Dr wa Manesi
JF-Expert Member
- Aug 19, 2024
- 6,479
- 4,974
Limeshaharibu tayari. Vinyimbo vyenyewe viwili tu visivyo na maana yoyote halafu mnaliita kuja kuishia kuleta mambo ya kijinga tu.
Limetukana tayari, shenzy zake
🤣🤣Hahahaha baada ya ile kauli nilijua tu inatakiwa niingie JF lazima nitakuta uzi kuhusiana na ile kauli hahahaha yule bro ana dunia yake kichwani.
Kwani kasemaje? Wengine hatujamsikia kabisaHahahaha baada ya ile kauli nilijua tu inatakiwa niingie JF lazima nitakuta uzi kuhusiana na ile kauli hahahaha yule bro ana dunia yake kichwani.
akikujibu unambie maana mimi sina simu, radio wala televisionKwani kasemaje? Wengine hatujamsikia kabisa
Kauli gani tena mkuu??Hahahaha baada ya ile kauli nilijua tu inatakiwa niingie JF lazima nitakuta uzi kuhusiana na ile kauli hahahaha yule bro ana dunia yake kichwani.
"Tunawapiga MITI"Kwani kasemaje? Wengine hatujamsikia kabisa
Jamaa anapenda sana kilimo cha biashara huyu... ni miti tu yeye"Tunawapiga MITI"
Jinga kweli zee lile, hakutakiwa kutoa upumbavu kama ule siku muhimu kama hii......tunawaheshimu Simba hata kama wanyonge zetu"Tunawapiga MITI"
Sasa hili ndo tusi hadi kufungulia uzi?"Tunawapiga MITI"
Unajua ni namna ambavyo aliliwasilisha lilikuwa na uzito wake na siunajua mamba vitu vikiwa vimeanza kukolea kichwani. Na bora wakamuwahi tu.Sasa hili ndo tusi hadi kufungulia uzi?
Nitupe maiki kwa aliyeleta Hii taarifa bwana little master maana mimi sijahudhuria kabisa hilo tamashakwamba hiyo miti ni kina nani wanao tarajia kupigwa 🤔