Hivi hapa nina haja ya kuendelea na mahusiano au nijiongeze

Mkuu hiyo mara mbili mliyowasiliana nae ujue alikosea namba. Target yake haikuwa wewe ndo maana kablock namba zako baada ya kugundua.

Achana nae, jambo dogo hilo linakupa wenge.
 
Acha kujiendekeza wewe hukuwahi kuwa na mahusiano kabla kila kitu kinakuja kwenye Maisha yetu kwa sababu huwezi jua nini Mungu amekiepusha kwako pengine amekuondolea mtu asiyefaa kwako ili aje aliyebora zaidi ya huyo so Relax

Mara nyingi binadamu hatujazoea kukosa so why me zinakuwa sehemu ya maisha yetu
 
Ushauri wangu kuna mhuni kishamla. Ukiweza unaweza kuendelea kula naye chungu kimoja huku ukijifanya bwege hujui lolote wahenga walisema haina makombo, hutaki SEPA kimya kimya bila hata ya kuaga kwa minyato.

Wewe unaweza ujasiri huo mpendwa pamoja na kuachwa Stend 😀
 
Mkuu hiyo mara mbili mliyowasiliana nae ujue alikosea namba. Target yake haikuwa wewe ndo maana kablock namba zako baada ya kugundua.

Achana nae, jambo dogo hilo linakupa wenge.

Tatizo mapenz na mtu unakuwa unamuamini yanapotokea haya unaona kama upo ndotoni
 
Hahahah tatizo co mbunye tatizo ninaona kama hiyo mbunye imeenda kuchakatwa kwingine
Mkuu mimi kuna kitoto nilikipanga day flani, wakati kinakuja mida ta saa nne asubuhi nilikuwa getini nakisubiri. Kilipofika kikasema nisubiri nakuja saiv, nikajua kinaenda shop.

Bro kilirudi jioni, me sikumind wala nini. Nilikiuliza kikasema nilirudi jioni sikukukuta getini. Nikacheka sana.
 
Tatizo mapenz na mtu unakuwa unamuamini yanapotokea haya unaona kama upo ndotoni
Kwani mkuu huna demu mwingine? Kijana mwenzangu unategemea demu mmoja tena kaenda kikazi mkoa mwingine, daah pole.

Tafuta mbunye za kutosha mkuu. Maisha ndo haya haya na hivi viumbe kama visipopewa chanjo ya uviko 19 vitaendelea kusumbua sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…