FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Hata ikatokea wammiliki wa timu wamewanunua maarefa na wachezaji wa timu pinzanni bika wachezaji wenyewe kujua hiyo ni kosa kwa timu yote, ilitokea Italy na timu ilishushwa daraja sababu ya match fixing ambayo wala haikuhusisha wachezaji.Matokeo kufutwa hutokana na kosa kufanywa na wachezaji
Wahusika wa hilo kosa ni marefa sio wachezaji
Hilo haliwezi kutokea hata siku moja.
Anaeangalia VAR na yeye anatumia macho au makalio?Mkiambiwa angalieni na mechi za nje hamuelewi.
Arsenal alifungwa goli ambalo macho yaliona mpira umetoka var ikasema haujatoka.
Juzi spurs kakataliwa goli ambalo macho yaliona mpira umevuka mstari ila var ikagoma.
Na haina kukata rufaa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nusu fainal ipi? RAMADHAN CUP?Hivyo hivyo, ila inabidi tudai fidia hata bilioni kadhaa, watu wanawekeza pesa kwennye mpira halafu refa anafanya uonevu ambao huwezi kuutetea, hivi VAR kazi yake nini sasa.., mi ninachojua Yanga kashaingia nusu fainali.
😅😅mbona hili la yanga limewauma kuliko kutolewa kwenu?, kwani mtu anapoua kesi hua ni za nini mahakani?, unahisi wathu huenda kudai uhai wa mtu? Au kutaka haki ipatikane na wahusika wa mauaji wapatikane na Haki ipatikane hata kama uhai wa mtu haurudi?.Yanga wanatafuta huruma tu.....imeisha hiyo.
Dhulma afanyiwe mwenzako ukifanyiwa wewe inauma
Maamuzi yakitolewa na refa hata kama ya kuonewa huwezi kuyabadilisha kukupa faida ile ambayo ungeweza kuipata endapo refa angefanya fair.
Maana yake ni kwamba there's no way Mamelodi wanaweza kuwa watuhumiwa kwenye hili tukio na kwa maana hiyo hakuna maamuzi ambayo yatailenga Mamelodi hata kama kesi ikionesha kweli Yanga imedhulumiwa.
Hapo mhanga ni refa na timu yake ya VAR kule control room ambao hao hawana impact kihivyo tofauti na timu
Kwenye adhabu za FIFA hata wakimfungia refa bado hawawezi kubatilisha matokeo kuipa advantage Yanga.
Kwasababu Mamelodi watajitetea kuwa ni makosa ya refa sio wao hivyo hakuna sababu yoyote ya wao kuhusishwa kwenye adhabu ambayo imetolewa kutokana na makosa ya refa.
Sasa kama hata haujui inavyotumika ya nini kukujibuAnaeangalia VAR na yeye anatumia maacha au makalio?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan wao wamekuja kupewa stahiki yao kwenye match muhimu.Siku ile zengeli anapiga mpira unadunda nje ya goalline na refa anasema ni goal si mlishangilia? Mnahisi Ihefu hawakuumia.
Basi mkae mkijua malipo ni hapa hapa duniani.
Kwanini lisittokee?, Sheria matokea yanahusishwa na match fixed na mhusika mkuu ni sehemu ya umiliki wa timu iliyopewa ushindi wa Bure... Ushahidi wote unaonesha refa alikuwa amepata maelekezo, VAR ipo kumsaidia refa, kama alikwenda kuangalia faulo ya Lomalisa why not Gori lenye utata.Matokeo kufutwa hutokana na kosa kufanywa na wachezaji
Wahusika wa hilo kosa ni marefa sio wachezaji
Hilo haliwezi kutokea hata siku moja.
Wanaumia wanatamani kulia ila ndo basi tena.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan wao wamekuja kupewa stahiki yao kwenye match muhimu.
Inaumajeeee sasa, woiiiiiih
Yaani Rushwa atoe Motsepa halafu waadhibiwe VAR?Watalalamika tu na baada ya malalamiko kuonekana ni sahihi wataadhijiwa VAR officials, kesi inafungwa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wanaumia wanatamani kulia ila ndo basi tena.
Ni jukumu ka Refa kutumia nyenzo zilizopo ili kufanya uamuzi sahihiTuanze kuuliza je ni kazi ya VAR kukubali au kukataa goli?
Kubadili matokeo ni only kama kutakuwa na ushahidi unaoonyesha kulikuwa na njama ya upangaji wa matokeo na timu iliyoshinda imeshiriki njama hizo. Kinyume na hapo adhabu huishia kwa referee tu.Maamuzi yakitolewa na refa hata kama ya kuonewa huwezi kuyabadilisha kukupa faida ile ambayo ungeweza kuipata endapo refa angefanya fair.
Maana yake ni kwamba there's no way Mamelodi wanaweza kuwa watuhumiwa kwenye hili tukio na kwa maana hiyo hakuna maamuzi ambayo yatailenga Mamelodi hata kama kesi ikionesha kweli Yanga imedhulumiwa.
Hapo mhanga ni refa na timu yake ya VAR kule control room ambao hao hawana impact kihivyo tofauti na timu
Kwenye adhabu za FIFA hata wakimfungia refa bado hawawezi kubatilisha matokeo kuipa advantage Yanga.
Kwasababu Mamelodi watajitetea kuwa ni makosa ya refa sio wao hivyo hakuna sababu yoyote ya wao kuhusishwa kwenye adhabu ambayo imetolewa kutokana na makosa ya refa.
Anatumia macho kama ya wengine yanayoona kwamba ni goli au sio goli, au anatumia makalio kuangalia?Sasa kama hata haujui inavyotumika ya nini kukujibu
Jielimishe bruv.Anatumia macho kama ya wengine yanayoona kwamba ni goli au sio goli, au anatumia makalio kuangalia?
sheria ya kuamua goal kwa techonology ni kutumia goal line sio VAR ,VAR inaangalia makosa kwenye goal ,hao waamuzi walijichanganya wakaona wakikubali goal kwa kutumia VAR watafungiwa ndio maana referee akafuta kila kitu kwa kuweka mikono juu ❌Ni jukumu ka Refa kutumia nyenzo zilizopo ili kufanya uamuzi sahihi
Simba kafa kifo cha asili, wakati Yanga kauliwa kwa kuchinjwa na kisu butu.waje tu tuomboleze pamoja msiba wetu. why wanataka kututenga hawa si watani zetu?
Waanze kukata rufaa mechi ya ihefu waliyozawadiwa goli ambalo halijavuka mstari,Yaani ni jambo la ajabu sana kukataaa goal la wazi km hili how yaani var ikatae hii ni aibu sana kwa rais wa caf matsope sijui na team yake ya mamelod yaani ni aibu kwenye mpira wa africa kabisa.
Mimi nataka kujua haiwezekani kukata rufaa kama umedhulumiemwa kwenye hatua hizi za robo fainali champions caf??
View attachment 2955100
Huku gsm anavyonunua mechi hamuoni?karma hiyoSheria zipo hapa ... Matokeo yanaweza kufutwa coz hii ni fixed match .. na mmiliki wa timu ni Rais wa chama Cha soka.