History inapingana na wanaosema ''HAKUNA MUNGU'': The simple research you can do to prove it.

Hujajibu.

Nimekuuliza kwa.nini mungu hakuumba ulimwengu ambao hauna maovu kama watoto wachanga kufa kwa majanga, lakini ambao binadamu bado anaweza kujifunza?

Hujajibu hili.

I mean it is not a must for children to die violent deaths for humans to learn.

Is it now?

your question in another words we can ask/say why does God allow bad things to happen to good people ?? When u r trying to thunk about that question also try to think why does god allow good things to happen to bad people???

It is distressing that natural disaster are oftenly termed as act of God while no credit is given to god for years??,decades or even centuries for peaceful weather

kwa upande mwingine naweza nikasema natural disaster zinatokea kutokana na sisi kumuudhi na kumuasi mungu ndo maana vitabu vya dini vinatuelekeza kwamba vizazi vya nyuma vilivyomkufuru mungu kupitiliza mungu akaamua kuviangamiza lakini pia kingine ni kwamba mungu anatupima imani zetu kwamba hata katika wakati wa majnga,shida na tabu bado imani zetu zitakuwa juu yake au tunamuabudu na kumuomba wakati wa neema na raha peke yake,so in other words hii ni mitihani tu ya mungu tupate kujifunza from our mistakes/sins kama vile watu wabaya wanapokuwa blessed na vitu vizuri wanavyopaswa wajifunze.

To conclude ni kwamba if all human being in the universe(world) tungefuata maamrisho na makatazo ya mungu kusingekuwa na haya majanga ambayo tunayaona leo yakitokea.
 
Above all nilliyoyasema huko juu,wakati tunajaribu au unajaribu kudadisi uwepo wa mungu mkuu Kiranga na goodness ya mungu kwa viumbe wake point kuu ya msingi jaribu kuelewa kwamba we human being we are not perfect,in what we are doing and in what we do have,so tukijaribu kudadisi uwepo na goodness ya perfect creature(God) sometme tunaweza tusiwe na majibu ya moja kwa moja (convincing ) kwa sababu sisi wenye hatuko kamilifu tuna shaka ndani yetu /being imperfect so katika kujudge kwetu tunaweza tukajudge in imperfect way hence tukashindwa kuthibitsha /kukuconvice uwepo as well as goodness of perfect creature (God)

chukulia mfano ukiwa kwenye barabara iliyonyooka huku unaendesaha gari unaweza ukaona kuna maji mbele lakini kadri unavyosogelea huyaoni yale maji so mpk hapo inamaanisha mind yako,akili,hisia as well as macho yako yote yalikudanganya kuona kitu ambacho hakipo mbele yako,

mfano mwingine ni chukua kitu kilichonyooka ukikiweka ndani ya maji utakiona kimepinda lakini ukweli ni kwamba hakijapinda so sense zetu(macho) zimetudanganya

pia ukikaa ukiangalia juu utaona kuna anga la blue as if ndio mwisho lakini ukweli sio mwisho pale kuna space inaendelea tena kubwa sana huko juu na pengine (hamna hata hilo anga la blue) that means macho yetu yako limited kuona a certain amount of distance wakati kuna space nyingine inaendelea so my point hapa is ikiwa milango yetu ya fahamu inashindwa kutuambia ukweli juu ya vitu vinavyyotuzunguka its very posible kwa being imperfect kwao vinashindwa kuthibitisha uwepo wa mungu vene unavyotaka wewe. /vinashindwa kuona uwepo wa mungu. Just because Mungu he is very perfect in everything i mean everything.
 
Last edited by a moderator:

Hujajibu swali.

Swali ni, kwa nini mungu alipokuwa anauumba ulimwengu, kabla ya kuwepo binadamu au shetani, kwa nini aliamua kuumba ulimwengu ambao mabaya yanaeezekana wakati alikuwa na uwezo wa kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezekani?

Ukisema natural disasters zinatokea kwa sababu tunamuudhi mungu, nitakuuliza, je mungu alishindwa kuumba ulimwengu ambao hatuwezi kumuudhi na hivyo hauna natural disasters?

Hujalijibu hili swali.
 
Kama sisi humans we are not perfect, na imani ya mungu ni yetu sisi imperfect human beings, utajuaje kwamba imani hii ni perfect na si imperfect projections from imperfect human beings?

Umetoa mfano wa kuona mirage, unajuaje kwamba mungu si mirage tu?

Umeongelea kuhusu apparent image, unajuaje kwamba mungu si apparent image tu ya our imperfect projections?

Umeongelea anga la blue kuonekana hivyo wakati halipo, unajuaje kwamba mungu naye si kama anga la blue? Kwamba inaonekana kama yupo lakini hayupo?
 
pia ukika
my point hapa is ikiwa milango yetu ya fahamu inashindwa kutuambia ukweli juu ya vitu vinavyyotuzunguka its very posible kwa being imperfect kwao vinashindwa kuthibitisha uwepo wa mungu vene unavyotaka wewe. /vinashindwa kuona uwepo wa mungu. Just because Mungu he is very perfect in everything i mean everything.

sasa hapa Mndengereko umeanza kwenda mbele sio km huko nyuma uliturudisha nyuma
  • sisi Binadamu tunashindwa kuthibitisha uwepo wa MUNGU au kuona uwepo wake
  • wengi tunafuata vitabu vya mapokeo (vya DINI) wakati km kweli yupo kwake hakuna DINI na sisi sote ni sawa
  • nilichogombana (argue) na wengine niwenyewe kujigrade madaraja ya juu kuwa wasio grade lao wamepotea 9ewe mwanamume usimdharau mwanamume mwenzako huwezi jua yeye ................)
Nikirudi kwenye Mada ya hawa vujana walioileta na kusepa
Proof ya kwamba MUNGU yupo ni ipi wakati Shetani hakuumbwa na MUNGU ndio anakula sahani moja naye (Soma Ayubu)
km yupo ni nani alitangulia Shetani au MUNGU na akafuatia binAdam
Kwanini Mwenye uweza asituhurumie akaBalance majanga haya?
Bado natoa like kwa Post 362 unapokubali kwa kutoa mifano ya uwezo wa binadamu ni mdogo kututhibitishia ni MUNGU yupi.
 
na hapo ndipo napohisi nitakapokomelea katika hii argument maana sidhani kama nitaweza kumconvonce /kiranga aamini uwepo wa mungu kwa kutumia hizi sense zetu, kwa sababu hakuna hoja ambayo utaleta hatoichalenge iwe ni effect ya mungu au la coz nyuma kuna mtu walijaribu kuargue akaambiwa alete effect ambayo very probably inathibitisha uwepo wa mungu ikawa ngumu coz bado Kiranga angechallenge kwa nini tuseme inaletwa na mungu kwanini isiwe inatokana na kitu kingine

im pretty sure hata leo hii kama mungu akiamua kujitokeza katika umbo lake la asili ili bwana Kiranga na wengineo wamuamini bado watachalenge im sure watachalenge inawezekana sio wewe na mungu yupo huko somewhere na akiambiwa atoe ushahidi bado huyu bwana atachalenge kwamba huo ushahidi inawezekana ukawa umetoa kutokana na sababu zingine au kitu kingine haujasababishwa na yy.
 
Sijaona proof ya kuwapo mungu hapa.
 
Last edited by a moderator:
Hujajibu swali.

Swali ni, kwa nini mungu alipokuwa anauumba ulimwengu, kabla ya kuwepo binadamu au shetani, kwa nini aliamua kuumba ulimwengu ambao mabaya yanaeezekana wakati alikuwa na uwezo wa kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezekani?

Ukisema natural disasters zinatokea kwa sababu tunamuudhi mungu, nitakuuliza, je mungu alishindwa kuumba ulimwengu ambao hatuwezi kumuudhi na hivyo hauna natural disasters?

Hujalijibu hili swali.

mkuu baadhi ya maswali yako nishayajibu and im sure nimeyajibu sawa kuna faida gani ya mungu kutupa akili(reasoning capability) alafu asituwekee mitihani ya kutuchallenge nikatoa mfano wa mwl na mwanafunzi ukaleta blah blah kibao ssijui mfano sio relevant lakini mmi still nauona irrelevant,nimekupa mfano mwingine tena wa upungufu wa milango yetu ya fahamu still umekataa kuelewa maelezo yangu wakati yapo clear kabisa,nachelea kusema i will not be able to convince you anymore unless we change our mode of argument
 
Hujathibitisha uwepo wa mungu.

Hujajibu kwa nini mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote, upendo wote ameumba ulimwengu ambao mabaya yanawezekana kama huu.
 
Last edited by a moderator:
mkuu baadhi ya maswali yako nishayajibu and im sure nimeyajibu sawa kuna faida gani ya mungu kutupa akili(reasoning capability) alafu asituwekee mitihani ya kutuchallenge nikatoa mfano wa mwl na mwanafunzi ukaleta blah blah kibao ssijui mfano sio relevant lakini mmi still nauona irrelevant,nimekupa mfano mwingine tena wa upungufu wa milango yetu ya fahamu still umekataa kuelewa maelezo yangu wakati yapo clear kabisa,nachelea kusema i will not be able to convince you anymore unless we change our mode of argument

Unachosema hapa ni sawa na kusema baba mwenye uwezo wa kumpa mwanawe mdogo anayejifunza kupambanua mambo maziwa tu, atampa maziwa na sumu inayofanana na maziwa ili tu mtoto ajifunze / awe na uhuru wa kuchagua.

Kwa nini baba ampe mwanawe sumu wakati ana uwezo wa kumpa maziwa tu?
 
Kama sisi humans we are not perfect, na imani ya mungu ni yetu sisi imperfect human beings, utajuaje kwamba imani hii ni perfect na si imperfect projections from imperfect human beings?

Umetoa mfano wa kuona mirage, unajuaje kwamba mungu si mirage tu?

Umeongelea kuhusu apparent image, unajuaje kwamba mungu si apparent image tu ya our imperfect projections?

Umeongelea anga la blue kuonekana hivyo wakati halipo, unajuaje kwamba mungu naye si kama anga la blue? Kwamba inaonekana kama yupo lakini hayupo?

hahahaha duh mkuu naona unageuza argument zangu tu,unaleta mambo ya what is past tense unajibu is the tense of past..
 
Hujajibu swali.

Swali ni, kwa nini mungu alipokuwa anauumba ulimwengu, kabla ya kuwepo binadamu au shetani, kwa nini aliamua kuumba ulimwengu ambao mabaya yanaeezekana wakati alikuwa na uwezo wa kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezekani?

Ukisema natural disasters zinatokea kwa sababu tunamuudhi mungu, nitakuuliza, je mungu alishindwa kuumba ulimwengu ambao hatuwezi kumuudhi na hivyo hauna natural disasters?

Hujalijibu hili swali.

Nani alikwambia Mungu anapangia watu maisha? God has given us freedom to make choices. Hakuna kulazimishana kwa Mungu.

Ndio maana nilikwambia jifunze kufikiria ndio useme, wewe huwa unasema halafu unaanza kufikiria.

GOD MEANS FREEDOM

Unachosema hapa ni sawa na kusema baba mwenye uwezo wa kumpa mwanawe mdogo anayejifunza kupambanua mambo maziwa tu, atampa maziwa na sumu inayofanana na maziwa ili tu mtoto ajifunze / awe na uhuru wa kuchagua.

Kwa nini baba ampe mwanawe sumu wakati ana uwezo wa kumpa maziwa tu?

nini faida ya kunywa maziwa wakati hujanywa sumu na na there is no way unaweza kunywa sumu.
 
Nani alikwambia Mungu anapangia watu maisha? God has given us freedom to make choices. Hakuna kulazimishana kwa Mungu.

Ndio maana nilikwambia jifunze kufikiria ndio useme, wewe huwa unasema halafu unaanza kufikiria.

GOD MEANS FREEDOM

Kama mungu anapenda sana kutupa choice, kwa nini hakutupa choice tuamue kama tunataka au hatutaki kuzaliwa?
 
Sijaona proof ya kuwapo mungu hapa.
quote_icon.png
By Kiranga

Hujaelewa/ unakwepa swali, siulizi mungu wangu, nauliza mungu wako.

Hivi huwa unaelewa uancho andika?
 
Kama mungu anapenda sana kutupa choice, kwa nini hakutupa choice tuamue kama tunataka au hatutaki kuzaliwa?

Kawaulize wazazi wako. Kwani Mungu aliwalazimisha wafanye ile mambo.
 
Back
Top Bottom