Hitimisho la Kesi: Licha ya hukumu kutolewa, hakuna official statement niliyokabidhiwa mahakamani

Nakwambia, hapo lazima mtarudiana tu, hakuna cha takaka hapo!
 
Hata mimi naona ni kama huyo mwanamke anakuigizia tuu,
Ameshakuona wewe ni dhaifu, kwahiyo usikubali uthibitishe hilo.
Na kuwa nae makini huwezi kujua ana panga nini baada ya hapo.
 
Mbona kama bado unampenda huyu ex wako mkuu?!

Huyo ni nyoka unapata wapi ujasiri wa kuruhusu akukiss?

Inavyonekana wewe ni dhaifu kwake na utamrudia tu.
Shaggy aliimba Strength of the woman.

Hawa viumbe wana nguvu fulani hivi ya ajabu.

Inanibidi uwe bandidu na kauzu kwelikweli kukwepa mitego yao.
 
ADDITION:
huu uzi nimejitahid kujikita kwenye mrejesho wa mahakan LAKINI kuna mambo mengi mnoooo ambayo sijataka kuyaweka hapa toka tumeachana mahakaman tarehe 12. Mengi mnoo, uzi ungewachosha. Yawezekana ndio maana wengi wanaona kama nina dalili za kutaka kurudisha moyo ila lait kama ningeweka yote huenda ningeeleweka.

Kwakifupi,, hii ni stage nyingine ya wife katika ku attepmt kuni provoke. Mtiririko wa matukio uko hiv kwa kifupi

  • amefanya jitihada za kunichonganisha na ndugu zangu kwa kupiga simu hukubna huku baada ya mimi kufunga maswasiliano.
  • amejaribu kutumia watoto kama njia ya kuni provoke apate attention yangu hakuweza
  • amejaribu sana kunifanya nijue kuwa kwasasa yeye amekua mtu wa outing sana za mara kwa mara, siku reapond
  • ameanza kuwa active sana facebuk na ku post mapicha watu ,mimi kimya. Nilim unfriend yeye na all mutual friends na nika lock profile yangu.
  • ni mambo mengi mnoo, so WAKUU, HAYA NIMEELEZA NI MUENDELEZO TU ambao mimi sijui ni wa nini lakin ndio kwanzaaa anazis kuni push further na kuni prove kuwa am right to distance myself
 
Kwanza soon wanakulana hawa.
Unajua wana mizizi mirefu, kwa maelezo kama wana watoto 4, hii ni historia yenye hisia mchanganyiko.

Wamegusanisha vifua vyao kwa hug, hii kila mtu akiwa na utulivu atavuta hisia za nyuma.
Yaani we acha tu,,, mkulano wa ndani ya ndoa una raha yake!!!! Ukute na maji walikua wanamwagiana basi raha tupu!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…