Nguruvi3
Platinum Member
- Jun 21, 2010
- 15,773
- 32,431
Mzee Said, ulipoweka mjadala hapa ulitaraji uchambuliwe. Wewe ni mwandishi na unajua kanuni za uandishi ikiwa ni pamoja na kutoa haki kwa pande zote kusikika. Unapoandika jambo hatima yake ni jamii kulizunguzmzia kwa njia zote. Kuna dalili mjadala unakuwa mzito na unatafuta mahali pa kutokea kama ulivyofanya katika kitabu chako cha Nyakati za Abdul Sykes;
1. Unaposema watu wafanye research ili waje na zao unataka kila mtu afaye, hiyo ni vurugu na sio uandishi. Unataka watu wasihoji bali waendelee kukupigia makofi, hiyo tunaita 'intellectual abuse'.
Sisi hatuna tatizo na uliyoandika tunahoji tusipoelewa, tunachangia unapopotosha na tunakemea unapochonganisha.
Mwandishi makini hupenda sana kufafanunua dhana yake kwa wasomaji na si kuwaambia waende kuandika research zao.
Wale mnaoimba wimbo huu wa nendeni mkaandike zenu mjue huo si uandishi makini wala usomaji makini.
2. Unasema umetukanwa inashangaza. Haa!! Mzee said, soma hapa chini kwanza
Naomba tuweke kumbu kumbu sawa kwasababu kuna watu bado wanaamini Mohamed anaandika historia ya Tanganyika, na tumwache aandike.
Mohame anasema hivi;
Mohamed kama amefanya utafiti wa kutosha basi angeufahamisha umma ukweli kuhusu AMNUT, namba za Mitihani n.k. Hakwenda wizara ya elimu wala hakuwahoji viongozi wa AMNUT ambao wengine wapo hai hadi leo.
Mtafiti hawezi kuandika kibao cha Mshume Kiyate hakipo kwa sababu ya uislam, alitakiwa athibitishe kwa mahojiano na wahusika kama ni wilaya, mkoa au jiji na atuwekee majibu na si dhana.
Muhimu zaidi ni kuwa unapokuwa na maandishi yaliyojaa neno 'Inasemekana' hapo kuna utafiti gani?
Hivi kwanini Mohamed na vijana wake watuambie tukafanye research na si kujibu hoja zitokanzo na 'research' yake?
Mnyambala kaweka idadi ya shule mkoa wa Mbeya, mbona Mohamed hajibu. Mag3 kaweka jitihada za akina mama wa Kipare kisiasa kwanini hajibu ikiwa ndiye anaandika historia ya Tanganyika kwa usahihi.
Joka kuu kaweka majina ya akina Kisenge, mbona Mohamed hakanushi? Ngongo kauliza nini role ya AMNUT na kwanini Waislam hawakuiunga mkono, kwanini hajibu? MM anauliza mbona hajawahoji Mama Maria na Mwinyi, mbona hajibu ni taasisi gani inawakilisha waislam, Nguruvi kauliza Mohamed prove kama hakuna au hakukuwepo Wapagan na Athesits Tanganyika, hajibu anatoa matusi n.k n.k.
Haya yote yamo katika vitabu na makala zake, sasa anapotuambia tukaandike historia, ni aina gani ya uandishi isiyojibu hoja zitokanazo! Kinachoshangaza mwandishi Mohamed anatuaminisha
Mohamed simama ujibu hoja na si kukwepa kwa hoja za 'nendeni mkafanye research'.
Mohamed anafanya vitu vifuatavyo;
1. Haandiki historia wala harekebishi historia, anaandika historia ya Waislam na harakati za ukombozi wa Tanganyika. Ni jambo jema kabisa, lakini maana yake ni kuwaambia waislam kuwa wao ndio wamepigania uhuru wa nchi hii na ni bora zaidi kuliko raia wengine(ushahidi upo).
Katika kufanya hivyo anatumbukiza hoja za kisiasa kama dhulma za elimu na afya, MoU n.k ili kuwajaza watu hasira.
2. Ili kufanikisha lengo hilo anajaribu kupambanisha 'simba na Yanga' na ndio maana amekana uwepo wa Wapagan na Atheist(ushahidi ninao). Lakini hawezi kuzusha tuhuma tu bila kuunganisha dot, na mtu wa kuunganisha ni Nyerere kwa kumhusisha na kifo cha EAMWS kuwatosa wazee wake n.k. na hata mambo yaliyo nje ya hoja anazozisema ameyaingiza ili kukidhi matakwa ya chuki pevu
Hapa ndipo tunajiuliza kulikoni na Nyerere na zawadi kama kinyago au ubao wa tangazo na sio uhalifu unaoendelea sasa?
3. Kwanini dot zinaungwa kwa Nyerere! jibu ni kumhusisha na walengwa.
Mara zote Mohamed hamhusishi Nyerere na Uzanaki akijua fika kuwa nyimbo hiyo ina 'timu za makabila 120' na si rahisi kuchezesha timu za 'simba na yanga'. Hapo ndipo anapohusisha Nyerere na dini yake
4. Ikifika hapo neno kanisa limeshaingia na linalofuata ni mfumo kristo n.k.
5. Ili kupata uhalali ndipo tunapata hoja zake za mitihani,MoU, chuo kikuu cha IOC, idadi ya wabunge, viongozi serikalini n.k.
Hata kama hakuna ukweli inarudiwa mara nyingi na inaonekana ina ukweli kwasababu tayari keshajenga mazingira 1-4 hapo juu.
Mtafiti Mohamed hajaonyesha wapi udhaifu wa jamii yake ulipo, akituaminisha kuwa jamii hiyo ni kamilifu.
Haelezi taasisi lukuki za waislam zinafanya nini na kwa manufaa ya nani, anachokifanya ni kuunganisha BAKWATA, Nyerere, EAMWS, Roman Catholic ili apate jibu analotaraji.
Huo si utafiti labda kama kuna 'new methodology'. Utafiti siku zote hufuata kanuni kaMa hypothesi, analysis, conclusion.
Bahati mbaya tafiti za Mohamed zinaanza na conclusion halafu vitu vingine vinafuata. Ufumbuzi wa matatizo anayoorodhesha Mohamed haupo katika historia, upo katika ukweli kwa kuangalia historia na kujiuliza wapi watu wamejikwaa na sio wapi wameangukia.
Jamii yetu inahitaji maendeleo kila sekta,vikundi mbali mbali , jamii na taifa kwa ujumla. Hatuwezi kufanikiwa kwa kuligawa taifa kwa misingi ya udini au ukabila, ndio maana naomba sote tusimame pamoja na kumwambia Mohamed, NO! Usivuruge taifa.

Ukanijibu hiviNguruvi3;2625663]Ningekuomba Mohamed ukemee lugha zisizo na stara kama za FaizaFox na Topical. Unapowashukuru kwa lugha chafu! mhh
Mkuki kwa Nguruwe.......................Mohamed Said;2637086]Sasa ukileta hoja ya Wapagani mimi nakuonea huruma kwa kuwanapata picha halisi najadiliana na mtu wa uwezo gani nami nakuchukuliahivyo hivyo
Naomba tuweke kumbu kumbu sawa kwasababu kuna watu bado wanaamini Mohamed anaandika historia ya Tanganyika, na tumwache aandike.
Mohame anasema hivi;
Bado wapo wanaodhani Mohamed kafanya research, Mohamed kwa maneno yakeMohamed Said;2628296]Kinachofanyika ni kuwaeleza Waislam dhulma dhidi yao katika nchi yetu.Dhulma kama haijulikani ipo basi huwa dhulma haipo.Watu ukitaka wapiganie haki zao kwanza ni lazima uwaeleweshe hizo haki zao na nani anaewadhulumu.Tunachokifanya sisi ni kwanza kuwaelimisha Waislam kuwa wanadhulumiwana pili kumfahamisha dhalim aache kudhululumu
Amekiri kuwa yupo mtu kutoka Cambridge anakwenda kumhoji Mama Maria Nyerere kwa sababu Mohamed amekuwa reference. Sasa mtafiti hapa ni nani yule anayesoma habari na kwenda kwa mhusika au yule aliyesimuliwa.Tofauti kubwa kati yangu na wewe ni kuwa mimi nahadithia mambo kutoka ulimi wa wazee wangu
Mohamed kama amefanya utafiti wa kutosha basi angeufahamisha umma ukweli kuhusu AMNUT, namba za Mitihani n.k. Hakwenda wizara ya elimu wala hakuwahoji viongozi wa AMNUT ambao wengine wapo hai hadi leo.
Mtafiti hawezi kuandika kibao cha Mshume Kiyate hakipo kwa sababu ya uislam, alitakiwa athibitishe kwa mahojiano na wahusika kama ni wilaya, mkoa au jiji na atuwekee majibu na si dhana.
Muhimu zaidi ni kuwa unapokuwa na maandishi yaliyojaa neno 'Inasemekana' hapo kuna utafiti gani?
Hivi kwanini Mohamed na vijana wake watuambie tukafanye research na si kujibu hoja zitokanzo na 'research' yake?
Mnyambala kaweka idadi ya shule mkoa wa Mbeya, mbona Mohamed hajibu. Mag3 kaweka jitihada za akina mama wa Kipare kisiasa kwanini hajibu ikiwa ndiye anaandika historia ya Tanganyika kwa usahihi.
Joka kuu kaweka majina ya akina Kisenge, mbona Mohamed hakanushi? Ngongo kauliza nini role ya AMNUT na kwanini Waislam hawakuiunga mkono, kwanini hajibu? MM anauliza mbona hajawahoji Mama Maria na Mwinyi, mbona hajibu ni taasisi gani inawakilisha waislam, Nguruvi kauliza Mohamed prove kama hakuna au hakukuwepo Wapagan na Athesits Tanganyika, hajibu anatoa matusi n.k n.k.
Haya yote yamo katika vitabu na makala zake, sasa anapotuambia tukaandike historia, ni aina gani ya uandishi isiyojibu hoja zitokanazo! Kinachoshangaza mwandishi Mohamed anatuaminisha
Kaandika historia na ku conclude kuwa ni ya kweli halafu anataka tukafanye research! na hataki kujibu yatokananyo na 'ukweli' wake. Paradox!hayaNdiyo maana hadi leo wamekataa hata historia ya kweli ya uhuru wa Tanganyika isisomeshwe mashuleni
Mohamed simama ujibu hoja na si kukwepa kwa hoja za 'nendeni mkafanye research'.
Mohamed anafanya vitu vifuatavyo;
1. Haandiki historia wala harekebishi historia, anaandika historia ya Waislam na harakati za ukombozi wa Tanganyika. Ni jambo jema kabisa, lakini maana yake ni kuwaambia waislam kuwa wao ndio wamepigania uhuru wa nchi hii na ni bora zaidi kuliko raia wengine(ushahidi upo).
Katika kufanya hivyo anatumbukiza hoja za kisiasa kama dhulma za elimu na afya, MoU n.k ili kuwajaza watu hasira.
2. Ili kufanikisha lengo hilo anajaribu kupambanisha 'simba na Yanga' na ndio maana amekana uwepo wa Wapagan na Atheist(ushahidi ninao). Lakini hawezi kuzusha tuhuma tu bila kuunganisha dot, na mtu wa kuunganisha ni Nyerere kwa kumhusisha na kifo cha EAMWS kuwatosa wazee wake n.k. na hata mambo yaliyo nje ya hoja anazozisema ameyaingiza ili kukidhi matakwa ya chuki pevu
Hatujawahi kumsikia Mohamed akikemea ubadhirifu, wizi na ufujaji wa mabilioni ya fedha ambazo zingejenga mohositali kwa wananchi wote.Mohamed
Said;2617611]"Haiyumkiniki mali ya taifa akapewa mtu hapa nakusudiavielelezo vilivyokuwa katika makumbusho akapewa mtubinafsi.Anapewa yeye kama nani? Kama taasisi au kama nani
Hapa ndipo tunajiuliza kulikoni na Nyerere na zawadi kama kinyago au ubao wa tangazo na sio uhalifu unaoendelea sasa?
3. Kwanini dot zinaungwa kwa Nyerere! jibu ni kumhusisha na walengwa.
Mara zote Mohamed hamhusishi Nyerere na Uzanaki akijua fika kuwa nyimbo hiyo ina 'timu za makabila 120' na si rahisi kuchezesha timu za 'simba na yanga'. Hapo ndipo anapohusisha Nyerere na dini yake
Unadhani kuwa jinsi walivyotendewa Wakristo basi na Waislam watatendewa hivyo hivyo kwa uadilifu ule ule.Hofu ya serikali yetu ni kukua kwa Uislam huo ni uoga ulio ndani ya kanisa toka azal.Ndani ya serikali ya Tanzania kuna nguvu "Christian Lobby