Kigarama
JF-Expert Member
- Apr 23, 2007
- 2,492
- 1,230
Kwenu tafsiri ya neno baba imeishia hapo kweli? Halafu ni ulimbukeni kudhani wote tuliomo humu si watu wa pwani. Mimi nimemwambia MS kwamba kama wao walikuwa wanazaliwa majumbani siye wengine tumezaliwa Ocean Road Hospital.kwa sababu nampinga MS miye si mtu wa Pwani?Hapo umekosea. Nyerere hawezi kuwa Baba wa Taifa kwa Waislamu. Waislamu hatumwiti mtu "Baba" kwa "utakatifu" wake anaopewa na Kanisa.
Waislamu hatuna cheo cha "Baba" unless ni baba yako mzazi. Kwa watu wa Pwani ni TUSI kumwambia mtu amwite mtu fulani "Baba" yake wakati si " Baba" yake mzazi. Kwa hiyo rekebisha hiyo lugha.