Mdondoaji;2828445]Ahali yangu Dr Barubaru (ijapokuwa waislamu sie si aghlabu kupenda kuitwa Madr na Maprofessa but you deserve it kwani unayo hiyo PhD)Kitu kimoja wanachoshindwa kufahamu hawa ndugu zetu waislamu ni kuwa zama zinabadilika na wao fikra zao lazima zibadilike. Fikra za ndugu zetu nyingi naweza kuzisummarise kama "Mswahili syndrome". This is a derogatory slur ambayo viongozi wa serikali have been using for a long time towards muslims Tanzanians. Ukienda nao katika mabaa utawasikia ah unakuwa kama mswahili bwana nyie waislamu ni waswahili tu. Wanasahau mswahili ni kabila na wenyewe they are proud of their tribe. But when you associate uswahili with some negative aspects such as illiteracy, wizi, uzembe, na other negative attitudes to the society that accounts to institutional racism. That is something which has been in the country for a very long time. Mwaka huu mwezi tatu au nne Spika wa bunge alichemka na kusema ati bunge limekuwa kama waswahili wa kariakoo akimaanisha bunge limekosa maadili na mwenendo wa kistaarabu
Ukisikia kitu kinaitwa inferiority complex ndicho hiki. Wanasaikolojia wanasema dalili za inferiority complex ni mtu kuwa 'too sensitive and reactive'.
Unapokwenda baa wewe musilam unategemea nini?
Nyerere akisema haya '........mumejenga soko kubwa sana, ninachowaomba nguruwe ni marufuku msijenigombanisha na waswahili wangu'.
Sijui hapa anawakejeli au ana waheshimu.
Mbona kila jambo linalohusu majigambo ni la wahaya na wao huwasikii wakisema wanadhalilika hata siku moja. Mbona kuna utani wa wapemba akina nchuzi na nkate na huwasikii wakilalamika. Wala wanapoitwa 'duka la mpemba huwasikii wakisema wamedhalilika, sasa hili la waswahili unalifanyaje kuwa la waislam.
Alichosema mama Makinda ni msemo kama ule ''wewe wa kuja tu' hujui kula chapati n.k. Tena hapo kariakoo utasikia watu wakisema 'hiri ri jitu nitariweka ndani' wakimaanisha wakurya, hatujasikia polisi au wakurya wakisema wanadhalililka.
Unapomwambia mtu bahili kama mpare au mwizi kama mchaga hutasikii wakilalamika. Hawa wa kariakoo si kuwa wanatukanwa ni matokeo ya inferiority complex. Mohamed anajisifia kuwa yeye ni mswahili wa kariakoo( je nivute uzi wa kumnukuu)
Nikashangaa Human Rights and Legal centre wameshindwa kumshitaki Spika huyu kwani this is Institutional Racism. Ingelikuwa Speaker wa Congress Marekani amesema hayo nakuhakikishia ingelikuwa scandal ambayo hatasahu. Vile vile Obama angelikuwa na wakati mgumu sana kulipatia jibu murua. Mama Nkya kazi yake ni kufuatilia masuala ya Richmond na ajenda za chadema lakini activities za ubaguzi nchini wala hana habari nazo. Where is the Human right free of racist insult
? Mama Nkya ni mtu makini sana na nashukuru hakujishugulisha na ujinga kama huo. Tatizo la Watanzania si dini kama mnavyotaka lionekane ni umasikini na kutelekezwa kwa raia, wizi kama wa richmond n.k. Sio hijabu ya mtu kichwani kwasababu anaweza kuwa anayo kichwani kwake lakini je inamsaidiaje yule mtanzania masikini kabisa.
Serikali inatoa matamko kuonyesha uduni kwa waislamu wakati wangelitoa taarifa za waislamu wangapi wamegraduate universities tungelikuwa tunazungumza mengine
Hawa walio graduate wasikusumbue maana tayari wana taa mkononi, jishughulishe na ile shule ya Kilwa iliyofungwa kwa kukosa wanafunzi halafu angalia Kilwa wakazi ni watu wa aina gani.
Instead wawekee mazingira mazuri ya kusoma, kuwekeza katika usomaji na kuwahamasisha kusoma uone kama hawatasoma
Huko walikoendelea si serikali iliyohamasisha ni watu waliohamasika ikiwemo sehemu moja yenye waislam ambao walikuwa nyuma ya miaka 50 tangu ukristo uingie hapo, lakini sasa ngoma droo. Walihamasika hawakushikiwa kiboko au kengele. Jukumu la kuhamasisha ni langu mimi na wewe yule na wale na sisi sote, kwa bahati mbaya wewe umeamua kuunga mkono jitihada za Mohamed kuwadanganya waislam kuwa ufaulu wao unategemea namba za mitihani na kwa vile Malima amefariki basi wao wajikusanye kulalamika, na kwamba hata wafanye nini hawatafanikiwa kwasababu ya mfumokristo.
Njia nyepesi ni kuwahamasisha kushika majambia na si kusimamia fikra na maarifa. Wakati wengine wakijenga vinu vya umeme Mohamed anahimiza chuki na kutunga hadithi kwa kutumia majina ya waislam kana kwamba bila majina uislam hausimami.
Wakati shule na vyuo vikidorora Mohamed yupo bize aksimulia chuo kikuu cha EAMWS miaka 40+ iliyopita. Anasomesha historia ya wazee wake wa Gerezani katika mashule kama anavyodai, si nini cha kufanya kukabliana na Mchina, Mjapan au Mbrazili.