Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 22,981
- 47,826
Mwaibile wawapi haujui wasanii wenye staha ambao hawawezi kutukana kama huyo jamaa leo...unauliza maswali hata watoto wa kindergarten hawawezi kuuliza..Kwako msanii mwenye staha ni yupi
Mwaibile wawapi haujui wasanii wenye staha ambao hawawezi kutukana kama huyo jamaa leo...unauliza maswali hata watoto wa kindergarten hawawezi kuuliza..Kwako msanii mwenye staha ni yupi
Ndo umtaje sasa huyo msanii wako mbona kiswahili chepesiMwaibile wawapi haujui wasanii wenye staha ambao hawawezi kutukana kama huyo jamaa leo...unauliza maswali hata watoto wa kindergarten hawawezi kuuliza..
Sina muda wa kujibu maswali ya kitoto walioimba si umewaona wote wameimba bila kutukana unataka niwataje au aujaangalia na hujui unazungumzia nini..Ndo umtaje sasa huyo msanii wako mbona kiswahili chepesi
ItakuwaTatizo nyota mkuu😆
Inaelekea unaipenda sana miti ikuguseUkimchukia dudubaya ujue ww huna malinda
Utaendelea kumchukia mtu ambaye tanzania nzima imemuangalia anapiga show na kalipwa pia acha kukalili kuna tusi gani usilolijua hapa duniani kwangu ni msanii bora kabisaSina muda wa kujibu maswali ya kitoto walioimba si umewaona wote wameimba bila kutukana unataka niwataje au aujaangalia na hujui unazungumzia nini..
Doctor wa manesi kwenye hili naungana na wewe pamoja na tofauti zetu za siku zoteeLimeshaharibu tayari.
Vinyimbo vyenyewe viwili tu visivyo na maana yoyote halafu mnaliita kuja kuishia kuleta mambo ya kijinga tu.
Huyo ndo konki master msukuma mmoja atakutoa malindaInaelekea unaipenda sana miti ikuguse
Basi huyo sielewi sana atakuwa anatumia madawa gani yanayomchanganya hivyo, au umri tu?Bhange haipo hivyo mkuu. Nina experience nayo... Ukiiacha nayo inakuacha..
Mwamba una akili mdogo sana ndugu yangu, haki ya Mungu tenaUtaendelea kumchukia mtu ambaye tanzania nzima imemuangalia anapiga show na kalipwa pia acha kukalili kuna tusi gani usilolijua hapa duniani kwangu ni msanii bora kabisa
Nashukuru.Doctor wa manesi kwenye hili naungana na wewe pamoja na tofauti zetu za siku zotee
Kwaiyo ww ndo upo na akili kumshinda konkiMwamba una akili mdogo sana ndugu yangu, haki ya Mungu tena
Kwahiyo konko ana akili?!!!!🤣🤣🤣Kwaiyo ww ndo upo na akili kumshinda konki
Umekutana na wasizwa sasa nimeshangaa eti unamfagilia jamaa daah..Kwaiyo ww ndo upo na akili kumshinda konki
Kama huyu mwanzisha uzi ni mchele kabisa donat iko waziAlisikika mlevi mmoja akisema mashoga hawampendi mwamba 😂