ministrant
JF-Expert Member
- Jan 17, 2014
- 1,400
- 2,623
"Yu bera wochi yua bak"Limeshaharibu tayari.
Vinyimbo vyenyewe viwili tu visivyo na maana yoyote halafu mnaliita kuja kuishia kuleta mambo ya kijinga tu.
"Yu bera wochi yua bak"Limeshaharibu tayari.
Vinyimbo vyenyewe viwili tu visivyo na maana yoyote halafu mnaliita kuja kuishia kuleta mambo ya kijinga tu.
Unemjibu vizuri, nilijua tupo watu wazima watupu humuUnajua ni namna ambavyo aliliwasilisha lilikuwa na uzito wake na siunajua mamba vitu vikiwa vimeanza kukolea kichwani. Na bora wakamuwahi tu.
Tulia kijana, dunia imehamia kwenye trends, haijalishi ninkwa ubaya au uzuri ila kikubwa watu waongeweLimeshaharibu tayari.
Vinyimbo vyenyewe viwili tu visivyo na maana yoyote halafu mnaliita kuja kuishia kuleta mambo ya kijinga tu.
Eti simbakwamba hiyo miti ni kina nani wanao tarajia kupigwa 🤔
OkaayTulia kijana, dunia imehamia kwenye trends, haijalishi ninkwa ubaya au uzuri ila kikubwa watu waongewe
Dah, yaani. Nimejisikia aibu kabisa. Kwani ana kitu gani?!!!! Kwa muziki upi alionao?!!!!!!!😡😡😡Nilivyosikia tu anapanda nikasema Yanga tumekosea sana aisee wanamuziki wapo kibao mpaka tunamwita huyo mtu aisee noma sana..
Umasikini tu.Wanajifai wanapenda na trend kumbe wanabana bajeti ya msanii mkubwa
Kuna matukio mengi tu yanafanyika pasipostahiri mkuu, ila ulimwengu wa sasa ndio unayapa trend, kikubwa watu waongelewe kama sisi tunavyoongea hapaOkaay
Ila kwa Leo, mahali pale, haikustahili.
Poleh, najua amekuhuzunisha sana.Tena linazeeka kifala kweli.
Hiyo mbona kawaida kwa wasanii wa bongo?"Tunawapiga MITI"
Tatizo nyota mkuu😆Limeshaharibu tayari.
Vinyimbo vyenyewe viwili tu visivyo na maana yoyote halafu mnaliita kuja kuishia kuleta mambo ya kijinga tu.
Ukimchukia dudubaya ujue ww huna malindaLimeshaharibu tayari.
Vinyimbo vyenyewe viwili tu visivyo na maana yoyote halafu mnaliita kuja kuishia kuleta mambo ya kijinga tu.
Sema michezo ni burudani ila sio kwa Kuwaita watu wasio na staha sehemu kama hizo..Dah, yaani. Nimejisikia aibu kabisa. Kwani ana kitu gani?!!!! Kwa muziki upi alionao?!!!!!!!😡😡😡
Kwako msanii mwenye staha ni yupiSema michezo ni burudani ila sio kwa Kuwaita watu wasio na staha sehemu kama hizo..