Hivi dada ukiwa unampenda mwanaume halafu yeye hakutongozi, huwa mnafanya nini?

Wewe umeiva kwenye mitongozo
 
Hiyo ya kuitwa majina ya kimahaba ndio mbinu ya wengi

Ila mwenye kibunda chake anakualika mtoke outing. Hawa watamu sana kwenye kula hela zao

Wengine ni kila mara atakucheki iwe ni meseji au simu mpaka utaelewa tu huyu anakutaka. Mara akuulize umekula? Yaani mambo yanayoonyesha anakujali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…