Hitimisho la Kesi: Final, Nimemalizana na ishu za mahakama Kuhusu Talaka

Umesema kweli sielewi kwanini ampe gari?

Lipo kwenye orodha ya mgao?

Halafu eti anadandia daladala!

Hapo unakuwa umemkabidhi bucha fisj yaani sielewi ana motive gani kuhusu hili ,

Mtoa mada bado hupindui kwa huyo mkeo
Ofcoursw lipo katika orodha ya mgao. Idea behind ni kuwa kule nilipoliacha kwa mshkaji nikalikuta kwenye hali mbaya sana na ikani coast kulikarabati ndio maana nikaona bora nimuambie awe analitumia tu kuliko kukaa tu.
 
Kunve
Kumbe kuna muda mahakama mnazikubali jpo kesi za kisiasa mnazibeza 😁
 
Ila we jamaa kirahic hivyo.
 
Congole sana.. .. una busara na hekma ..na unajua namna ya kucheza ngoma kufuatisha mapigo..
MMungu .. .. akubariki na akupe hitaji la moyo wako mkuu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…