ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Pesa bil.47 zimeelekezwa kwenye posho huko Ardhi ππHivi kule Dubai walitoa wapi maji, mbona palikuwa jangwa zaidi ya hata hapo Dodoma?
Anyway, labda fund capital ni tatizo kulingana na nchi zetu za dunia ya 3.
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Shida sio akili kwamba hawajui vyanzo vya maji bali Pesa bil.47 imepangwa kulipwa posho.Tuna tatizo la akili butu.
Mfano mdogo tu.
Ninapoishi mimi kuna vyanzo kibao vya maji.
Maji ardhini
Chemchemi toka mlimani
Mto usio kauka.
Ajabu maji yanatoka kwa mgawo japo yanatoka kila siku.
Kuna zamu ya usiku na mchana.
Akili ndio tatizo kubwa
Umekimbia Mwanza kwenye Kansa π€£π€£Dodoma kuna tatizo la maji toka 2020 mwezi wa nane hadi leo hii tunakushangaa wakazi unaongea ongea tu.
Kuna maeneo yanapata maji kila siku kuna maeneo yanapata kila baada siku tatu, visima vya maji viko mayamaya na kuna mradi mkubwa wa maji ulianza kutekelezwa siku nyingi tu
Na katika hayo maeneo yanayopata maji kila baada ya siku tatu kuna laini zinatoa kila siku
Unadhani itachukua miaka mingapi? So long as mitaa ya vigogo Maji yapo nyie mtasubiria Hadi 2040Kuna mdau wa duwasa hapo juu kasema moja ya suluhisho la maji ni mradi wa maji kutoka victoria , ndo maana mdau kaja na hoja itawezekana vipi maji ya victoria yasaidie dodoma ilhali hapo mwanza kwenyewe tu kuna mgao wa maji!
Ni Kweli Maji Shida Sana Watu Wenye Tu Huchimba Visima Kwa MagariJana nilikuwa morogoro mitaa ya Tubuyu maji ni shida mno
πππππ πππππIshi Jeshini Makutupora Ambako Mzakwe Ni JiraniNdugu umewezaje kukaa Dodoma kwa week moja? Hapo mahala ni pakame haswaa.
Umekufa Kibudu Wahuni Wapo JobUle mradi wa ziwa victoria, bado haujafika huko?
Pole Rey. Niko Nkuhungu Chama lakini naona fair tu maji yanatoka Jmosi, Jnne, Jtano nadhani na Ijumaa. Kwanu ninaona inavumilika.Msalato ilikua Haina shida ya Maji Huku mwisho imeanza juzi nimechukiaaaaa....yaani yanatoka Kwa timing na hayana nguvu.
Sehemu isiyo na shida ya Maji ni pale mjini center eneo la makole na bungeni,kutokea bible mpk idara ya Maji Huku hakuna shida ya Maji Kwa kua pale Kuna Bomba kubwaa ,Kisasa SIKU hizi Kuna shida ya Maji kwenye nyumba 300 balaaa...panakera afu vyoo vya kukaa,ukienda nkuhungu Sasa Maji yanatoka Kwa wiki mara mbili (Huku ndo nilikaaa kabisaa mbona nilihama)
Dodoma Kuna shida ya Maji kama Kuna maeneo zaidi ya hayo niliyotaja yanatoka Kila SIKU maji hongera zao..ila panaboa Sanaa ,SIKU za mvua Sasa ndo maji yanatoka almost every day km wachawi vile[emoji57][emoji57][emoji2955][emoji2955][emoji2955]
Raha Sana Maji Yapo Nkuhungu TelePole Rey. Niko Nkuhungu Chama lakini naona fair tu maji yanatoka Jmosi, Jnne, Jtano nadhani na Ijumaa. Kwanu ninaona inavumilika.
ππ ππππShida ya maji ni maeneo mengi, hata Dsm shida tu
nendeni ikulu mkapange foleni maji yapoNimekaa hapa wiki moja nzima, mabomba hayatoi maji.
Nadhani serikali imeharakisha kuhamishia makao makuu hapa Dodoma kabla suala la maji halijatengemaa.
Awesu ndo yupo Italy anakula bata tu.
====
UFAFANUZI KUTOKA DUWASA
====
UbinafsiShida sio akili kwamba hawajui vyanzo vya maji bali Pesa bil.47 imepangwa kulipwa posho.
Kwa Dodoma Kisasa kule Kwa washua hakuna maji piaUnadhani itachukua miaka mingapi? So long as mitaa ya vigogo Maji yapo nyie mtasubiria Hadi 2040
Ahsante mi sijazoea shida ya Maji mmezoea Kila Siku maji yapo kwetu Dar,Huku Naona mateso tupu!!!na kuchimba kisima ni gharama sana Kwa DodomaPole Rey. Niko Nkuhungu Chama lakini naona fair tu maji yanatoka Jmosi, Jnne, Jtano nadhani na Ijumaa. Kwanu ninaona inavumilika.
Inategemea na nkuhungu ipiRaha Sana Maji Yapo Nkuhungu Tele
Mwanza is my hood, nimezaliwa kule nimesoma kule na nitarudi baada ya kumaliza kazi na kuvikwa tajiUmekimbia Mwanza kwenye Kansa π€£π€£