Samico Tanzania
JF-Expert Member
- Feb 6, 2022
- 486
- 1,237
- Thread starter
- #21
Kenya wamepanga kuuwa kunguru milion moja ili kuwatokomeza!Mimi kama Ngedere sikubali muwageuze wenzangu paka na Kunguru kama ajira kwenu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kenya wamepanga kuuwa kunguru milion moja ili kuwatokomeza!Mimi kama Ngedere sikubali muwageuze wenzangu paka na Kunguru kama ajira kwenu.
Jobless wapewe kipaumbele cha kuua kunguru iwe fursa
HahahKwenye jobless na watoto wa kina chikwete, chamia, marope, au wale wa vigogo nao wamo?
Au una maana hawa wa walipa kodi hapa?
View attachment 3059652
Baadhi yenu watageuziana bunduki badala ya kupiga kunguru na pakaSerikali inapenda kusikia sisi vijana tunawaza nini ili watusaidie!
Siyo kila wakati ni wa kulaumu laumu tu! Wakati mwingine tupeleke maoni yetu kwenye mamlaka za serikali kama vijana!
Ukipita huko mtaani kuna paka wengi sana, kuna mbwa wengi sana, kuna panya wengi sana,kuna kunguru wengi sana, kuna popo wengi sana wanaoisumbua jamii!
Halafu wakati huohuo kama taifa tuna kundi la vijana waliosoma WILDLIFE MANAGEMENT Wanalalamika hakuna ajira!
Hivi vijana wenzangu mmewahi kupeleka mapendekezo TAWA! Ya kuomba kibali cha kuvuna hao wanyama mtaani wakawanyima?
Mfano mkajisajili vijana mkapita mtaani na vibali kuomba kukamata panya, paka, kunguru n.k hamutapa pesa?
Mfano! Mkaweka Bei ya kukamata paka mmojala iwe elfu 10, panya elfu 2, kunguru elfu 10! Mtakosa pesa?
Sisi Wananchi tutawapigia muje mtukamatie paka hata usiku wa manane cha mhimu muwe mmesajiliwa!
Faida nyingine ya kuwakamata hao wanyama mtatupunguzia na uchawi mtaani automatically!
Paka ni kero mtaani hata sehemu za starehe Paka wapo chungu mzima!
Wildlife mtakuwa Hamjapiga hela hapo?
Haya ni maoni yangu Fundi umeme samico, Endapo mkifanikiwa mkapiga hela msiache kunipa kazi ya umeme na ujenzi kupitia namba yangu 0711756341
KahBaadhi yenu watageuziana bunduki badala ya kupiga kunguru na paka