Hitimisho la Kesi: Licha ya hukumu kutolewa, hakuna official statement niliyokabidhiwa mahakamani

Kifupi ukristo na ulokolee ylianzia huko ukaenda maramgu Moshi ulipoelekea sijajua Tena
 
Jiongezeeee mkuu kama refa WA Leo ZNZ maisha ya kuwa murwaaaaaa
 
Mbona kama bado unampenda huyu ex wako mkuu?!

Huyo ni nyoka unapata wapi ujasiri wa kuruhusu akukiss?

Inavyonekana wewe ni dhaifu kwake na utamrudia tu.
Kama washajuana wanaoooo waendelee tu kula vidonge mkuu na upendoo m mwenyewe nimeshtukaa

Na ndio maana mahakama wanawazingua
 
Na NDUGU ZANGU Wana kesi Arusha WANASHINDA wanajeruhiwaa na rufaa Tena nawazooom YAAN wakishinda hii naenda mwagia upupu wale washenzi waliowatesaaaa
 
Mahakamaana tukimaliza salama shukuru Mungu soma Dua usirudi Tena na tenaa
 
Hongera mwamba kwa ushindi
Ni zaid ya mwez toka imetoka na yeye (ex-yf) pia alitaarifiwa na mahakama, nilitumaini ,awe ameshachukua hatuabya kaundika barua ya KUKAZIA HUKUMU ili kutekeleza agenda alizotaka ,especially mnada wa mali ili achukue mgao, LAKINI MPAKA SASA KIMYAAA. Name sijataka kumuuliza chochote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…