Hivi hawa Hesboullah mbona Israel kama anawaogopa kuliko Iran?


Palestina haina ndege wala jeshi, wana migambo, na ndio hao wanawasumbua watu wa taifa lenu teule, wangelikua na jeshi na silaha kubwa asingejaribu kuingiza guu lake jiji la Gaza au Rafah, pamoja na yote hayo na bado wamefeli, tena sana idf wanaendelea kuuawa, huku wakiendelea kuuwa civilians.

Pili, israel wanatumia anga kubomoa majumba, hospitali, sehemu za ibada, watoto, wamama, wazee wanakufa. Idf ndicho wanachoweza huku wakiendelea kuomba kusaidiwa na swahiba wake.
 
Nisisikie mnasema anauwa akina mama na watoto
Unadhani hamas hawa, israel vita ya hamas imexpose madhaifu yake , hawawezi vita kamili na hawana human resource maana hadi sasa jeshi limeonyesha wazi wazi kupingana na serikali, huku baadhi ya wanajeshi wakigoma kupigana, wengi kujiua na makamanda wakuu kujiuzulu
Huku netanyahu akilazimisha kupigana wakati irone dome ambayo imetengenezwa marekani waliyoitengeneza wamekiri haitaweza kuwasaidia dhidi ya silaha nzito za hezbollah, na marekani anaingia kwenye uchaguzi hataki kuinhia kwenye vita kipindi hiki ndio maana amesitisha kupeleka silaha ili kuzuia netanyahu asiingie kwenye vita
 
Israeli ndo amepandikiza watu uoga kuwa ili aogopwe safari ameumbuka
 
Angalia Beirut itakavyokuwa 2025
 
Israeli anaiogopa hezbolla?..... Nitakukumbusha kitakachowafika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…