Hivi hawa watu wanalipwa na hizi redio?

Filbert kenshambi.
Josefu bundala.
Kashinje mjomba wa watu baadhi.
Simoni shauri baba ombeni.
Hawa watu kila nikisikiliza dw wanatuma sana ujumbe na ni kitambo sana
 
H
Hamna inshu kama hio Sema ni utaratibu au desturi mtu amejiwekea kuwa anasikiliza vipindi hivo yanakuwa ndio maisha yake ya KILA siku
 
Huu ndio ukweli.
Kuna siku redio moja nasikiliza kipindi cha salamu mtangazaji akataka kujisahau akamwaga kodi kidogo nilimuelewa na ilikuwa hivyo maana alisoma sms mtu analalamika kila siku hawasomi jumbe zake.
 
Naam, Wajadi fundi Wajadi... umesomeka... tuma salamu kwa raia watano humu...
 
Filbert Kiyauke
 
1. Zakaria Ndemfoo
2. Papaa Mutalika na Tunduma
3. Sanifu Lazaro Tingisha
4. Chesco mzee wa Matunda
5. Lawena Nsonda
6. Tamtam Salam club Arusha
 
Mchina wa mtwivila
Na kuna mwamba wa makongorosi chunya
 
Kama wewe unavyokula mahindi ya kuchoma na ndimu na wao ndio furaha Yao kupiga simu redioni.
 
Kuna jamaa aliwika Sana miaka ya nyuma RFA aliitwa Muhiri Obhare. Sijui yupo wapi siku hizi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…