ebhanaee!.a have been skipping to read this thread many times.kumbe nakosa burudani.yaonekana round hii Kiranga kabanwa kweli.hata kwenye topic zingine hatokei.lol.
Unaanza kujihami,Indeed you have been skipping.
I suggest you read before concluding.
Hakuna aliyethibitisha uwepo wa mungu.
Hakuna aliyeelezea kwa nini mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote aumbe ulimwengu wenye maovu kama huu.
Kabla ya kujibiwa maswali haya mawili huwezi kusema nimebanwa.
More like nimewabana na hawajaweza kunijibu.
Maswali yao yote nimewajibu, soma, usi skip.
Maswali yangu hayajajibiwa.
Jibu swali bana:
Unaanza kujihami,
Unaposema kitu lazima utetee madai yakoJibu swali bana:
HUYO ALIYE ANDIKA POST YENYE WORDS IN RED. ANAJUA ALICHO ANDIKA AU ANAAMINI ALICHO ANDIKA?
JIBU SWALI BANA
Siulizi mungu wangu kwa sababu siamini katika mungu.
How is that for a simple and consistent explanation.
Wewe unaweza kuthibitisha kwamba mungu yupo?
Unaanza ku-amend maneno yako. Huoni huu ni msiba kwako,
Si nilikwambia uwe unafikiria kwanza kabla ya kuandika. I don't take that bunch of malarkey.
SASA NARUDI PALE PALE:
HUYO ALIYE ANDIKA POST YENYE WORDS IN RED. ANAJUA ALICHO ANDIKA AU ANAAMINI ALICHO ANDIKA?
Mbona unaogopa kujibu swali?
kwa nini unasema ninaamini mungu hayupo wakati nimesema mara mia kidogo sitaki kuamini nataka kujua?
Kwa vile wewe unaelea katika bahari ya kuamini unaamini tu kwamba hakuna bara la kukataa kuamini?
Nitajibu swali moja hili mara ngapi?
Wewe ushajibu kuthibitisha kwamba mungu yupo?
kwanini unataka kujua kuwa mungu yupo?/hayupo?.ni kimekusibu?
Sikuanzisha mjadala, angalia mjadala ulivyoanza.
Tupe yako uliyofanya mwenyewe, ili tukuamini, usi-google.
Unashindwa kujieleza na kuteta madai yako:
ENDELEA KUPATA MAUMIVU YA KICHWA HAPA CHINI:
Wathibitishie wasomaji hapa kuwa wewe ni either MWANAUME AU MWANAMKE.
Mimi nasema wewe ni JIKE, kama unabisha tuletee ushaidi ambao ni impeccable and verifiable. Assumptions are not allowed ad infinitum.
UTAKAPO SHINDWA
JARIBU HILI:
Prove to me that God does not exists. I need impeccable exhibits which are watertight and must be verifiable. NO ASSUMPTIONS AT ALL TIME.
Haya anza kutokwa povu
Show me the post. Show me the link. I need my answer. Sina muda na blah blah blah blah zako.Nishakujibu hili swali na lile lingine trumped kama mara kumi tu.
.
Show me the post. Show me the link. I need my answer. Sina muda na blah blah blah blah zako.
Wathibitishie wasomaji hapa kuwa wewe ni either MWANAUME AU MWANAMKE.
Mimi nasema wewe ni JIKE, kama unabisha tuletee ushaidi ambao ni impeccable and verifiable. Assumptions are not allowed ad infinitum.
UTAKAPO SHINDWA
JARIBU HILI:
Prove to me that God does not exists. I need impeccable exhibits which are watertight and must be verifiable. NO ASSUMPTIONS AT ALL TIME.
Haya anza kutokwa povu
Nimekujibu kwamba hata kama siwezi kuthibitisha lolote katika ulimwengu huu, hilo halithibitishi kwamba mungu yupo.
Nimekwambia kwamba visivyopo havithibitishiki, kwa sababu havipo.
Vilivyopo ndivyo vinavyothibitishika.
Thibitisha kwamba mungu yupo.
Hayo maneno kwenye Quote hapo juu ni yako.
Hilo sio jibu la kupinga unacho pinga.
na bado hujajibu post yako hiiHayo maneno kwenye Quote hapo juu ni yako.
Narudia swali lile lile:
HUYO ALIYE ANDIKA POST YENYE WORDS IN RED. ANAJUA ALICHO ANDIKA AU ANAAMINI ALICHO ANDIKA?
Huwa siachi vitu hivi hivi tuu. You should know by now.
Nimekwambia kwamba visivyopo havithibitishiki, kwa sababu havipo.
.
Nishakujibu.
Thibitisha mungu yupo
Hayo maneno kwenye Quote hapo juu ni yako.
Vilivyopo ndivyo vinavyothibitishika.
Thibitisha kwamba mungu yupo.