History inapingana na wanaosema ''HAKUNA MUNGU'': The simple research you can do to prove it.

Bwana Kiranga Samahani kidogo, mimi nikwambie ukweli imani yako ya kutoamini mungu inanishangaza sana. Naomba unijibu swali langu hili tafadhali; kwa nini unaamini kuwa mungu hayupo?.
 
Ulikusanya maoni ulimwengu mzima ukawauliza hayo maswali wakakujibu hivyo?
Tupe statistics tangible za muda huo zinazodhibitisha Ulimwengu mzima Walikuwa wakiamini hivyo.

Hata maana ya ulimwengu mzima hujui.
 
Bwana Kiranga Samahani kidogo, mimi nikwambie ukweli imani yako ya kutoamini mungu inanishangaza sana. Naomba unijibu swali langu hili tafadhali; kwa nini unaamini kuwa mungu hayupo?.

kwa nini unasema ninaamini mungu hayupo wakati nimesema mara mia kidogo sitaki kuamini nataka kujua?

Kwa vile wewe unaelea katika bahari ya kuamini unaamini tu kwamba hakuna bara la kukataa kuamini?
 
Hata maana ya ulimwengu mzima hujui.

Ulimwengu maana yake ni dunia na sayari nyingine zote.
Haya twende kwenye swali la msingi ni kipi kimekupa uhakika duniani kote Walikuwa hawajui ukweli.

Usije ukasema oral tradition tu.
 
Ulimwengu maana yake ni dunia na sayari nyingine zote.
Haya twende kwenye swali la msingi ni kipi kimekupa uhakika duniani kote Walikuwa hawajui ukweli.

Usije ukasema oral tradition tu.

Hata tofauti ya kwamba the dominant belief was that the world was flat and that there could have been pockets of people who believed the world was a funza deep in psychic darkness huijui.

The imbecilic ignominy cluttering this thread alone should be enough to indict any godhead idea.
 
Hata tofauti ya kwamba the dominant belief was that the world was flat and that there could have been pockets of people who believed the world was a funza deep in psychic darkness huijui.

Jibu swali la msingi.
Sio mambo ya sijui we uko kwenye kichwa changu ukaona kwamba sijui?
 
kwa nini unasema ninaamini mungu hayupo wakati nimesema mara mia kidogo sitaki kuamini nataka kujua?

Kwa vile wewe unaelea katika bahari ya kuamini unaamini tu kwamba hakuna bara la kukataa kuamini?

Mkuu Kiranga wewe unaakili za kuweza kuyafanya maisha yako yaende vizuri?
 
Jibu swali la msingi.
Sio mambo ya sijui we uko kwenye kichwa changu ukaona kwamba sijui?

Swali la msingi kabisa lipo katika subject ya thread, ku prove kwamba god exists.

Nimeuliza hiyo proof iko wapi?

Sijaiona bado.
 
Mkuu Kiranga wewe unaakili za kuweza kuyafanya maisha yako yaende vizuri?

Vizuri ni nini?

Kwa mtu mwingine kuwa na uwezo wa ku spend $ 100- $200 dining out every week ni maisha mazuri.

Wengine wasipoweza kuleta world peace na kumaliza vita zote kwa miaka yote iliyobaki, kuondoa pollution yote na kumaliza racial tensions za aina yote, maisha yao hayajaenda vizuri.

Sasa unakusudia nini kwa kuandika "vizuri" ?
 
Kumuuliza a stone heady maswali ya kiutu uzima kama haya ni sawa na kubebesha baiskeli mzigo wa scania.
 
Swali la msingi kabisa lipo katika subject ya thread, ku prove kwamba god exists.Nimeuliza hiyo proof iko wapi?Sijaiona bado.
Go and find a post #13 you will encounter with your answer.
 
Kumuuliza a stone heady maswali ya kiutu uzima kama haya ni sawa na kubebesha baiskeli mzigo wa scania.

Proof ya kwamba mungu yupo sijaiona bado.

Hilo ni swali moja la kiutu uzima ulilojishaua kuliweka katika subject ambalo hujalijibu.

In fact, huko mbali sana.

Hujajibu hata proof ni nini.

Then you have the nerve kuandika habari za "maswali ya kiutu uzima".
 
Swali la msingi kabisa lipo katika subject ya thread, ku prove kwamba god exists.

Nimeuliza hiyo proof iko wapi?

Sijaiona bado.

Unajaza tu server za jf kwa mashudu huna lolote.
 
Ivi wewe unayo akili timamu kweli meme nakuuliza juu ya kuwako kwa mfanano wa mambo ya kiroho ulimwenguni kote karne na karne we unaniletea mambo mengine, we niaje?
 
Kisichopo hakithibitishiki.

Kwa sababu hakipo.

Kwa iyo uwezo wako umeshidwa kuthibitisha, iweje uthibitishe hayupo!?

[h=1]Luka 10 : 21[/h] 10.21 Saa ile ile alishangilia kwa Roho Mtakatifu, akasema, Nakushukuru, Baba, Bwana wa mbingu na nchi, kwa kuwa mambo haya umewaficha wenye hekima na akili; umewafunulia watoto wachanga; Naam, Baba, kwa kuwa ndivyo ilivyokupendeza.
 
Ivi wewe unayo akili timamu kweli meme nakuuliza juu ya kuwako kwa mfanano wa mambo ya kiroho ulimwenguni kote karne na karne we unaniletea mambo mengine, we niaje?

Mimi sijakuletea lolote ambalo hujalianzisha wewe.

Umesema una simple research ku prove kuwepo kwa mungu.

Sijaiona bado.
 
Ivi wewe unayo akili timamu kweli meme nakuuliza juu ya kuwako kwa mfanano wa mambo ya kiroho ulimwenguni kote karne na karne we unaniletea mambo mengine, we niaje?
Kumuelimisha huyo ni sawa na kumpaka mbwa make-up!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…