Pre GE2025 Hivi bado mna imani na CHADEMA bado kuja kuikomboa Tanzania?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hakuna chama cha kuisaidia hii nchi zaidi ya uwezo WA mtu binafsi!
Nawakubali Makonda,Majaliwa &Paramagamba. Nchi yetu inataka kiongozi mbabe mbabe ndo mambo yanaenda!
 
si
Ina maana wewe ni mbinafsi kupitiliza?!
Nini kitakuzuia kutokomeza umaskini wa taifa kwa jumla?
bora niwe mkweli mkuu familia yangu kila day inalia haina ajira so kipaumbel kitakuwa familia.yangu
 
Kuamini CHADEMA itatukomboa inawezekana sio kweli, ila kuamini tukiacha CCM madarakani tutakombolewa huo ni UWENDAWAZIMU uliotukuka.
Yaani Miaka 60 hakuna kinachoendelea ni ubabaishaji Tu, afadhali kubadili mfumo kuangalia upande mwingine .
 

Ukombozi hauko ndani ya chama cha siasa bali NDANI YA KILA MWANANCHI/MTANZANIA MWENYEWE.
 
Sasa mtu Kama Lema ana integrity gani ya uzalendo umpe awe waziri wa mambo ya ndani ?!! 😲😲🀣🀣
 
Sema hata uzi ungesema hatua mini.
Naona tunaenda pamoja kabisa
 
Tunataka mfumo wa haki wa uchaguzi kuanzia ngazi ya kata mpaka urais.
Tunataka matokeo ya urais kupingwa mahakamani.
Tunataka mgombea huru.

Tukiendelea na mfumo huu wa sasa wa uchaguzi tutakuwa maskini mpaka Yesu arudi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…