Chalii Wa Kipare
JF-Expert Member
- Jul 12, 2013
- 462
- 907
Kuweka Hatima ya Nchi kwenye kikundi cha watu ni upumbavu usio mithilika, yeye kama Mwananchi amechukua jukumu gani kubadilisha hali hii ya ukandamizwaji? Tunatawaliwa Kidikteta kwasababu tumeshindwa kuwajibika kama Wananchi, tunakaa kuwalaumu Wanasiasa wakati Sisi wenyewe hatuwajibiki hata kidogo.Kuamini CHADEMA itatukomboa inawezekana sio kweli, ila kuamini tukiacha CCM madarakani tutakombolewa huo ni UWENDAWAZIMU uliotukuka.
NDIOkwasasa tusidanganyane hakuna Chama cha siasa cha umpizani kinachoshawishi CHADEMA sio Chama cha kukitegemea hata viongozi wake wenyewe bado hawajajitambua na kwanyakati hizi hatuna viongozi au wanasiasa wenye ushawishi wengi wanatetea matumbo yao acheni kujichosha hakuna upinzani now ulishakufa kipindi cha magufuli
Nakubaliana na wewe Mkuu 100% kuamini Chadema ni mbadala wa CCM ni upumbavu na kuamini hakitakiwi chama kingine zaidi ya CCM ni upumbavu uliotukuka maana viongozi wote wa vyama hapa Tanzania wapo kwa ajili ya matumbo Yao na sikwaajili ya WananchiKuamini CHADEMA itatukomboa inawezekana sio kweli, ila kuamini tukiacha CCM madarakani tutakombolewa huo ni UWENDAWAZIMU uliotukuka.
Wewe ni mtoto wa mwanamke malaya siyo burekwasasa tusidanganyane hakuna Chama cha siasa cha umpizani kinachoshawishi CHADEMA sio Chama cha kukitegemea hata viongozi wake wenyewe bado hawajajitambua na kwanyakati hizi hatuna viongozi au wanasiasa wenye ushawishi wengi wanatetea matumbo yao acheni kujichosha hakuna upinzani now ulishakufa kipindi cha magufuli
malaya alianza mma ako ndio ukapatikana weweWewe ni mtoto wa mwanamke malaya siyo bure
labda wanaweza leta mageuziKwa hali hii sina imani na Chadema, naomba tu CCM igawanyike sehemu mbili na moja iwe pinzani.
Hakuna Chama kinachoaminika 100% mpaka muda huu, vyote vinachechemea tu, ila tunahitaji mabadiliko yawe ndani ya CCM au nje ya CCM.kwasasa tusidanganyane hakuna Chama cha siasa cha umpizani kinachoshawishi CHADEMA sio Chama cha kukitegemea hata viongozi wake wenyewe bado hawajajitambua na kwanyakati hizi hatuna viongozi au wanasiasa wenye ushawishi wengi wanatetea matumbo yao acheni kujichosha hakuna upinzani now ulishakufa kipindi cha magufuli
nje ya ccm hakuna kitu ni njaaa tup imagine mtu uchaguzi bado ila kashapanga baraza lake la mawaziri ni sawa kweli?Hakuna Chama kinachoaminika 100% mpaka muda huu, vyote vinachechemea tu, ila tunahitaji mabadiliko yawe ndani ya CCM au nje ya CCM.
Rejea kauli ya Baba wa Taifa Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere kuwa ".....Watanzania wanataka mabadiliko na wasipoyaona au wasipoyapata ndani ya CCM watayataguta nje ya CCM".
Hata ndani nako ipo haja ya kujiweka sawa, hakuna usafi huo unaodhani ndiyo maana kuna watu wakipewa microphone wanaropoka ujinga kama hawajajifunza uongozi.nje ya ccm hakuna kitu ni njaaa tup imagine mtu uchaguzi bado ila kashapanga baraza lake la mawaziri ni sawa kweli?
uongozi ni kalamaHata ndani nako ipo haja ya kujiweka sawa, hakuna usafi huo unaodhani ndiyo maana kuna watu wakipewa microphone wanaropoka ujinga kama hawajajifunza uongozi.
Uongozi pia ni kujifunza..uongozi ni kalama
hiv ukienda kuchambua elimu zao unakutana na elimu za kununua tz wasom wachacheUongozi pia ni kujifunza..
Ndiyo maana walipita pale Magogoni sema wengine walikuwa wanapiga sogo tu
Ungejua CCM wanavyoiogopa Chadema usingekuwa na mawazo hayokwasasa tusidanganyane hakuna Chama cha siasa cha umpizani kinachoshawishi CHADEMA sio Chama cha kukitegemea hata viongozi wake wenyewe bado hawajajitambua na kwanyakati hizi hatuna viongozi au wanasiasa wenye ushawishi wengi wanatetea matumbo yao acheni kujichosha hakuna upinzani now ulishakufa kipindi cha magufuli
Hakika,hiv ukienda kuchambua elimu zao unakutana na elimu za kununua tz wasom wachache
Mimi nadhani kwa sasa CCM inapaswa kujiogopa yenyewe kutokana na aina ya viongozi wake na mambo wanayoyafanya licha ya kuingia gharama kubwa kuwafunda na kuwapata.Ungejua CCM wanavyoiogopa Chadema usingekuwa na mawazo hayo
hawaiogopi ila chadema inachafua ccm hasa inamchafua raisUngejua CCM wanavyoiogopa Chadema usingekuwa na mawazo hayo
tuvumiliane ty wasomi hawapewi nafasHakika,
Frankly speaking kuna mahali pia CCM inajichafua yenyewe, tuseme tu ukweli ili kukiimarisha chama zaidi, ni suala la kukubali na kujirekebisha tu ila kujitetea, kusifiasifia hakusaidii zadi ya kupunguza uwajibikaji na kutafuta pa kutupia lawama "comfort zone".hawaiogopi ila chadema inachafua ccm hasa inamchafua rais