LiFe 2-point-0
JF-Expert Member
- Mar 22, 2024
- 5,012
- 13,830
- Thread starter
-
- #61
UKiweka mbali opinion zako, utagundua kuwa hakuna mahala nimeandika i was perfect.Unaamini vipi huyu bwana alikuwa mzuri kwa huyo mama? Na yeye huyu bwana anaweza kukanyaga moto akaona ni afadhari hata ex wake! Kuna mdau hapo juu amesema ndoa ina siri kubwa!
Ahahahah.Kuna vitu vingine hata hukupaswa kufanya
Unampa gari na kupanda daladala!
Kisa eti itaharibika!
Huu ujinga sifanyi
AhahahahahahYaani mi sitakuja kusaini hilo karatasi..
Kabisa na jamaa hata akiwachukua bado Yale malezi/ upendo wa baba na mama hawataupata. Wanakutana na mama wa kamboLinapokuja suala wanandoa kutalikiana huwa hakuna mshindi,upande unaoathirika ni watoto na ndiyo unaoumia sana. Inaumiza sana ila huwa hatuzungumzi.
Hata haihusiani na hilo. Nimekutana wadau wanaume wengi mno kuhusu hili suala na katika same same setup. Sasa inawezekana labda wewe ndio umeathirila zaidi na mindset ya umalaya kwamba kila meet up kwako unaishia kutawanywa.Midada ya JF kwa kujirahisha Mxieeeeww
Kwahiyo alivyoona unaleta story ya talaka likataka kujiweka?!!
Pyeeeeee limeliwa kimasihara umalaya tu 😹😹😹
Ushabadili gia angani? 😹Hata haihusiani na hilo. Nimekutana wadau wanaume wengi mno kuhusu hili suala na katika same same setup. Sasa inawezekana labda wewe ndio umeathirila zaidi na mindset ya umalaya kwamba kila meet up kwako unaishia kutawanywa.
Pole mkuu, watu hawako hivyo, kua kidogo
Nakubali bruh, tuendelee kuishiYeah sure
Pole.Tuje kwako sasa..!!
Hiyo talaka utaiona tamu ss hivi ila uko mbele utajutia, sitaki kujudge sana ila km kweli utarudi hapa..!!
Mkuu siwez lea wanangu na mama wa kambo.Kabisa na jamaa hata akiwachukua bado Yale malezi/ upendo wa baba na mama hawataupata. Wanakutana na mama wa kambo
Ndio tunaishi mdogo angu. Sina deni na wewe hatimae 😂. TumemalizanaNakubali bruh, tuendelee kuishi
Punguza kuplay victim bro, halafu mbona unapenda kusikia kusifiwa kuliko kukosolewa?Pole.
Hakuna mahala nimeandika kufurahia talaka.
Hakuna katika mkasa huu mahala popote nimehusika katika kutaka talaka. Nimekubaliana na talaka nabtena sio tu talaka bali hata kupoteza mali zangu baada ya zoez la kuzuia sana hii talaka bila mafanikio.
Sasa ukinambia ninafurahia, nakushangaaa.
Ukinambia nitajutia, nakushangaa zaidi.
Nijutie kunusurika kufungwa jela?
Nijutie kutengana na mtu ali plan kunipoteza kwa kunifungulia kesi za jinai za kubumba?
Nijutie kuwa na uhutu huu wa kimaisha mbapo naiona every cent nimayoingiza tofauti na zamani?
Mkuu nafikiria bado hujafahamu watu huwa wanajuta kwasababu zipi.
Au yamkini umeandika kwa hisia zaid kuliko uhalisia.
Yan nijutie kumaliza mazonge ulioyaanzisha wewe ili kuni haribu na hayajafanikiwa,nijutie kipi hapo, hebu kuwa specific!
Shukran chief.Hongera na pole kwa changamoto.
Kama kweli unamuombea hivi basi uko vyema.Naamini atakutana na mtu sahihi zaidi , huwa napenda kufikiria hii zaidi
Kama vipi tumuite mke wake hapa aje?Punguza kuplay victim bro, halafu mbona unapenda kusikia kusifiwa kuliko kukosolewa?
Km unaleta mambo yako binafsi humu kubali maoni yote okay?
Wewe tukisikiliza upande wa pili wa mkeo inawezekana una tatizo kubwa..!!
sijajua wapi nime play victim, is all your mindset n you are okay to be that way.Punguza kuplay victim bro, halafu mbona unapenda kusikia kusifiwa kuliko kukosolewa?
Km unaleta mambo yako binafsi humu kubali maoni yote okay?
Wewe tukisikiliza upande wa pili wa mkeo inawezekana una tatizo kubwa..!!
Swadakta, tunaweza kukuta story ipo tofauti kabisaaaa.!! 😹😹Kama vipi tumuite mke wake hapa aje?