Mndengereko
JF-Expert Member
- Mar 24, 2011
- 7,296
- 3,398
Hujajibu.
Nimekuuliza kwa.nini mungu hakuumba ulimwengu ambao hauna maovu kama watoto wachanga kufa kwa majanga, lakini ambao binadamu bado anaweza kujifunza?
Hujajibu hili.
I mean it is not a must for children to die violent deaths for humans to learn.
Is it now?
your question in another words we can ask/say why does God allow bad things to happen to good people ?? When u r trying to thunk about that question also try to think why does god allow good things to happen to bad people???
It is distressing that natural disaster are oftenly termed as act of God while no credit is given to god for years??,decades or even centuries for peaceful weather
kwa upande mwingine naweza nikasema natural disaster zinatokea kutokana na sisi kumuudhi na kumuasi mungu ndo maana vitabu vya dini vinatuelekeza kwamba vizazi vya nyuma vilivyomkufuru mungu kupitiliza mungu akaamua kuviangamiza lakini pia kingine ni kwamba mungu anatupima imani zetu kwamba hata katika wakati wa majnga,shida na tabu bado imani zetu zitakuwa juu yake au tunamuabudu na kumuomba wakati wa neema na raha peke yake,so in other words hii ni mitihani tu ya mungu tupate kujifunza from our mistakes/sins kama vile watu wabaya wanapokuwa blessed na vitu vizuri wanavyopaswa wajifunze.
To conclude ni kwamba if all human being in the universe(world) tungefuata maamrisho na makatazo ya mungu kusingekuwa na haya majanga ambayo tunayaona leo yakitokea.
