Historia ya Uhuru isimuliwavyo na Mohammed Said yakosolewa

Historia ya Uhuru isimuliwavyo na Mohammed Said yakosolewa

Kwani wewe walikuwa wameku 'ban'..! Fuatilia vizuri kwa Vuai Nahodha....kati ya wale kumi waliokamatwa Somalia, foxy wetu anaweza akawamo!

Siku zote dua la kuku halimpati mwewe.

Japo twalumbana lakini tuombeane heri ili tuoni mengi ya Dunia.

assalam alaikum shekh mohammed saidi nimefuatilia sana mabandiko yako na mnakasha wote kwa ujumla insh mwenyezimungu akuhifadhi kazi uliyoifanya ni kubwa na ilihitaji ujasiri mkubwa.wapo wanaobeza na kuona ni porojo lakini hyo ndo kawaida ya mambo.mungu atakulipa kwa kueleza michango iliosahaulika ya wazee wetu.ningependa kueleza chochote kuhusu shekh Nurdin Hussein katika harakati za uislamu tanzania kabla na baada ya uhuru?
 
Shadhuly,

Amin Amin Amin.

Sheikh Nurdin Hussein huyu hapa hii ni 1954/55:

"Kipindichama badiliko kutoka TAA kuwa TANU kilikwenda vizuri pale makao makuu.Hakukuwa na ya migongano kati ya viongozi wa makao makuu, ukitoa kikundi kidogocha Waislamu wenye msimamo mkali waliokuwa wakipanga kumg'oa Nyerere kwa kuwaalikuwa Mkristo. Hii ilikuwa ni mara ya pili kwa suala la dini kuzuka tanguNyerere achukue uongozi wa chama kwa mara ya kwanza mwaka 1953. Mkutanouliitishwa zi kuweka hali sawa kuhusu Ukristo ndani ya chama. TANU iliamua kuwachama kitakuwa ni cha kisekula ili kunusuru na kuihifadhi umoja wa kitaifa.Mkutano huu ulifanywa ndani ya nyumba moja katika mtaa wa Pemba na uamuzi wakeuliungwa mkono na Mufti Sheikh Hassan Bin Amir, Sheikh Nurdin Hussein toka Lindi na Sheikh Abdallah Chaurembo waDar es Salaam. Mkutano huu ulimfananisha na 'Yuda' mwanachama yeyote yule ndaniya TANU atakayembagua Mwafrika mwenzake kwa sababu ya imani yake. [1] Jina la hili 'Yuda' lilikuwa ndilo lile jinala Yuda Iskarioti katika Biblia, mfuasi aliyemsaliti Yesu kwa vipandethelathini vya fedha. Matatatizo ambayo TANU ilipambana nayo yalikuwa hasa tokaserikali ya kikoloni na yale yaliyotokana na Waafrika vibaraka waliokuwawakitumiwa na wakoloni kuvunja nguvu harakati za chama."
 
Sheikh Mohamed,

..yuko IGP ali-serve wakati wa Nyerere akiitwa Hamza Azizi. Je, ana undugu wowote na Dossa Azizi mwanaharakati wa uhuru wa Tanganyika?
 
Shukran mungu akulipe mema.niliwahi kuambiwa na watu wa karibu yake shekh nurdin kwamba aliwekwa ndani na nyerere na alivyotolewa akapewa amri ya kuhama mkoa wa lindi na kukaa kuanzia tanga na yeye akafikia wilaya ya korogwe kijiji cha ngombezi.pia tulisikia yeye aliwahi kuwa mwenyekiti wa baraza kuu na jumuia za kiislam tanzaniaa
 
Mwanakijiji said:
"Waislamu someni kama Wakristu"
Mwanakijiji said:
"Waislamu tukuzeni elimu"

"Waislamu kwanini nyini nanyi msiombe MoU kama Wakristu"

Mwanakijiji,

..hizi dini zimekuwa kama Simba na Yanga.

..Simba/Yanga wako radhi kufungwa na timu nyingine yoyote but not their arch rivals.

..kuna Wakristo/Waislamu wako radhi kutetea jambo lolote lile hata kama haliwafaidishi kwasababu tu linafanywa na Wakristo/Waislamu wenzao. Hata ktk kupinga ni hivyo hivyo.

..hao Mashekhe unaohoji "busara" ya kauli zao za "uhamasishaji" nadhani na wao wametumbukia ktk "simba vs yanga". Wanafikiri kauli zao zinaweza kuwaunganisha na kuwahamasiha Waislamu kushughulikia matatizo yao.

..ninachofikiri mimi ni kwamba huu "upinzani wa jadi" wa dini hizi mbili sasa unatupeleka pabaya.

Mkuu unachoilaumu ndicho unachokifanya wapi na wapi??

Kwanza kauli ya mwanakijiji eti "waislamu someni kama wakristo" ni kebehi na ya kuudhi waislam intentionally..hakuna muislam asiyejua umuhimu wa kusoma..kwa hiyo hiyo kaluli ni muflis..

Busara ya masheikh ni sawa na maaskofu wenu kila siku waraka waraka wakuelekeza waumini wampigie kura nani??? na nyie hapa ndio wa kwanza kuushabikia kama simba na yanga..tutafika kweli???

Leo fisadi lowassa anachangia kanisa katoliki mwanza askofu anasema tutamjenga lowassa, washabiki wake kina mwanakijiji, nguruvi, sweke kimya eti "AMETUBU" toba! ushabiki umelelewa sana na umeanzia huko kwenu??? waislamu wameanza kujibu mapigo baada ya kuchelewa sana kufahamu hila za maaskofu miaka tele
 
umedandia treni kwa mbele, haujamwelewa mwanakijiji hebu mfatilie alichokuwa anazungumzia!
 
Topical,

..sasa hapo ndipo ile kauli "changanya na zako" inapo-apply.

..siyo kila anachosema Askofu/Shekhe kinapaswa kuungwa mkono.

..pia Mashekhe na Maaskofu ni wanadamu kama sisi kwa hiyo wakati mwingine hukosea.
 
Shukran mungu akulipe mema.niliwahi kuambiwa na watu wa karibu yake shekh nurdin kwamba aliwekwa ndani na nyerere na alivyotolewa akapewa amri ya kuhama mkoa wa lindi na kukaa kuanzia tanga na yeye akafikia wilaya ya korogwe kijiji cha ngombezi.pia tulisikia yeye aliwahi kuwa mwenyekiti wa baraza kuu na jumuia za kiislam tanzaniaa

Shadhuly,

Usemayo ni sawa kabisa na Sheikh Nurdin Hussein kaacha athar kubwa sana Korogwe na kuna Maulid yake yanasomwa hapo kila Mfungo Sita na jamaa kutoka kila sehemu wanahudhuria.

Sheikh Nurdin alituunga mkono vijana katika kila tulilofanya katika kuupigania Uislam.

Mohamed
 
Sheikh Mohamed,

..yuko IGP ali-serve wakati wa Nyerere akiitwa Hamza Azizi. Je, ana undugu wowote na Dossa Azizi mwanaharakati wa uhuru wa Tanganyika?

JK,

Dossa jina lake kamili ni Waziri Dossa Aziz na Hamza Aziz ni mdogo wake.
Nina kisa kizuri sana kuhusu Hamza Aziz na Sheikh Hassan bin Amir alinihadithia mwenyewe Hamza Aziz.

Insha Allah iko siku nitakiweka hapa ukumbini.
Ni katika visa vingi alivyonihadithia kuhusu nchi yetu.

Mohamed
 
Shadhuly,

Amin Amin Amin.

Sheikh Nurdin Hussein huyu hapa hii ni 1954/55:

"Kipindichama badiliko kutoka TAA kuwa TANU kilikwenda vizuri pale makao makuu.Hakukuwa na ya migongano kati ya viongozi wa makao makuu, ukitoa kikundi kidogocha Waislamu wenye msimamo mkali waliokuwa wakipanga kumg'oa Nyerere kwa kuwaalikuwa Mkristo. Hii ilikuwa ni mara ya pili kwa suala la dini kuzuka tanguNyerere achukue uongozi wa chama kwa mara ya kwanza mwaka 1953.

Ni nani waliongoza hivi vikundi mara hizi mbili?
 
Nguruvi3,Sasa unataka kujua na idadi za taasisi zetu?Sidhani kama ni kitu muhimu katika mnakasha huu. Mohamed
Hapana! sina haja ya kujua idadi kwasababu nazijua na wala sikuuliza idadi yake ni ngapi.
Swali ni kuwa katika hizo taasisi lukuki ni ipi inatoa kauli kwa niaba ya waislam wa Tanzania.
 
mwanakijiji bana eti umeshasilence, toa point za kudiscuss na weka ambaco hutaki kiwe discussed.
 
funga na thread kabisa, unachelewa tutapost usivyopenda as inatakiwa wewe tu ndio uposti yale si unajua tena post zako zilivyo na akili. Hakunaga zaidi ya wewe.

Kama vipi unaweza ni ban kabisa kwa kupost usichokitaka kukisoma.
 
Una matatizo gani?
 
Sweke,
Shule ya Bakwata unazijua kuanzia Kinondoni to Al-Haramain. Tafuta list yao utazijua. Shule ambazo sio za Bakwata but zinamilikiwa na waislamu ni Mzizima, Al-Muntazir, Feza, Ubungo Islamic na kuendelea. Sijui kama Feza waliitwa bungeni ila nakumbuka kuna gazeti mmoja la kiswahili lilikuwa likiwaandama ile mbaya Feza kiasi ikawa shule inaogopewa. Vile vile humu JF kuna watu kila kukicha wanatafute sababu mara inamilikiwa na mafisadi mara ya Mama Salma Kikwete.Shule hizo zinasomesha watoto wote mkuu waislamu na wakristo. Ila tu zinamilikiwa na waislamu ufahamu hilo na sio Bakwata.
Mdondoaji kama kuna watu wameelewa somo la Mohamed wewe ni mmoja wapo. Mohamed anaweza kuingiza neno ukristo au Nyerere ili tu ajenge hoja ya nguvu si nguvu ya hoja hata pasipo na ukweli au uwiano.

Hospitali ya Mikocheni ilikuwa inajulikana kama TAG ikimaanisha ilikuwa inamilikiwa na Tanzania Assemble of God. Ukweli ile ni mali ya marehemu Hubert Kairuki. Shule ya sekondari pale nyumbani Magila Muheza ni shule ya Anglican na ipo chini ya Askofu. Shule za st Mary ni mali ya Lwakatare ingawa zinajulikana kama za wakristo pengine kwa upotoshaji au kutoelewa tu.

Mtu au watu wabinafsi wanaweza kumiliki taasisi kwa kuinasibisha na maadili ya dini kama anavyofanya Mama Lwakatare, lakini haina ina maana taasisi hiyo ina milikiwa na waumini wa dini husika.

Tukiongelea uhalisia wa maisha na ukweli wa mambo utaona kuwa unajaribu sana kufanya hata kisicho chako kiwe chako ili tu ujenge hoja lakini nafsi yako inakusuta sana.
Muislam wa kawaida anaweza kupeleka mtoto Ubungo islamic, Alharamaini, Jabal hilal, Bondeni, Jamhuri n.k Ingawa Ubungo Islamic umiliki wake una walakini ( Muulize Ustaadhi Hashim) basi angalu umiliki wake unaweza kufafananishwa na wa waislam.

Mzizima, Feza, Al Muntazir ni shule zinazoendeshwa na bodi za jamii fulani kukiwa na wawekezaji. Zinafuata mfumo wa dini ya kiislam, hii haina maana kuwa zinamilikiwa na waislam. Kwanini nasema hivyo!

Hakuna mwislam wa maisha ya kati anayeweza kumudu shule hizo. Hivi mtu anayetembea kutoka Magomeni ili awahi kariakoo kwa mguu unaweza kumwambia alipe milioni 2.5 kama ada ya majengo kwa mwaka akuelewe. Hivi huyu mtu anaweza kumsomesha mtoto kwa milioni 13 miaka minne wakati kipato chake ni milioni 2 kwa miaka minne! Unaposema ni za waislam wapi hao. It seems as if but in real life that's not true.

Ukweli unabaki pale pale, kama magila ilivyo ya anglican na watu wanamudu basi Al haramaini inaweza kuwa ya waislam kwa umiliki na ile maana iliyokusudiwa.

Una hiari ya kupooza moyo wako kwa matamanio lakini ukweli ni kuwa shule hizo zinafuta mfumo wa maadili ya kiislam na si za waislam. Wamiliki wanaweza kuwa waislam lakini umiliki wake si wa waislam. Ni suala la kufikiri tu.
 
Mdondoaji;2828445]Ahali yangu Dr Barubaru (ijapokuwa waislamu sie si aghlabu kupenda kuitwa Madr na Maprofessa but you deserve it kwani unayo hiyo PhD)Kitu kimoja wanachoshindwa kufahamu hawa ndugu zetu waislamu ni kuwa zama zinabadilika na wao fikra zao lazima zibadilike. Fikra za ndugu zetu nyingi naweza kuzisummarise kama "Mswahili syndrome". This is a derogatory slur ambayo viongozi wa serikali have been using for a long time towards muslims Tanzanians. Ukienda nao katika mabaa utawasikia ah unakuwa kama mswahili bwana nyie waislamu ni waswahili tu. Wanasahau mswahili ni kabila na wenyewe they are proud of their tribe. But when you associate uswahili with some negative aspects such as illiteracy, wizi, uzembe, na other negative attitudes to the society that accounts to institutional racism. That is something which has been in the country for a very long time. Mwaka huu mwezi tatu au nne Spika wa bunge alichemka na kusema ati bunge limekuwa kama waswahili wa kariakoo akimaanisha bunge limekosa maadili na mwenendo wa kistaarabu
Ukisikia kitu kinaitwa inferiority complex ndicho hiki. Wanasaikolojia wanasema dalili za inferiority complex ni mtu kuwa 'too sensitive and reactive'.
Unapokwenda baa wewe musilam unategemea nini?

Nyerere akisema haya '........mumejenga soko kubwa sana, ninachowaomba nguruwe ni marufuku msijenigombanisha na waswahili wangu'.
Sijui hapa anawakejeli au ana waheshimu.

Mbona kila jambo linalohusu majigambo ni la wahaya na wao huwasikii wakisema wanadhalilika hata siku moja. Mbona kuna utani wa wapemba akina nchuzi na nkate na huwasikii wakilalamika. Wala wanapoitwa 'duka la mpemba huwasikii wakisema wamedhalilika, sasa hili la waswahili unalifanyaje kuwa la waislam.

Alichosema mama Makinda ni msemo kama ule ''wewe wa kuja tu' hujui kula chapati n.k. Tena hapo kariakoo utasikia watu wakisema 'hiri ri jitu nitariweka ndani' wakimaanisha wakurya, hatujasikia polisi au wakurya wakisema wanadhalililka.

Unapomwambia mtu bahili kama mpare au mwizi kama mchaga hutasikii wakilalamika. Hawa wa kariakoo si kuwa wanatukanwa ni matokeo ya inferiority complex. Mohamed anajisifia kuwa yeye ni mswahili wa kariakoo( je nivute uzi wa kumnukuu)

Nikashangaa Human Rights and Legal centre wameshindwa kumshitaki Spika huyu kwani this is Institutional Racism. Ingelikuwa Speaker wa Congress Marekani amesema hayo nakuhakikishia ingelikuwa scandal ambayo hatasahu. Vile vile Obama angelikuwa na wakati mgumu sana kulipatia jibu murua. Mama Nkya kazi yake ni kufuatilia masuala ya Richmond na ajenda za chadema lakini activities za ubaguzi nchini wala hana habari nazo. Where is the Human right free of racist insult
? Mama Nkya ni mtu makini sana na nashukuru hakujishugulisha na ujinga kama huo. Tatizo la Watanzania si dini kama mnavyotaka lionekane ni umasikini na kutelekezwa kwa raia, wizi kama wa richmond n.k. Sio hijabu ya mtu kichwani kwasababu anaweza kuwa anayo kichwani kwake lakini je inamsaidiaje yule mtanzania masikini kabisa.

Serikali inatoa matamko kuonyesha uduni kwa waislamu wakati wangelitoa taarifa za waislamu wangapi wamegraduate universities tungelikuwa tunazungumza mengine
Hawa walio graduate wasikusumbue maana tayari wana taa mkononi, jishughulishe na ile shule ya Kilwa iliyofungwa kwa kukosa wanafunzi halafu angalia Kilwa wakazi ni watu wa aina gani.
Instead wawekee mazingira mazuri ya kusoma, kuwekeza katika usomaji na kuwahamasisha kusoma uone kama hawatasoma
Huko walikoendelea si serikali iliyohamasisha ni watu waliohamasika ikiwemo sehemu moja yenye waislam ambao walikuwa nyuma ya miaka 50 tangu ukristo uingie hapo, lakini sasa ngoma droo. Walihamasika hawakushikiwa kiboko au kengele. Jukumu la kuhamasisha ni langu mimi na wewe yule na wale na sisi sote, kwa bahati mbaya wewe umeamua kuunga mkono jitihada za Mohamed kuwadanganya waislam kuwa ufaulu wao unategemea namba za mitihani na kwa vile Malima amefariki basi wao wajikusanye kulalamika, na kwamba hata wafanye nini hawatafanikiwa kwasababu ya mfumokristo.

Njia nyepesi ni kuwahamasisha kushika majambia na si kusimamia fikra na maarifa. Wakati wengine wakijenga vinu vya umeme Mohamed anahimiza chuki na kutunga hadithi kwa kutumia majina ya waislam kana kwamba bila majina uislam hausimami.
Wakati shule na vyuo vikidorora Mohamed yupo bize aksimulia chuo kikuu cha EAMWS miaka 40+ iliyopita. Anasomesha historia ya wazee wake wa Gerezani katika mashule kama anavyodai, si nini cha kufanya kukabliana na Mchina, Mjapan au Mbrazili.
 
Mzee Nguruvi3, kwa kweli nafagilia sana jinsi unavyo-break down facts na kula nao sahani moja huku ukijitahidi kutumia lugha ya Uswahilini wanayoelewa walengwa. Big up!
 
Mzee Nguruvi3, kwa kweli nafagilia sana jinsi unavyo-break down facts na kula nao sahani moja huku ukijitahidi kutumia lugha ya Uswahilini wanayoelewa walengwa. Big up!

Ndjabu,

Nguruvi3 ili aweze kukaa mkeka mmoja na sie tukala pamoja sharti na yeye aje kwa uchache na "paper" kwa kuwa kitabu hakiwezi.

Hata hivyo zidi kumtia moyo kwani mimi binafsi huwa sikumbuki "paper" zangu hadi mtu agusie jambo ndipo nakumbuka kuwa jambo hili nishapata kuliandikia.

Ananipa msaada.

Mohamed
 
Back
Top Bottom