FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Mtu keshalipa, halafu ndio unabadilisha package, anaachana nayo kivipi? Watamrefund?Ni biashara mkuu, ukiona haina maslahi kwako unaachana yao.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtu keshalipa, halafu ndio unabadilisha package, anaachana nayo kivipi? Watamrefund?Ni biashara mkuu, ukiona haina maslahi kwako unaachana yao.
Terms and conditions zao zinasemaje? Kama ameona ameonewa apeleke complaints kwenye dawati lao.Mtu keshalipa, halafu ndio unabadilisha package, anaachana nayo kivipi? Watamrefund?
Nauliza tu, regardless terms zinasemaje. Mfano nakupa menu ya ugali kuku na mchicha, nakupa na bei, kisha unalipa, halafu unaletewa ugali mchicha bila kuku. Halafu mtu akihoji umwambie ni terms and conditions, hiyo ni sawa?Terms and conditions zao zinasemaje? Kama ameona ameonewa apeleke complaints kwenye dawati lao.
Wakati unajiunga si kuna vigezo na masharti unapewa? Kama ukikubaliana na hivyo vigezo na masharti ndio unajiunga.Nauliza tu, regardless terms zinasemaje. Mfano nakupa menu ya ugali kuku na mchicha, nakupa na bei, kisha unalipa, halafu unaletewa ugali mchicha bila kuku. Halafu mtu akihoji umwambie ni terms and conditions, hiyo ni sawa?
Channel zinabadilika kutokana na decoder ya mtu.Na hiyo hutokea kama wakiona unaipenda Sana channel flani kusudi uongeze PESA Ili Ile channel Yako pendwa uendelee kuiangalia.We mbona muongo sana?unahisi uongo utakusaidia nini?ch 223 ipo COMPACT
Tanzania ndo Kijiji ambayo kutoa PESA paypal mizinguo kibao.Siyo Dunia.malipo yanasumbua nini kwasasa dunia kama kijiji,ngoja niangalie kwanza
Mimi sijabisha juu ya vigezo na masharti, nimeuliza tu, je, kitendo hicho ni sawa?Wakati unajiunga si kuna vigezo na masharti unapewa? Kama ukikubaliana na hivyo vigezo na masharti ndio unajiunga.
Ndio maana nasema kama umeona umeonewa mbona kuna sehemu ya kuwasilisha malalamiko ikiwemo ndani ya kampuni lakini pia hata kwa regulatory authority ambae ni TCRA.
DStv ni ya matajiri... Kama uchumi wako WA kuunga unga DStv ni ya moto.Dish wanauza elfu 59 halafu kifurushi elfu 90
Wakati azam ni laki 210 ila kifuruzhi elfu 20 unapata Chanel's za michezo na burudani zote yaani hapo ndo naona kabisa hawaeleweki DSTV.
Nunua dish la futi 8 na decoder ya satelite..utazipata channel za CANAL for free..pitia uzi wangu mmoja nishauleta humuCanal+ shida Iko KWENYE malipoo.
Nakazia!Salaam WanaJF!
Hivi hawa jamaa wa DSTV (Multichoice) wanatuchukuliaje Watanzania!? Kwamba wanatuchukulia tupo vizuri sana kiuchumi, ama wanatuchukulia sisi washamba sana au inakuwaje!?
Kila siku wanafanya kuzichezesha chaneli zao ndani ya DSTV, sio kitu cha ajabu kukuta chaneli yako pendwa imehamishiwa katika kifurushi kingine ambacho ni cha gharama zaidi.
Yaani Kifurushi cha COMPACT ambacho tunalipia Tsh 50000+ kwa mwezi nacho kimeshakuwa useless, chaneli pendwa wamezisogeza kwenye kifurushi cha COMPACT plus ambacho unatakiwa kulipia Tsh 90000+ kwa mwezi.
Huu ni utapeli kwa Watanzania, sijui mnatuchukuliaje DSTV!!?
Mjomba, kwahiyo kama tangu zamani watu wanailalamikia DSTV kwa hili jambo, kwa wakati huu mimi natakiwa kukaa kimya!? Niaje aisee? Kwahiyo kwako wewe werevu na ujanja ni kukaa kimya!?Kuna wakati kujiona mjanja na mwerevu ndio huwa Ujinga wenyewe.
Mjomba, hiyo package yako umeilipia lini?Acha uongo we jamaa, channel 223 bado ipo kwenye kifurushi cha Compact.View attachment 2187548
Tulia kwanza mkongwe, uliza vizuri kabla haujaanza kunishushia tuhuma za uongo.We mbona muongo sana?unahisi uongo utakusaidia nini?ch 223 ipo COMPACT
Taja chaneli moja iliyohamishwa kwenda compact plus
Mimi nimelipia Tuesday na S3 ipo kwenye COMPACT
Mkuu kama sio sawa wasilisha complaints zako kwenye dawati husika watakusaidia. Hawa DStv ukiwapigia simu wanaushirikiano watatatua changamoto yako.Mimi sijabisha juu ya vigezo na masharti, nimeuliza tu, je, kitendo hicho ni sawa?
Tangu nimeanza kutumia Dstv, hii habari ndo naisikia kwako kwamba kila mtu ana access na channel zake kwenye decoder 🤣 🤣Channel zinabadilika kutokana na decoder ya mtu.Na hiyo hutokea kama wakiona unaipenda Sana channel flani kusudi uongeze PESA Ili Ile channel Yako pendwa uendelee kuiangalia.