Hivi hawa Hesboullah mbona Israel kama anawaogopa kuliko Iran?

Hivi hawa Hesboullah mbona Israel kama anawaogopa kuliko Iran?

Nchi iliyo katika hatari hapo ni Lebanon kwani wataponzwa na hao magaidi wa Hezbollah, nchi zingine za kiarabu hazitaki kabisa vita na Israel kwani wanafahamu madhara yake.
Acha kuandika kwa hisia akati unaona waisraeli wanavoteseka saiv na kama Hamas wameishindwa afu tatizo lingine linakuja wazan wananchi wako katika hali gani
 
Israel sio ya kulinganisha na vikundi ambavyo vipo disorganised kama hezbollah.
 
Naona wameanzisha kikosi maalum cha hizo drone, na Iran inafanya mass production. Karibu maeneo yote ya kaskazini mwa Israel ambayo ndio yanategemewa na nchi hiyo kuzalisha silaha yanapigwa kwa kushtukiza mara moja moja. IDF inatakiwa kufanya kitu mapema kabla haijatokea balance of power na kuwaweka raia wao kwenye hatari ya kushambuliwa bila kulindwa na mifumo wanayoitegemea, ukizingatia wamezun

taifa la Mungu wa bibilia naona lina lilia kusaidiwa c bobilia zao zinasema Mungu ndio analilinda taifa teule 😄

Bibilia imeanza kujilikana kama ni gazeti la wasanii tu
Ni kweli analindwa na mungu wao. Mmarekani
 
Ni kweli mkuu israel akiwa soft kwenye eneo lolote na kupelekea ulinganifu wa kinguvu na majirani hali itakuwa tete.

Israel miaka yote imekuwa imezungukwa na maadui. Tangu enzi za Biblia, na Yerusalem imeshatekwa na kuvamiwa zaidi ya mara 25. Wakiwa soft tu hali ya raia wao inakuwa tete. Ndio maana ni wajanja na wanaushawishi kwenye mqtaifa makubwa, vyombo vya habari, viongozi wa kidini na kisiasa. Wanapambana kisiasa kijeshi, kidini, kiuchumi na ikibidi kihuni kutetea uwepo wao. Trend ya hawa jamaa naona kama msimu huu inawatoa jasho
Mchi yoyote iliyoingia sehem kimabavu na mate ndo yake ya kikatili hujizatiti ili kuonyesha kuogopesha watu ..lakini hayo mambo hayadumu milele lazima kuna siku maji na mafuta hujitenga na hiki ndo kimetokea vita ya hamas ndo imemuexpose huyu myahudi
 
Na ndio kinawapa hofu raia wa Israel ..ila mashabiki huku wanachukulia poa ila kiuhalisia jamaa yuko hoi
Jamaa wanaconsistency za hatari. Wakati wapiganaji wengi wa kiyahudi siku hizi wako soft sana sio kama wale wa miaka ya 70. Kwenye vita vya Hamas tu wengine wanalia hawataki kwenda vitani na wengine wanajiua.

Kimsingi dunia yq sasa haitaki ubabe. Amani ndio kila kitu.
 
Siku ninavyoenda naona kama wanazidi kupata nguvu.

Nimeona wamepost video ya drone iliyokusanya maeneo yote umya kimkakati ya Israel ikiwemo vyanzo vya maji.

Satellite immage ikionyesha mameli katika bandari ya haifa, ambayo hadi sasa live yako vilevile.

Nomeona wamepiga picha za kambi za kijeshi ambazo zina ndege zinazolindwa kwa airdefence.

Kuna wanajeshi 100K kutoka iran wako tayari kuingia lebanon kuwapa backup Hesbullah.

Sijaua uwezo wa hawa jamaa wa Hesbullah kama ni mikwara tu au ni vitu wanavyojitengenezea mitandaoni na photoshop ila kama wako siriasi Israel na washirika wake wanatakiwa kuwa makini na kuongeza namna ya kuwafuta kabisa hawa jamaa na wanaowapa backup maana miaka kama 10 ijayo hali haitakuwa njema.

Ni hayo tu.
Hao hawajaanza leo, walishawabonda mazayuni mwaka 2006 mpaka wakawatemesha Lebanon Kusini yote.

Eazama video zao walizowatumia mazayuni, wakiwaambia hizi za picha tu, zinauwezo wa kubeba silaha na msizione. Jionee mambo ya Hezbollah haya:

View: https://youtu.be/dPf5fp3ktXc?si=mfm1XsCLbbGa9Dlc
 
Huwezi kulinda anga kwa ufasaha 100% kama kuna drone hadi saizi ya mende au nzige. Ninachojua Israel inasaidiwa na Ulaya yote na US na waarabu wengi kupata intelligence za maadui waake hawezi kutangaza vita bila kujiridhisha.
 
Israel sio ya kulinganisha na vikundi ambavyo vipo disorganised kama hezbollah.
Hizbollah haipo disorganized mkuu.
Kitu cha kuogopwa ni kwamba Hizbollah inapendwa mpaka na raia pia Hizbollah ni sehemu ya serikali ya Lebanon.
Usisahau pia kuna uhusiano kati ya jeshi kuu la Lebanon na jeshi la Hizbollah.
Ndio maana hili kundi linaonekana kuwa ni tishio sana.
 
Siku ninavyoenda naona kama wanazidi kupata nguvu.

Nimeona wamepost video ya drone iliyokusanya maeneo yote umya kimkakati ya Israel ikiwemo vyanzo vya maji.

Satellite immage ikionyesha mameli katika bandari ya haifa, ambayo hadi sasa live yako vilevile.

Nomeona wamepiga picha za kambi za kijeshi ambazo zina ndege zinazolindwa kwa airdefence.

Kuna wanajeshi 100K kutoka iran wako tayari kuingia lebanon kuwapa backup Hesbullah.

Sijaua uwezo wa hawa jamaa wa Hesbullah kama ni mikwara tu au ni vitu wanavyojitengenezea mitandaoni na photoshop ila kama wako siriasi Israel na washirika wake wanatakiwa kuwa makini na kuongeza namna ya kuwafuta kabisa hawa jamaa na wanaowapa backup maana miaka kama 10 ijayo hali haitakuwa njema.

Ni hayo tu.
Israel kabanwa kwenye Klkona na Hezbollah na akitoa pua tu inachomwa singe
 
Hezbollah ni sehemu ya lebanon hata viongozi wake wanajulika ukimuua lazima utakuwa umeua kiongozi wa nchi , Hamas ni kikundi tu kama Chadema bado kina upinzani ndani ya Palestine .

Kiufupi Hezbollah ni jeshi kamili la nchi ila Hamas ni liberal group linalopata msaada kutoka kwa washirika wake..
 
Kama ni mwanaume apambane na hamas au Hizbullah, na sio kuuwa watoto. Hata ile six day war tulilishwa matango pori, ila nyie wenye chuki zenu kwa waislamu mkaamini hilo
nan anapaswa kuwalinda hao watoto na wanawake ? je hamas wanawaachaj raia wao wanapigwa wao wanakuwa wap ? ebu jichunguze vzr unaeza kuwa na matatizo ya akili , idf wanaingia mpk Gaza hao hamas wanakuwa wap muda wote huo , mambo mengine hauhitaj kuelezewa , acha kuwa msukule
 
Acha kuandika kwa hisia akati unaona waisraeli wanavoteseka saiv na kama Hamas wameishindwa afu tatizo lingine linakuja wazan wananchi wako katika hali gani
waislam hamuwapend wapalestina hamuon mateso wanayopitia mkisikia wanajeshi 10 wamekufa bas mnashangilia na kusahau 34000 wa palestina waliokufa
 
waislam hamuwapend wapalestina hamuon mateso wanayopitia mkisikia wanajeshi 10 wamekufa bas mnashangilia na kusahau 34000 wa palestina waliokufa
Bila kifo hao hawapati Uhuru wao ..hata africa kwenye harakati za Uhuru wengi walikufa ili sie tuje kuishi kwa amani ,kwa hio mkuu hakuna anaependa kuona vifo ila ndio njia pekee ya Vita ndio itawapa Uhuru hao watu
 
Back
Top Bottom