Tatizo kubwa hasa nadhani ni financal capital.
2020 China ilijenga kiwanja cha ndege cha kimataifa kikubwa sana duniani juu ya bahari chenye square kilometers sawa na Jiji la Dar lote.
Huoni jinsi gani pesa imetumika hapo?
Huwa naangalia chaneli ya Discovery Science Startimes, walikuwa wanadai China ilikuwa na project ya kujenga reli ya umeme chini kwa chini ardhini kwa miaka 20 ambapo ingerahisisha kusafiri kwa treni ya kisasa toka China hadi USA kwa masaa mawili tu.
Changamoto ni Earth's axis (muhimili wa dunia unapojizungushia) pana jotoridi kali sana hata waweke AC ya kiwango gani bado hakuna kiumbe kitachosalia ikiwa treni itakatiza kwenye huo muhimili wa dunia.
Pesa ina nafasi kubwa sana kujenga vitu ambapo hapana hata vigezo/sifa sahihi.
Sent from my CPH2387 using
JamiiForums mobile app