Hivi dada ukiwa unampenda mwanaume halafu yeye hakutongozi, huwa mnafanya nini?

Hahahaha,uko vzr , hongera
 
Hahahahahaha hii imeishaaa
 
Hivi dada ukiwa unampenda mwanaume alafu yeye hakutongozi, hua mnafanya nini?
kwa mwanaume anayejielewa na mwenye akili iliyotulia mwanamke akiwa anakuhitaji utamjua tuu jinsi anavofanya interaction na wewe. Mfano nikijitolea mimi kipindi nipo mdogo nilikua nadhani ni utoto labda unakuta mdada anakuzoea au anakuchangamkia kwa namna fulani ambayo sio ya kikwaida. Na nikuambie siri hata mwanamke unayemtongoza ukiachilia mbali wenye vijitabia vya umalaya mwanamke ukiona kakukubalia jua kwamba asilimia karibia 90% alikua kesha kukubali hizi kumi za kukuangalia vitu vidogo vidogo ili ajione taswira yako ndani ya maisha yake.
Mfano mimi kupitia maisha na mazingira niliyopitia ninakuwaga na ki super instinct fulani hivi kakumsoma mwanamke kwamba huyu ananihitjaji to this day wanawake nilikua nao kwa kunitongoza wao bila kuniambia wapo kibao. Mpaka wakati mwingine nikiwa sina interest naye nakata mazoea ili kumuonesha sina shida naye. Na mwanamke akikupa signal kama unakupenda afu ukamzingua harudii tena . na mwanamke hamzoei mtu yoyote yule ambaye haoni taswira yako ndani ya maisha yao.
 
Umemaliza kila kitu na hakika kwa mbinu hii me umetuwezea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…