Hivi Dudu Baya anaalikwa kwanini?!!! Yanga mmenikera sana

Hivi Dudu Baya anaalikwa kwanini?!!! Yanga mmenikera sana

Poleh, najua amekuhuzunisha sana.

Umri ushamtupa mkono yule
Tatizo sio umri,wapo akina sugu, afande Sele na wengine ni wakubwa ila si kama yeye, labda tuseme bangi au magonjwa yalimuathiri akili
 
Mtoa mada umekerwa na mamba kuwepo au umekerwa na mamba anavyopinga ushoga?
 
Tatizo sio umri,wapo akina sugu, afande Sele na wengine ni wakubwa ila si kama yeye, labda tuseme bangi au magonjwa yalimuathiri akili
Kuna mdau mwingine kasema pia bange ana ushuhuda nayo haina matokeo hayo, isihusishwe nae yeye anatumia vitu vingine kabisa vinavyomchanganya
 
Ila jamaa ana misimamo konk sana

Ukiachilia kuwa hana idadi kubwa ya miziki aliyoimba ila interview zake za YouTube ndo zimefanya Yanga wamualike

The man is so real

Hana mambo ya kufake life
 
Mtoa mada umekerwa na mamba kuwepo au umekerwa na mamba anavyopinga ushoga?
Mimi hata sijui hilo suala la ushoga, ni wewe ndo uko makini nalo sababu unazijua mwenyewe (ingawa nahisi kwa vile ni muhusika unayehudumu bottom). Nomeshangaa sababu Hana usanii kwa Sasa zaidi ya nyombo yake ile Moja basi. Pili amekuwa ni mtu wa kupanda jukwaani akiwa kalewa Sasa mtu wa hivyo kwa tamasha kubwa kama lile ni likelier kufanya upuuzi.
 
Jinga kweli zee lile, hakutakiwa kutoa upumbavu kama ule siku muhimu kama hii......tunawaheshimu Simba hata kama wanyonge zetu
Mimi yanga, lakini matusi kama hayo hayatakiwi. Sisi ni wapinzani wa jagi, ila tuna heshimiana.
 
Back
Top Bottom