matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 7,968
- 19,368
Siku ninavyoenda naona kama wanazidi kupata nguvu.
Nimeona wamepost video ya drone iliyokusanya maeneo yote umya kimkakati ya Israel ikiwemo vyanzo vya maji.
Satellite immage ikionyesha mameli katika bandari ya haifa, ambayo hadi sasa live yako vilevile.
Nomeona wamepiga picha za kambi za kijeshi ambazo zina ndege zinazolindwa kwa airdefence.
Kuna wanajeshi 100K kutoka iran wako tayari kuingia lebanon kuwapa backup Hesbullah.
Sijaua uwezo wa hawa jamaa wa Hesbullah kama ni mikwara tu au ni vitu wanavyojitengenezea mitandaoni na photoshop ila kama wako siriasi Israel na washirika wake wanatakiwa kuwa makini na kuongeza namna ya kuwafuta kabisa hawa jamaa na wanaowapa backup maana miaka kama 10 ijayo hali haitakuwa njema.
Ni hayo tu.