Hivi hakuna kabisa uwezekano wa kuzungumza kuhusu Mungu nje ya msamiati wa kiyahudi?

Hivi hakuna kabisa uwezekano wa kuzungumza kuhusu Mungu nje ya msamiati wa kiyahudi?

Nabishana na watu wanaosema upepo ni kiumbe chenye uhai!

Upepo ni kiumbe chenye uhai, wanasema.

Wanabushana kwa dhati kabisa.
 
Mungu wako si mkamilifu? Kashindwa kuumba kiumbe kamilifu ambacho hakiugui wala kufa?

Kwa nini unakwepa maswali?

Huo sio udhaifu bali ni utararibu aliouweka kwa viumbe vyake waweze kumjua aliyewaumba.
 
Huo sio udhaifu bali ni utararibu aliouweka kwa viumbe vyake waweze kumjua aliyewaumba.
Kwa nini kaweka utaratibu unaowatesa viumbe wake kwa magonjwa wakati ana uwezo wa kuweka utaratibu ambao hauwatesi viumbe wake katika ulimwengu ambao magonjwa hayawezekani kuwepo?
 
Kaka huyu mdau anajichetua aisee,yaani hata kujua hoja zake zimejikita wapi nalo ni tatizo kwake,mtu kama huyu si wa kujadiliana.

Huyu anakariri sana fikra za watu,yaani ukimjengea hoja tu kidogo hata kama hoja ni nyepesi sana anajikanganya au anabadilisha mada sasa huu anaotufanyia ni utovu wa adabu na uhuni wa kitoto.
Mwepesi sana.
mimi nilikuwa namuangalia tu siku nyingi.
HANA ANACHOJUA.
ANARUKA RUKA TU.
HATA ASILI YAKE HAIJUI.
HUYO MTU KWELI?
 
Kwa nini kaweka utaratibu unaowatesa viumbe wake kwa magonjwa wakati ana uwezo wa kuweka utaratibu ambao hauwatesi viumbe wake katika ulimwengu ambao magonjwa hayawezekani kuwepo?

Ameleta kila ugonjwa na dawa yake. Bali kila dhara amelipa ufumbuzi wake.
 
Ameleta kila ugonjwa na dawa yake. Bali kila dhara amelipa ufumbuzi wake.
Kwa nini alete ugonjwa na dawa? Kwa nini asifanye kusiwe na ugonjwa kabisa?

Na hao watu wote waliofariki kabla dawa hazijagunduliwa utasema ameleta kila ugonjwa nabdawa yake?

Dawa ya cancer ni nini?
 
Nabishana na watu wanaosema upepo ni kiumbe chenye uhai!

Upepo ni kiumbe chenye uhai, wanasema.

Wanabushana kwa dhati kabisa.

Kaka mimi sibishani na wewe mimi nakupa hoja na kukuelewesha.

Kubisha ni kukataa ukweli ni tofauti na kupinga katika kupinga kuna kukosoa. Hii nimekupa faida huchelewi kusema "hujajibu swali" hata unapopewa faid ya ziada.

Unae bisha ni wewe unae kataa ukweli.
 
Upepo una uhai?

Huu ni msimamo wako?

Uhai ni nini?
 
Back
Top Bottom