Mimi ni huyo
Senior Member
- Jun 15, 2020
- 103
- 84
- Thread starter
-
- #201
Ulimuuliza kuhusu simu yake kutumika muda mrefu? Kuhusu pia ulivyompigia kwenye namba ingine hakupokea? Mwisho kama cm yake ilizima why hakutafuta namna ingine ya kukujulisha kwa usiku huo ikiwa anajua ulienda kumpokea?
Pole, mpaka sasa hajakupigia? Zaidi ya kukutumia hiyo sms?
Ok, vipi mna migogoro kwenye mahusiano yenu huko nyuma kabla ya mkasa wa jana?Yah katuma tu sms tena whatsapp na kutoka
Ok, vipi mna migogoro kwenye mahusiano yenu huko nyuma kabla ya mkasa wa jana?
Hujui auNimo wapi mkuu😀
Ok, basi Relax wasilianeni muongee vizuri kwa kina what happened, pia akueleze kwa ufasaha mambo hayo muhimu why simu yake ilikua inatumika muda mrefu wakati anakaribia, wewe kuwa blocked, why hakutafuta any means ya kukujulisha kama cm yake anadai ilizima huku akijua wewe umeenda kumpokea na namba yake nyingine why alikua hapokei.Kama ipo ya kawaida tu ila tupo vzr had anapanga safar zake
Ok, basi Relax wasilianeni muongee vizuri kwa kina what happened, pia akueleze kwa ufasaha mambo hayo muhimu why simu yake ilikua inatumika muda mrefu wakati anakaribia, wewe kuwa blocked, why hakutafuta any means ya kukujulisha kama cm yake anadai ilizima huku akijua wewe umeenda kumpokea na namba yake nyingine why alikua hapokei.
Ongeeni nyie wawili mpate muafaka.
Nyie wenyewe ndio wenye maamuzi, kaeni chini muongee kwa kina.Ili tuendelee na mahusiano au
Kama unajisikia hutaki kuendelea kuwa nae basi piga chini kmy kmy
Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
Kama unajisikia hutaki kuendelea kuwa nae basi piga chini kmy kmy
Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
kaangalie uzi wa kula kimasihara ukute bwana carlos kashapita nae.
Jibu ni moja, alienda pokelewa na mwenzio1 amenitafuta amesema alifika usiku sn akapitiliza kwao 2 alitaarifu siku moja labla na alipopanda bas alinitaarifu na alipokaribia alinitaarifu kabla ya cm kuanza kutumika muda mrefu na kujikuta niko blocked 3 sidgan kama kuna ugomvi wa mtu kupotelea kusikojulikana ndio maana no 2 alikuwa ananipa notificatipn
Jibu ni moja, alienda pokelewa na mwenzio
Yes tujifunze kusonga mbele. Hata wale unaona wameoana wamepitia weng mpaka kufika paleBila shaka japo inauma ila huu ndio ukweli
Bonge la point hili, mwenzio kakuweka kama fu*k partner we umejiolesha.Jibu unalo ..
Unaomba ushauri wa nini?
Ni mpenzi wako kweli au sex partner tu?
Vijana wengi hamjui hata mpenzi ndo yupi
Na fukc buddy yupi..
We unasema huyu mke, mwenzio hata hajui..
Hakika umenenaIfike wakati watu muombe ushauri kwa mambo mazito