History inapingana na wanaosema ''HAKUNA MUNGU'': The simple research you can do to prove it.

Mada haijakamilika

Lakini ushahidi wa kuwepo Mungu tumeshatoa

Tatizo wanaobisha uwepo hawataki kujua bali kubisha tu

Ni kupoteza muda kujadiliana na mtu wa aina hiyo!
 
Mada haijakamilika

Lakini ushahidi wa kuwepo Mungu tumeshatoa

Tatizo wanaobisha uwepo hawataki kujua bali kubisha tu

Ni kupoteza muda kujadiliana na mtu wa aina hiyo!

Jamaa yenu kasema ana prove, simply.

Ushahidi (ambao hamjatoa mpaka.sasa) ni kitu tofauti na proof (ambayo hata hamjaota kutoa).
 
Jamaa yenu kasema ana prove, simply.

Ushahidi (ambao hamjatoa mpaka.sasa) ni kitu tofauti na proof (ambayo hata hamjaota kutoa).

Najua namna mada ambavyo ina mapungufu
Sina hoja na hilo

Hebu niambie tofauti ya ushahidi na uthibitisho?
 
mkuu Kiranga nipo nafyonza ilmu...


cc gombesugu mkuu wa karbu nawe nipate bayana zako


Shukran,nimekusoma Mkuu Remote,

Hua napitia humu kila mara nipatapo fursa...hua najifunza mangi mno!

Lakini lazim nikiri yakua wakti mwangine huwa nacheka kupita kiasi...yaani taabani! Teeh! Teeh! Teeh!

Mkuu Kiranga ni mkorofi mno,na yeye ndie hunichekesha jinsi anavyowaumiza wenzie vichwa!? Daah! Teeh! Teeh!

Khalaf huwa anashambuliwa na kutukanwa mno!...lakini naye yumo tu!? Duuh!ahahaaaaa!

Yaani ukorofi wa Kiranga humu,labda namfananiza kiduchu na Marehemu Christopher Hitchens na zile Debates zake...jinsi alivyokua akiwavuruga vichwa wale jamaa/Scholars wangine!...yaani mpaka huruma! Daah!

Nalisoma kile "God Is Not Great" by C. Hitchens...Daaah! Yaani yule jamaa alikua mshenzi na pia mwandishi mzuri saana! Teeh! Teeh! Teee!...mpaka anakufa walikua hata hawasemezani na yule nduguye right wing/"Believer"- Columnist Peter Hitchens! Duuh! Teeh! Teeeh! Teeeh!

Kwa hiyo nafikiri nasi humu-JF,huyu Bwana Kiranga ndo itakua Christopher Hitchens wetu,labda!?...nafikiri naye ataipenda compliment hii nilompa!?

Tuko pamoja Mkuu!

Ahsanta.
 

Ma-Abujehl wapo wengi!!! Hii hatari! binaadamu anathubutu kusema hajui kama mungu yupo!! Hayo mambo mengine

nakuachia mwenyewe. Nijibu swali nililokuuliza nani analitoa jua mashariki na kulipeleka maghribi?
 
Ma-Abujehl wapo wengi!!! Hii hatari! binaadamu anathubutu kusema hajui kama mungu yupo!! Hayo mambo mengine

nakuachia mwenyewe. Nijibu swali nililokuuliza nani analitoa jua mashariki na kulipeleka maghribi?

Nani kakwambia jua huwa linatoka mashariki kwenda magharibi? Mungu kawaongopea huwa analisafirisha jua?!!
 
Najua namna mada ambavyo ina mapungufu
Sina hoja na hilo

Hebu niambie tofauti ya ushahidi na uthibitisho?

Ushahidi unapingika, uthibitisho haupingiki, within the relevant framework.

This is why una ushahidi mwingine haukubaliki hata mahakamani, unaweza kuambiwa ni inadmissible, contaminated au circumstancial.
 

Hitchens ni kichwa ambacho inabidi kichunguzwe, watu wajue slipata wapi muda wa kusoma yote aliyosoma, kuandika yote aliyoandika na kujua aliyojua.

Maana kama ingekuwa kuandika tu tungesema anatayarishs msjibu, jamaa hata kwenye live interview ni hatari.
 
Ma-Abujehl wapo wengi!!! Hii hatari! binaadamu anathubutu kusema hajui kama mungu yupo!! Hayo mambo mengine

nakuachia mwenyewe. Nijibu swali nililokuuliza nani analitoa jua mashariki na kulipeleka maghribi?

Thibitisha kwamba mungu yupo
 

Akili ya binadamu haiwezi kuhoji mawazo,mtazamo na fikra za aliyemuumba, Kwa sababu Mungu ni mkuu,kuna vitu amevificha machoni petu ,na huenda tusivijue ama kumfahamu mpaka yeye atakapo ona inafaa(majibu refer page ya 2).je kinyago anachokichonga binadamu,kinaweza hoji kwanini mtu huyo ameamua kukichonga kwa aina ile alivyokichonga!

kwenye paragraph za chini naungana na hoja yako kuhusiana na uthibitisho wa kwamba Mungu tajwa kwenye hicho kitabu si Mungu muumba(MUNGU wa miungu),pia nami nimeona changamoto za waandishi wa hicho kitabu(samahani wenye kamini hiyo dini).

Swali:naomba mapungufu ya kitabu cha biblia yanayoweza pelekea usiamini kwamba Mungu anayeongelewa humo inawezekana si Mungu Muumba wa dunia na viumbe vyake kwa sababu kuna muda naye anakuwa hafahamu mwisho wa anachokieleza(nikipata muda nitakuja na rejea)
swali:
Na kwanini uamini Mungu anaweza akawa amekufa! kwa nini uamini kama ana udhaifu wa kufa kama viumbe aliowaumba, je hauoni kwa uweza na ukuu wake anaweza kuamua aishi milele!
 

Hapo kwenye red; wapo watu wajinga enzi zile walioamini hivyo lakini Ayubu (wa Biblia) alifunuliwa na Mungu muda kitambo kirefu hata kabla ya Wanajimu kugundua hili kuwa dunia ni duara and it hangs on NOTHING (Ayubu 27:7)
 

Nitaenda sebuleni mwangu pamoja na wewe kuhakiki/kuthibitisha kama taa ipo na hatimae hatutoikuta coz haikuwepo since b4.
Hence proved kua taa ambayo haikuwepo haipo!
There once again you are wrong with your statement kua "kisichokuwepo hakithibitishwi"
Go back to the topic and prove to the jf members that there is no God coz u can prove it!# kiranga
 

Hii link ni kwako wewe unae provoke kitabu cha dini ya watu.
http://www.answering-christianity.com/quran/ma_drowned.htm
 
Ma-Abujehl wapo wengi!!! Hii hatari! binaadamu anathubutu kusema hajui kama mungu yupo!! Hayo mambo mengine

nakuachia mwenyewe. Nijibu swali nililokuuliza nani analitoa jua mashariki na kulipeleka maghribi?

Nikikwambia sijui jibu la swali hili, kutojua kwangu kunathibitisha kwamba anayeendesha jua ni mungu?

Kunathibitishaje?

Ukiniuliza swali 4 + 2 =? . Nikakwambia sijui jibu, je hilo lina maana jibu ni 42? Bila maelezo yoyote? Kwa kuwa sijui jibu tu, basi jibu ni 42?

Thibitisha kwamba mungu yupo na ndiye anayelipelekesha jua.

Hujathibitisha bado.
 

Kama akili ya binadamu haiwezi kuhoji na kumuelewa mungu, wewe umejuaje kwamba mungu kuna vitu kaficha?

Umetumia akili gani?

Halafu mungu gani huyu ana choyo anaficha mambo mazuri kw viumbe wake, halafu hapo hapo anawaambia wasiwe na choyo wawe na upendo?

Huyu mungu mbona kigeugeu?

Hujaweza kuthibitisha kwamba mungu yupo.

Biblia inajichanganya kuanzia mwanzo mpaka ufunuo. Kama hujaona hilo hujaisoma au unaisoma kwa upofu wa imani ya dini.

Nishaweka inconsistencies lukuki hapa.

For starters ona hapa

http://infidels.org/library/modern/jim_meritt/bible-contradictions.html
 
Note to all:
Lets agree to disagreed

"Agree to disagree" is just an overdrawn way of saying "disagree".

Dis ussion need not end with agreement all the time, so if there is no agreement, asking to disagreement is uncalled for.

Nimeambiwa kuna proof rahisi kwmba mungu yupo.

Mpaka sasa sijaiona bado.
 
Proofs za bing bang zipo, google em and see for yoself
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…