Hivi Dodoma ndio hakuna maji namna hii?

Yesu Anakuja

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2019
Posts
12,675
Reaction score
25,924
Nimekaa hapa wiki moja nzima, mabomba hayatoi maji.

Nadhani serikali imeharakisha kuhamishia makao makuu hapa Dodoma kabla suala la maji halijatengemaa.

Awesu ndo yupo Italy anakula bata tu.

====

UFAFANUZI KUTOKA DUWASA

====

Nimekaa hapa wiki moja nzima, mabomba hayatoi maji.

Nadhani serikali imeharakisha kuhamishia makao makuu hapa Dodoma kabla suala la maji halijatengemaa.

Awesu ndo yupo Italy anakula bata tu.
Hivi kule Dubai walitoa wapi maji, mbona palikuwa jangwa zaidi ya hata hapo Dodoma?

Anyway, labda fund capital ni tatizo kulingana na nchi zetu za dunia ya 3.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
There are two sources for water in the UAE: Ground water and desalinated sea water. The ground water levels are not enough and only serves a little more than 1% of its need. Close to 99% of potable drinking water in Dubai now comes from its desalination plants.
 
Kuna project ya kutoa Lake Victoria, itafaidisha watu wengi sana aisee. Mungu bariki wakubwa wasiingize tamaa.
 
Tatizo kubwa hasa nadhani ni financal capital.

2020 China ilijenga kiwanja cha ndege cha kimataifa kikubwa sana duniani juu ya bahari chenye square kilometers sawa na Jiji la Dar lote.

Huoni jinsi gani pesa imetumika hapo?

2018 Niliangalia chaneli ya Discovery Science Startimes, walikuwa wanadai China ilikuwa na project ya kujenga reli ya umeme chini kwa chini ardhini kwa miaka 20 ambapo ingerahisisha kusafiri kwa treni ya kisasa toka China hadi USA kwa masaa mawili tu.

Changamoto ni Earth's axis (muhimili wa dunia unapojizungushia) pana jotoridi kali sana hata waweke AC ya kiwango gani bado hakuna kiumbe kitachosalia ikiwa treni itakatiza kwenye huo muhimili wa dunia.

Pesa ina nafasi kubwa sana kujenga vitu ambapo hapana hata vigezo/sifa sahihi.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Nimekaa hapa wiki moja nzima, mabomba hayatoi maji.

Nadhani serikali imeharakisha kuhamishia makao makuu hapa Dodoma kabla suala la maji halijatengemaa.

Awesu ndo yupo Italy anakula bata tu.
Kichekesho hayo maji yenyewe yakitoka baada ya hiyo wiki moja, bado unakuta ni maji chumvi!!

Aisee huo mji unahitaji uwekezaji wa kutosha sana mpaka kuwa na hadhi ya kuitwa Jiji!
 
Afadhali maji yasitoke Dodoma ili mawaziri wadogo wasichukue wanafunzi Udom.
 
Ikulu yapo ya kutosha tu mpaka wameamua kufuga mabata na viboko viwe vinajivinjari humo majini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…