Hivi baadhi ya wake za watu wana shida gani?

Utashangaa watu wanasema hujui siku ya kufa kwako, huku unataka chakata mbususu ya poti, wana wivu kinoma chalii angu, pekua hapa jamii forum tu utaona uzi kibao jinsi wanavyouwa, kujiua kisa wivu wa mapenzi.
Ushauri wangu komaa ivo ivo kula buyu, ukiona kichwa kidogo kinataka kuponza kichwa kikubwa kichukue kichwa kidogo kiburuze ukutani kichubuke kiaina, huwa kinaa hata mwezi kinajiuguza bila usumbufu.
 
Heading ingesomeka mke wa askari sijui anashida gana badala ya wake za watu
 
Kwema wakuu,

Kama mada inavojieleza. Wakuu kuna mke wa jiran yangu nashindwa kumuelewa, alisafiri miezi miwili iliyopita sasa karudi kama siku tatu zilizopita sasa kanivizia nipo peke yangu anaanza kunilaumu nina roho mbaya toka amerudi sijaenda kumuona mara nimnunulie soda wakati mim ni jobless na yeye mme wake ni askari, nikienda kuoga anakuja niambia twende nikakuogeshe.

Sasa hii jioni nimekutana naye ananiambia, nambie rafki angu me nikamwambia sina urafiki na wewe, akanikazia macho na kunambia unanikataa nikamjibu ndio basi kaondoka huku kanuna.

Karibuni kwa maone hivi hawa wanawake wanashida gani hasa?
Huyu anataka de libolo mzee changamkia tender hiyo wewe
 
Tunapoteza vijana wa hili taifa kwa kweli... hata ili nalo nilakupeana ushauri kweli.

"serikali itenge bajeti kwa vijana" alaumiwe serikali tu hakuna namna.

jiamini chakata mbususu iyo kwa level za kiintelijinsia ... kaplo sijui mabaka mabaka izo nguo tu"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwema wakuu,

Kama mada inavojieleza. Wakuu kuna mke wa jiran yangu nashindwa kumuelewa, alisafiri miezi miwili iliyopita sasa karudi kama siku tatu zilizopita sasa kanivizia nipo peke yangu anaanza kunilaumu nina roho mbaya toka amerudi sijaenda kumuona mara nimnunulie soda wakati mim ni jobless na yeye mme wake ni askari, nikienda kuoga anakuja niambia twende nikakuogeshe.

Sasa hii jioni nimekutana naye ananiambia, nambie rafki angu me nikamwambia sina urafiki na wewe, akanikazia macho na kunambia unanikataa nikamjibu ndio basi kaondoka huku kanuna.

Karibuni kwa maone hivi hawa wanawake wanashida gani hasa?
Mkuu vini nicheki inbo
 
Asilimia kubwa ya wanawake wanaolewa ili tu kutafuta unafuu wa maisha na sio kumpenda mume wake, sasa hapo ndio mwanzo wa kugawa nje sana.
 
Kwema wakuu,

Kama mada inavojieleza. Wakuu kuna mke wa jiran yangu nashindwa kumuelewa, alisafiri miezi miwili iliyopita sasa karudi kama siku tatu zilizopita sasa kanivizia nipo peke yangu anaanza kunilaumu nina roho mbaya toka amerudi sijaenda kumuona mara nimnunulie soda wakati mim ni jobless na yeye mme wake ni askari, nikienda kuoga anakuja niambia twende nikakuogeshe.

Sasa hii jioni nimekutana naye ananiambia, nambie rafki angu me nikamwambia sina urafiki na wewe, akanikazia macho na kunambia unanikataa nikamjibu ndio basi kaondoka huku kanuna.

Karibuni kwa maone hivi hawa wanawake wanashida gani hasa?
Kweli hili swala siku hizi ni kero sana kwa sisi bachelor yaani wanasumbua sana..

Jaman nyie mliooa watunzeni wake zenu vizuri na mwalipie vikoba vyao kwa wakati.
 
Back
Top Bottom