Hivi hata huko kwenu watu wenye tamaa kama Jonasi wa “the Polygamist” 🙃 wapo?

Kumbe mwanike ukabizaga na masala ghete
 
Kuna mahali nadoma, eti kuna mtu anakaa mwaka bila kuiona ns kuinusa mbususu, kama ni kwa sababu za kiafya sawa. Otherwise nashindwa kuelewa, hajaona Baltazar alivyokuwa anaenjoy hadi kujifinya chuchu😅😅😅
Ila we mzee..
Your browser is not able to display this video.
 
Kuna mahali nadoma, eti kuna mtu anakaa mwaka bila kuiona ns kuinusa mbususu, kama ni kwa sababu za kiafya sawa. Otherwise nashindwa kuelewa, hajaona Baltazar alivyokuwa anaenjoy hadi kujifinya chuchu😅😅😅
Mbususu kabisa 🍑
 
Alichoka vitendo vya ndugu yake! Kasheshe ilikuwa msibani loh! Essie anajiamini! Ila joyce hakuchesha pia😁
Essie anajiamini sana, ila niliona pia siyo poa kwanini wamtenge wakati na yeye ni mke na ana mtoto na Jonasi!
 
kuna mzee hapa anamiaka sitini ila bado anachepuka na mademu wadogo akiulizwa tatizo lipo wap kwa mkewe anasema mkewe ni finished!
Mkewe ni finished kivipi, yani kipochi manyoya chake kimeziba au?

kina jonasi wapo sana kitaa mtu anatongoza shemeji yake ila walioa ndo hawafai kabisa yaani nje wamezalisha wanawake kibao
Kabisa wapo wengi na hayo mambo ya kuzalisha nje yamekua kama kawaida tu!
 
Essie anajiamini sana, ila niliona pia siyo poa kwanini wamtenge wakati na yeye ni mke na ana mtoto na Jonasi!
Labda alitaka abaki kwenye past life, Essie naye hakubaki nyuma kila akikumbuka ndoa yake ya kimila na watoto plus ada ya chuo alomlipia mume anakuwa strong!😁
 
Mkewe ni finished kivipi, yani kipochi manyoya chake kimeziba au?


Kabisa wapo wengi na hayo mambo ya kuzalisha nje yamekua kama kawaida tu!
Itakua ya mkewe ishakua kama kitabu akiomba inaanza kufunuliwa kama kitabu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…