Hivi hawa Hesboullah mbona Israel kama anawaogopa kuliko Iran?

Siku ninavyoenda naona kama wanazidi kupata nguvu.

Nimeona wamepost video ya drone iliyokusanya maeneo yote umya kimkakati ya Israel ikiwemo vyanzo vya maji.

Satellite immage ikionyesha mameli katika bandari ya haifa, ambayo hadi sasa live yako vilevile.

Nomeona wamepiga picha za kambi za kijeshi ambazo zina ndege zinazolindwa kwa airdefence.

Kuna wanajeshi 100K kutoka iran wako tayari kuingia lebanon kuwapa backup Hesbullah.

Sijaua uwezo wa hawa jamaa wa Hesbullah kama ni mikwara tu au ni vitu wanavyojitengenezea mitandaoni na photoshop ila kama wako siriasi Israel na washirika wake wanatakiwa kuwa makini na kuongeza namna ya kuwafuta kabisa hawa jamaa na wanaowapa backup maana miaka kama 10 ijayo hali haitakuwa njema.

Ni hayo tu.
Huwezi futa hizbullah yaani washapigana proxy war syria pale wakashinda wakamsaidia Assad kuuteka mji wa Homs na kumbuka waasi silaha na ukocha wanaupata usa na israelkwa hio wanajuana vizuri sana na vuta nikuvute ya west vs russia mambo yanakuwa yanamfavor mhizbullah pale lebanon haya yetu macho na masikio
 
Kiswahili fasaha ni kipi ana muogopa au anahofia madhara makubwa zaidi kwa kupigana na jirani aliyenaye pua na mdomo na mwenye silaha nzito kiasi.

Sina hakika kama Israel haimuhofii Iran maana Hezbollah kwa Iran sina hakika hata nusu yake anaingia.
Hizbullah na iran ni mtu na mwalimu wake na hapo hapo mwalimu ndio sponsor.
 
futa hizbullah yaani washapigana proxy war syria pale wakashinda wakamsaidia Assad kuuteka mji wa Homs na kumbuka waasi silaha na ukocha wanaupata usa na israelkwa hio wanajuana vizuri sana na vuta nikuvute ya west vs russia mambo yanakuwa yanamfavor mhizbullah pale lebanon haya yetu macho na masikio
Pia itakuwa ni marudio maana mara ya mwisho vita vya IDF na Hesbullah viliisha kwa kukaa mezani, Israel hakupenda ila ilibidi
 
Sio tu alikaa mezani alimtumia usa kupeleka resolution united nations ndio maana huyo huyo usa hamshauri muisrael kuzipiga na hizbullah kwa kuwa military strength yake hizbullah ni 10times ile ya mwaka 2006 na wapate uzoefu wa urban warfare syria na kuzawadiwa airdefence system kwa sasa hizbullah ndio non state actor powerfull military duniani na ni wasiri mno .kama 2006 conclusion ilikuwa israel defeated je 2024 haya tuone japo 2024 inatokea huku ma military strategist wawili wakiwa hawapo Qassim Suleiman na legend Imad mughniyeh aka "the ghost of beirut" yetu macho na kuangalia sinema la dunia wenye nguvu wakichapana.
 
Hatari sana.
Pia wanaadvanced tunnels hadi zina AC, Km za kutosha chini ya ardhi tofauti na zile mitaro za Hamas ambazo nazo walishindwa kuwafukua mateka.

Wachambuzi wengine wanasema mashambulizi mengi ya anga ya Israel kule Lebanon yanaishia kuua wasiohusika, wahusika wanaishi chini ya ardhi muda mwingi, labda mara moja moja wakijichanganya na taarifa zao zikidukuliwa. Kikubwa hata wakipigana tusiombe vita iishie hapohapo. Pia wayahudi ukiona wanaingia vitani huwa wamesaidiwa kupima matokeo kabla ya vita kuanza. Ndio maana wanaabza kuomba hadi viwanja Cyprus
 
Kiufupi tu jua tokea marekani awe superpower pale Lebanon ndio sehemu pekee inaongoza kwa kuua majasusi wa cia duniani pale ni moto wanatumia sana akili na kuusoma mchezo na pia ni wanamikakati hatari sana.ogopa sana mtu unamuuliwa makamanda wake high value lakini hakurupuki na kufanya mambo ya hovyo hovyo yaani bado anaifuata doctrine yake na principle zake ogopa maana kuna vitu amekuandalia akiviachia ni hatari, na pia siku zote adui asiyepaniki asiyekuwa frustrated huyo ni adui mbaya sana kuliko chochote kile kukutana nacho ktk uwanja wa mapambano.
 
US alikimbia hawa wajuba afghanistan, sasa wajuba wanakwenda Lebanon kuuza nyaraka za jinsi US walivyo weupe kwenye hizi shuruba

taifa la Mungu wa bibilia naona lina lilia kusaidiwa c bobilia zao zinasema Mungu ndio analilinda taifa teule 😄

Bibilia imeanza kujilikana kama ni gazeti la wasanii tu
Wale wa Israel wa kwenye Biblia walipitia suluba kubwa sana kuliko hawa. Wale walikuwa wakipewa kichapo na majirani haikuwa kama leo eti kuna wapambe US au UK kuja kusaidia. Ilikuwa ni wao kufutwa au wamlilia Mungu moja kwa moja. Hawa mambo mengi ni kisiasa sio kiroho. Ndio maana 70% ya hawa ni Atheists hawaamini Mungu yupo.
 
Kwa raia wao hii inaleta utisho mkubwa.
🙌🙌🙌
Screenshot_20240509-124635.png
 
Siku ninavyoenda naona kama wanazidi kupata nguvu.

Nimeona wamepost video ya drone iliyokusanya maeneo yote umya kimkakati ya Israel ikiwemo vyanzo vya maji.

Satellite immage ikionyesha mameli katika bandari ya haifa, ambayo hadi sasa live yako vilevile.

Nomeona wamepiga picha za kambi za kijeshi ambazo zina ndege zinazolindwa kwa airdefence.

Kuna wanajeshi 100K kutoka iran wako tayari kuingia lebanon kuwapa backup Hesbullah.

Sijaua uwezo wa hawa jamaa wa Hesbullah kama ni mikwara tu au ni vitu wanavyojitengenezea mitandaoni na photoshop ila kama wako siriasi Israel na washirika wake wanatakiwa kuwa makini na kuongeza namna ya kuwafuta kabisa hawa jamaa na wanaowapa backup maana miaka kama 10 ijayo hali haitakuwa njema.

Ni hayo tu.
Toka waanze uchokozi zaidi ya mgambo wao zaidi ya 350 washadidishwa ila hawakaomi... na wao wanataka kudedishwa zaidi ya 40,000,000 waridhike maana bado wanaona wanaiweza Israel... kibaya wanakasirika IDF ni wanatumia wanajeshi maki-makidi yaani ni macharii kinoma babakee
 
Siku ninavyoenda naona kama wanazidi kupata nguvu.

Nimeona wamepost video ya drone iliyokusanya maeneo yote umya kimkakati ya Israel ikiwemo vyanzo vya maji.

Satellite immage ikionyesha mameli katika bandari ya haifa, ambayo hadi sasa live yako vilevile.

Nomeona wamepiga picha za kambi za kijeshi ambazo zina ndege zinazolindwa kwa airdefence.

Kuna wanajeshi 100K kutoka iran wako tayari kuingia lebanon kuwapa backup Hesbullah.

Sijaua uwezo wa hawa jamaa wa Hesbullah kama ni mikwara tu au ni vitu wanavyojitengenezea mitandaoni na photoshop ila kama wako siriasi Israel na washirika wake wanatakiwa kuwa makini na kuongeza namna ya kuwafuta kabisa hawa jamaa na wanaowapa backup maana miaka kama 10 ijayo hali haitakuwa njema.

Ni hayo tu.
Wala israel haiwaogopi hezbollah wewe subiri lebanon itawaka moto
 
Nchi iliyo katika hatari hapo ni Lebanon kwani wataponzwa na hao magaidi wa Hezbollah, nchi zingine za kiarabu hazitaki kabisa vita na Israel kwani wanafahamu madhara yake.
 
Back
Top Bottom