VINICIOUS JR
JF-Expert Member
- Dec 29, 2022
- 208
- 518
Kwema wakuu,
Kama mada inavojieleza. Wakuu kuna mke wa jiran yangu nashindwa kumuelewa, alisafiri miezi miwili iliyopita sasa karudi kama siku tatu zilizopita sasa kanivizia nipo peke yangu anaanza kunilaumu nina roho mbaya toka amerudi sijaenda kumuona mara nimnunulie soda wakati mim ni jobless na yeye mme wake ni askari, nikienda kuoga anakuja niambia twende nikakuogeshe.
Sasa hii jioni nimekutana naye ananiambia, nambie rafki angu me nikamwambia sina urafiki na wewe, akanikazia macho na kunambia unanikataa nikamjibu ndio basi kaondoka huku kanuna.
Karibuni kwa maone hivi hawa wanawake wanashida gani hasa?