Hivi dada ukiwa unampenda mwanaume halafu yeye hakutongozi, huwa mnafanya nini?

Hivi dada ukiwa unampenda mwanaume halafu yeye hakutongozi, huwa mnafanya nini?

Oooh

Huyo moja ni wa chuo, nilikua namchelewesha kumpa majibu yake baada ya kuniambia hisia zake .So akawa kamind hivi so I asked him kama tunaweza onana basketball ground kule mabibo hostel, wakati tunaongea , ghafla nikampa kiss un expectedly( it was such a deep, sweet and random kiss) so from there tukawa wapenzi.

Wapili ni boss wangu kazini, we liked each other but hanitongozi, nikamuita sehemu for drinks from work( cha ajabu alienda home akaoga na kuchange clothes ) then akaja , tukapiga drinks then I started the romantic kiss then nikampuzia..But badae tukawa wapenzi

Inshort, i will grant my heart what it wants.
Hahahaha,uko vzr , hongera
 
Muombe mtoke out friendly, Baada ya kunywa wine kidogo( usilewe sana just a bit tipsy) ,give hime a random deep kiss ila usimpe papuchi.

Hakikisha you look good and you smell good and act classy but a little bit sassy.

Baada ya hapo usimpe too much attention, make him want you.

Au muite kwako kama uko tayari kwa chochote yaani liwalo na liwe [emoji23][emoji23]..Make sure wewe na mazingira yako mnavutia,
Hahahahahaha hii imeishaaa
 
Hivi dada ukiwa unampenda mwanaume alafu yeye hakutongozi, hua mnafanya nini?
kwa mwanaume anayejielewa na mwenye akili iliyotulia mwanamke akiwa anakuhitaji utamjua tuu jinsi anavofanya interaction na wewe. Mfano nikijitolea mimi kipindi nipo mdogo nilikua nadhani ni utoto labda unakuta mdada anakuzoea au anakuchangamkia kwa namna fulani ambayo sio ya kikwaida. Na nikuambie siri hata mwanamke unayemtongoza ukiachilia mbali wenye vijitabia vya umalaya mwanamke ukiona kakukubalia jua kwamba asilimia karibia 90% alikua kesha kukubali hizi kumi za kukuangalia vitu vidogo vidogo ili ajione taswira yako ndani ya maisha yake.
Mfano mimi kupitia maisha na mazingira niliyopitia ninakuwaga na ki super instinct fulani hivi kakumsoma mwanamke kwamba huyu ananihitjaji to this day wanawake nilikua nao kwa kunitongoza wao bila kuniambia wapo kibao. Mpaka wakati mwingine nikiwa sina interest naye nakata mazoea ili kumuonesha sina shida naye. Na mwanamke akikupa signal kama unakupenda afu ukamzingua harudii tena . na mwanamke hamzoei mtu yoyote yule ambaye haoni taswira yako ndani ya maisha yao.
 
Muombe mtoke out friendly, Baada ya kunywa wine kidogo( usilewe sana just a bit tipsy) ,give hime a random deep kiss ila usimpe papuchi.

Hakikisha you look good and you smell good and act classy but a little bit sassy.

Baada ya hapo usimpe too much attention, make him want you.

Au muite kwako kama uko tayari kwa chochote yaani liwalo na liwe [emoji23][emoji23]..Make sure wewe na mazingira yako mnavutia,
Umemaliza kila kitu na hakika kwa mbinu hii me umetuwezea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom