Hivi ATCL kufanya safari za ndege Chato, hakutaliletea hasara kibiashara Shirika hilo?

ATCL bila ruzuku toka magogoni au tuseme ikulu ya chamwino lingeshajifia kitambo.Sasa lazima wajipendekeze kwa kulipa fadhili kupeleka ndege zake Chato!
Jackal
Lazima utambue kuwa mwisho wa siku anayeumia ni Mimi na wewe, ambao tumelipa kodi zetu kikamilifu
 
Ili makijani wajue umuhimu wa ile katiba mpya nakwanini anasingizia gharama hataki itimie tutaichambua chato kabla na baada ya hii miaka kumi...
Ndipo utajua kunawatu wengi kijanini wanakosa maarifa kabisa bali uroho binafsi!!
 
Mkuu ungeenza na Kigoma ningeelewa; ninachoona ni kama unachuki na JPM na Chato ni fursa ya kuonyesha chuki zako
 
Watalii wa nje ndio wanaingiza pato kubwa. Burig chato wamekuja juzi tu. Huwez wapita akina kilimanjaro ,manyara ,akina serengeti, tarangire ,akina ngorongoro. Kwa mapato.
Ndio zinaongoza kwa watalii wa nje. Hao ndio target ya kibiashara.
Mbuga international ndio hizo. Watalii wa ndani hawaingiz pato kubwa. Kama wa nje.

Kila mgeni anaekuja lazima anaaze na mbuga kubwa zinazojulikana tz. Ziko arusha na moshi.
.
 
Rubbish country!! Rubbish advisers!! Rubbish rubbish!!!! Our taxes have no one to look after!! We are damned!!
 
Waende tu Chato wakipata hasara shauri zao maana haitupunguzi wala kutuongezea chochote
 
Mleta mada

Ujinga wako ni hapo ulipoandika kijijini Chato

Chato sio kijiji ni Mji
Naona hujawahi hata fika unaandika upumbavu wako hapa
Usitumie nguvu nyingi kumfahamisha asiyefahamu, tupiamo na tupicha picha basii.
 
Subiri safari zianze usiseme una uhakika wakati biashara haijaanza
 
Huyo anayejiita mwendawazimu hajali kama ndege zitaenda tupu na kurudi tupu Dar na hivyo kutuingiza walipa kodi kwenye hasara kubwa sana ya mabilioni. Anachojali yeye ni uwanja wale wake wa Kimataifa usio na tija kwa Watanzania kutumika.
 
Mleta mada

Ujinga wako ni hapo ulipoandika kijijini Chato

Chato sio kijiji ni Mji
Naona hujawahi hata fika unaandika upumbavu wako hapa
Chato kuna mradi mingi sasa ya kumwaga fuata nyuki ule asali,by December 2025 ni fire.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…