazingira mazuri ya kusoma, kuwekeza katika usomaji na kuwahamasisha kusoma uone kama hawatasoma.

Kuna shule mmoja inaitwa Feza Boys mwaka huu wa fedha imetoa division 1 and 2 karibu wote form six bila ya kuwepo division 0 wala division 4 lakini there is no media coverage kuwahamasisha waislamu mnaosema hawajasoma. Badala yake media coverage is Feza ya mama Salma Kikwete. Feza school hawalipi kodi, Feza ya waturuki. Feza shule ya mafisadi. Swali moja why? Kuna watu wabaguzi hawajijui kama wabaguzi nasikitia tunaelekea kama Nigeria kama hatujawa makini.

Sipendi lolote litokee kwani sifurahii hilo jambo ila tabia zetu zitatupelekea tusikokutaka.
 
Gwalihenzi,

Labda kwa sababu nipo nje ya Tz labda nimepitwa na wakti. Lakini ukipitia kwenye mtandao au hata magazeti ya huko. mfano siku ya swala ha Eid el fitr wamemuonyesha Makamo wa Rais Muungano Dr Bilal akiwa pamoja na (imeandikwa hivi) Mufti wa Bakwata Sheikh Simba, Sheikh wa Bakwata mkoa wa Dar sheikh Adi, Sheikh wa Bakwata mkoa wa kigoma ndivyo wanavyoitwa.

Nisaidie kulichunguza hilo na utaliona wazi kisha nikosoe kama nitakuwa nimekosea.

Barubaru,

Tatizo kubwa kabisa lililowasibu ndugu zetu ni kutoelewa historia ya Tanganyika. Kwa takriban miaka 50 wakiamini historia ya uhuru wa Tanganyika ni ile ya Nyerere. Umeshuhudia hapa kishindo walichokipata baada ya mimi kuwaeleza historia nyingine kabisa ambayo imejaa michango ya Waislam.

Sasa hata yale yaliyokujatokea baada ya uhuru yaani mapambano ya Waislam na Nyerere katika kutaka mabadiliko ya kweli historia yake hawaijui. Ndiyo maana ninaposema Waislam na Bakwata wao wanashindwa kuelewa, Waislam ni nani na Bakwata ni nani.

Lakini Alhmdulilah tumejitahidi kuwaeleza na sasa naamini wanafahamu kuwa Waislam hawakuiunda Bakwata na ndiyo maana hadi leo haikubaliki.

Sasa huu ndiyo ukweli na serikali wanalijua hilo lakini ili kudumisha dhulma dhidi ya Waislam lazima Waislam wawekwe katika hali ya kuwa wasiwe na ruksa ya kujijengea taasisi zake wenyewe. Msajli wa Vyama akishajua kuwa taasisi inayotaka tasjila ni ya Kiislam watakuambia lete barua kutoka Bakwata. Hapo sasa ndiyo shida. Bakwata hawakupi hiyo barua.

Hili tumelivuka Alhamdulilah sasa Waislam "tunaelewana" na Bakwata hawatupi shida hata kidogo wala hathubutu kiongozi wa Bakwata kuwabughudhi Waislam au kupeleka fitna serikalini. Baadhi yao wameshajielewa.

Haikuwa kazi rahisi.

Kwa Kanisa hofu bado iko palepale kama ilivyokuwapo baada ya uhuru kuwa Waislam wanajikusanya kujiletea maendeleo nini itakuwa hali ya Ukristo katika mazingira kama hayo?

Na hofu kubwa ni kuwa itakuwaje hali ya nchi Waislam wakiitafsiri dhiki yao na kuona kuwa ufunguo wa kuondoa dhiki yao ni kupitia chama cha siasa kama ilivyokuwa TANU?

Mohamed
 
Ahali yangu Mdondoaji,

Hapa naona umemaliza kila kitu. Kwani kawaida kabisa kwa anaedhulumu kujiona ana haki zaidi ya yule anayedhulumiwa. Tena kwa maneno ya kejeli ya kifedhuli. Lakin siku zote mdharau mwiba basi mguu unaota tende.

Allah akubarik sana

Barubaru,

Tatizo kubwa kabisa lililowasibu ndugu zetu ni kutoelewa historia ya Tanganyika. Kwa takriban miaka 50 wakiamini historia ya uhuru wa Tanganyika ni ile ya Nyerere. Umeshuhudia hapa kishindo walichokipata baada ya mimi kuwaeleza historia nyingine kabisa ambayo imejaa michango ya Waislam.

Sasa hata yale yaliyokujatokea baada ya uhuru yaani mapambano ya Waislam na Nyerere katika kutaka mabadiliko ya kweli historia yake hawaijui. Ndiyo maana ninaposema Waislam na Bakwata wao wanashindwa kuelewa, Waislam ni nani na Bakwata ni nani.

Lakini Alhmdulilah tumejitahidi kuwaeleza na sasa naamini wanafahamu kuwa Waislam hawakuiunda Bakwata na ndiyo maana hadi leo haikubaliki.

Sasa huu ndiyo ukweli na serikali wanalijua hilo lakini ili kudumisha dhulma dhidi ya Waislam lazima Waislam wawekwe katika hali ya kuwa wasiwe na ruksa ya kujijengea taasisi zake wenyewe. Msajli wa Vyama akishajua kuwa taasisi inayotaka tasjila ni ya Kiislam watakuambia lete barua kutoka Bakwata. Hapo sasa ndiyo shida. Bakwata hawakupi hiyo barua.

Hili tumelivuka Alhamdulilah sasa Waislam "tunaelewana" na Bakwata hawatupi shida hata kidogo wala hathubutu kiongozi wa Bakwata kuwabughudhi Waislam au kupeleka fitna serikalini. Baadhi yao wameshajielewa.

Haikuwa kazi rahisi.

Kwa Kanisa hofu bado iko palepale kama ilivyokuwapo baada ya uhuru kuwa Waislam wanajikusanya kujiletea maendeleo nini itakuwa hali ya Ukristo katika mazingira kama hayo?

Na hofu kubwa ni kuwa itakuwaje hali ya nchi Waislam wakiitafsiri dhiki yao na kuona kuwa ufunguo wa kuondoa dhiki yao ni kupitia chama cha siasa kama ilivyokuwa TANU?

Mohamed
 
Hakika malipo yana anzia hapa hapa duniyani.

Nakumbuka maneno haya ya Maalim wangu wa Madrasa Unguja (maalim bakathiri) kuwa malipo yote ya mja yanaanzia hapa Duniani na kumalizikia mbinguni.

Naona kwa Adam yalithihiri.

Ahsantu Sheikh Mohamed kwa darsa. Kumbuka pia tuna kiu sana kwa kusubiri darsa zaidi kutoka kwako.

Ndugu yangu Barubaru kila aliyesimama na Nyerere kumpiga vita Sheikh Hassan bin Amir alipokea jaza yake hapa hapa duniani. Mie hao nimewaona wanadhalilika kwa macho yangu wala sikuhadithiwa na mtu.

Rajab Diwani kafa.

Taarifa zilipofika msikitini karibu na kwake Ilala huwezi amini walichofanya Waislam ni kufunga msikiti na kila mtu kushika hamasini zake.

Basi mwambie mtu eh bwana twende mazikoni (hapo yuko katika dhumna) anakwambia samahani bwana nina shughuli hii faradh kifaya nenda wewe.

Hali ilikuwa hivyo ikabidi Aboud Jumbe awaite TANU Youth League kuja kubeba jeneza lake.
Pale msibani yameonekana mashati ya kijani ya TANU Youth League wala husikii Qur'an ya Allah wala dua.

Lingine limetokea juzi juzi hapa Msikiti wa Sheikh Idris Bin Saad.

Mjukuu wa marehemu Sayyid Badawy Qulatein anaolewa akdi tumekaa msikitini tunapiga kahawa na halua. Ghafla kasimama Sheikh mmoja anaomba watu wasiondoke tusome dua kumwombee kiongozi mmoja wa serikali Muislam kwa kuwa yuko hospitali mahututi.

Sasa huyu bwana enzi zake kawatesa sana Waislam akishirikiana na Nyerere.

Basi ghafla kumezuka mtafaruk ndani ya msikiti kila mtu anatafuta wapi kaweka viatu vyake aondoke. Waislam hawataki kumwombea dua huyu muheshimiwa.

Dakika tano msikiti mweupe. Wamesimama nje ya msikiti wanaendelea na mazungumzo yao. Hilo la dua wamemwachia sheikh peke yake.

Hii ndiyo hali ilivyo.

Mohamed

Kuna shule mmoja inaitwa Feza Boys mwaka huu wa fedha imetoa division 1 and 2 karibu wote form six bila ya kuwepo division 0 wala division 4 lakini there is no media coverage kuwahamasisha waislamu mnaosema hawajasoma. Badala yake media coverage is Feza ya mama Salma Kikwete. Feza school hawalipi kodi, Feza ya waturuki.
Aise....kumbe Feza ni shule za kiislam...! kuna majirani zetu hapa 'staunch catholics' wamepeleka watoto wao kwenye hizo shule...nadhani zitakuwa way above zile za BAKWATA kwa kiwango cha utoaji elimu yenye tija.
Mkuu , hivi hawa wa Feza hawakupelekwa kweli bungeni kwa sababu yao performance ya nzuri?
 
Muulize kwanza hao feza watapataje DIV I na II mbele ya mfumo kristo? Au paper zao ziliplekwa kusahihishwa Pakistan?
 
Waislamu wa sasa wengi ni waelewaje na wanafahamu kitu gani kinaendelea ndio maana unaona sasa hivi malalamiko ya maaskofu kila siku yanazidi kwani wanaona wanaelekea ukingoni.
huh? ukingoni...? what makes you think that? na bora ungeweka evidence inayoonyesha malalamiko ya maaskofu na jinsi hayo malalamiko yanavyoashiria kuelekea kwao ukingoni!
 
Ndugu yangu Barubaru kila aliyesimama na Nyerere kumpiga vita Sheikh Hassan bin Amir alipokea jaza yake hapa hapa duniani. Mie hao nimewaona wanadhalilika kwa macho yangu wala sikuhadithiwa na mtu.

Rajab Diwani kafa.

Taarifa zilipofika msikitini karibu na kwake Ilala huwezi amini walichofanya Waislam ni kufunga msikiti na kila mtu kushika hamasini zake.

Basi mwambie mtu eh bwana twende mazikoni (hapo yuko katika dhumna) anakwambia samahani bwana nina shughuli hii faradh kifaya nenda wewe.

Hali ilikuwa hivyo ikabidi Aboud Jumbe awaite TANU Youth League kuja kubeba jeneza lake.
Pale msibani yameonekana mashati ya kijani ya TANU Youth League wala husikii Qur'an ya Allah wala dua.

Lingine limetokea juzi juzi hapa Msikiti wa Sheikh Idris Bin Saad.

Mjukuu wa marehemu Sayyid Badawy Qulatein anaolewa akdi tumekaa msikitini tunapiga kahawa na halua. Ghafla kasimama Sheikh mmoja anaomba watu wasiondoke tusome dua kumwombee kiongozi mmoja wa serikali Muislam kwa kuwa yuko hospitali mahututi.

Sasa huyu bwana enzi zake kawatesa sana Waislam akishirikiana na Nyerere.

Basi ghafla kumezuka mtafaruk ndani ya msikiti kila mtu anatafuta wapi kaweka viatu vyake aondoke. Waislam hawataki kumwombea dua huyu muheshimiwa.

Dakika tano msikiti mweupe. Wamesimama nje ya msikiti wanaendelea na mazungumzo yao. Hilo la dua wamemwachia sheikh peke yake.

Hii ndiyo hali ilivyo.

Mohamed

quote_icon.png
By Mohamed Said
Sweke34,

Mafunzo yetu yanatukataza kukumbushana enzi ya ujahilia.
Haifai sasa kuanza kuongea mambo yasopendeza ya marehemu.

Mohamed
Mimi binafsi kwenye huu mnakasha nimejifunza vitu hivyo hapo juu...! Unafiki...Unafiki ...Unafiki!
 
Aise....kumbe Feza ni shule za kiislam...! kuna majirani zetu hapa 'staunch catholics' wamepeleka watoto wao kwenye hizo shule...nadhani zitakuwa way above zile za BAKWATA kwa kiwango cha utoaji elimu yenye tija.
Mkuu , hivi hawa wa Feza hawakupelekwa kweli bungeni kwa sababu yao performance ya nzuri?

Sweke,

Shule ya Bakwata unazijua kuanzia Kinondoni to Al-Haramain. Tafuta list yao utazijua. Shule ambazo sio za Bakwata but zinamilikiwa na waislamu ni Mzizima, Al-Muntazir, Feza, Ubungo Islamic na kuendelea. Sijui kama Feza waliitwa bungeni ila nakumbuka kuna gazeti mmoja la kiswahili lilikuwa likiwaandama ile mbaya Feza kiasi ikawa shule inaogopewa. Vile vile humu JF kuna watu kila kukicha wanatafute sababu mara inamilikiwa na mafisadi mara ya Mama Salma Kikwete.

Shule hizo zinasomesha watoto wote mkuu waislamu na wakristo. Ila tu zinamilikiwa na waislamu ufahamu hilo na sio Bakwata.
 
Back
Top Bottom