DesertStorm
JF-Expert Member
- Nov 22, 2015
- 3,131
- 2,537
nan anapaswa kuwalinda hao watoto na wanawake ? je hamas wanawaachaj raia wao wanapigwa wao wanakuwa wap ? ebu jichunguze vzr unaeza kuwa na matatizo ya akili , idf wanaingia mpk Gaza hao hamas wanakuwa wap muda wote huo , mambo mengine hauhitaj kuelezewa , acha kuwa msukule
Palestina haina ndege wala jeshi, wana migambo, na ndio hao wanawasumbua watu wa taifa lenu teule, wangelikua na jeshi na silaha kubwa asingejaribu kuingiza guu lake jiji la Gaza au Rafah, pamoja na yote hayo na bado wamefeli, tena sana idf wanaendelea kuuawa, huku wakiendelea kuuwa civilians.
Pili, israel wanatumia anga kubomoa majumba, hospitali, sehemu za ibada, watoto, wamama, wazee wanakufa. Idf ndicho wanachoweza huku wakiendelea kuomba kusaidiwa na swahiba wake.