Hivi dada ukiwa unampenda mwanaume halafu yeye hakutongozi, huwa mnafanya nini?

Dah! Women Women Women
 
Mwanadada kama unampenda mkaka na hataki kukuelewa chukua tuu namba yake utakuja kunishukuru siku hizi wanaume wengi ni marage ya mbeya maji mara moja.

Ila jiadhari sana maana kuwa single mother ni rahisi sana kuliko kumtongoza mwanaume
 

Tawile ma'am.

-Kaveli-
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…