Hivi haya mabanda ya Machinga kila kona Dar wameshindwa kuyadhibiti?

Acha ujinga ww......
binadamu mwenye akili anatakiwa apangilie mambo......
sio kufanya biashara hovyo hovyo Alaa!!
 
Serikali imeajiri watu Laki 5 tu kati ya watanzania Milioni 60 na imeshindwa kuwadumia.

Leo tena Kibwengo kwa roho yake ya Korosho, kakosana na Wazungu ambao labda wangewekeza miradi mikubwa na kuajiri wtanzania wengi. Yeye Kawakumbatia wachina ambao wanawekeza kwenye Mabonanza ya bahati nasibu.

Kwahiyo watu wenye mabanda kila mmoja anajaribu kutafuta namna ya kusukuma siku baada ya hali kuwa teteeee
 
Mada muhimu sana hii.

Kuna mwanamuziki wa zamani, nadhani Justine Kalikawe aliwahi kuimba kuwa wamachinga ni bomu. Kimsingi, serikali imekuwa inalilea na kulipetipeti hili bomu kwa kuwa wamekosa kuja na suluhisho la ajira.

Tushukuru ujio wa bodaboda, bajaji na kina Diamond/Harmonize unawakeep busy kidogo.
 
Dada futa kauli yako hyo.....watu tuna mitaj ya mpaka mil50 huko huko barabaran..na kama hujashtukia hilo dili kaa hivyo hvyo..acha dharau kabisa kwa kitu usichokijua.....acha kabisaaaa
 
Achana na huyo ku..ma
 
Mkuu unaakili ndogo sana....na umekurupuka hata hujaelewa mada...na inaonekana ww hata nchi ya jiran yoyote hujaenda....hebu vuka boda kidogo afu utajua watu wanavyofanya vitu kwa utaratibu. Usiwe na akili za bashite
We mse.nge ushafika lagos..kuna uwezekano wew ndio hujatembea...nenda india...mpaka chicago vibanda vipo.we unaongea nin wew...sis wengne tushatembea huko kote..usidanganye watu.vibanda viko dunia nzima kwa level yake na machinga wapo dunia nzima kwa level zao...labda ulaya ndo hakuna...scandnavia huko
 
Halafu ukileta hoja kama hii wanatafuta public sympathy ya kua hawathaminiwi,
Huwezi ukapiga hatua kwa kuendekeza huruma, Na ndio shida wa Maskini wengi, Anategemea sana huruma na msaada na sio Mipango na sera nzuri.

Mwenzako kakodi fremu k.koo analipia kodi mpk 2M kwa mwezi, wewe unakuja na kichanja chako unamuwekea nje ya biashara yake,
Unamkingia view kwa wateja,
Isitoshe unaweka bidhaa kama zake kwa bei ya debe, na kero kibaoo.

Katika mazingira kama haya unaona kabisa huruma kwa huyu inamuumiza mwenye haki.

Logic kubwa ya machinga ni kupata faida kubwa kwa gharama ndogo, na sio uchumi mdg kama wanavyotaka waonekane,
Chinga wengi k.koo akija mtaani ana uwezo wa kusimamisha duka kabisa,

Au chukulia mfano wale wa pale ubungo pembezoni mwa kituo cha mabasi, Mtu ana banda kubwa vile limejaa juu, chini na ubavuni, kumzidi hata aliyesimamisha fremu mtaani.
 
Watenge maeneo maalumu kwa shughuli hizo sa umachinga yaani masoko na magulio sio kutapakaa hovyo hili la uchafu chanzo kikuu na hawa wafanyabiashara wa vibanda mijini
 
Ningekuwa na uwezo ningevunja vibanda vyote kwenye hizi barabara kuu za mijini..watu warudi vijijini wakalime..sio kujaza mijini kufanya uchuuzi na kuchafua chafua miji na kodi inayolipwa hata hamna.
 
Ningekuwa na uwezo ningevunja vibanda vyote kwenye hizi barabara kuu za mijini..watu warudi vijijini wakalime..sio kujaza mijini kufanya uchuuzi na kuchafua chafua miji na kodi inayolipwa hata hamna.
Tena wakalime Korosho kabisa, Magu atanunua zote 🤣🤣🤣🤣
 
Watenge maeneo maalumu kwa shughuli hizo sa umachinga yaani masoko na magulio sio kutapakaa hovyo hili la uchafu chanzo kikuu na hawa wafanyabiashara wa vibanda mijini
Hata siku moja machinga hauzi sokoni. Duniani kote hili la kuhamisha machinga kwa kuwajengea au kuwatengea soko halijawahi fanikiwa. Hata sijui ni kichwa maji gani alimshauri JK kujenga machinga complex.
 

Dah!! Watu wanatafuta mlo wa siku unaita uchafu. Unachojali ni taswira ya mji na sio maisha ya watu.
 
Tatizo ni kwamba hayo mabanda manispaa wangeweza kukaa chini na kupanga kuja na vibanda vya kisasa na vya kuvutia ili miji ipendeze na wakati huohuo vijana wapate ajira. Imagine nyanya, vitunguu, mbogamboga vinapangwa chini, sometimes kwenye mimaji michafu??

Sent from my TECNO L9 Plus using JamiiForums mobile app
 
Sisi Vijana tukajiajiri Wapi? Mashamba I au Vijijini hakuna Ishu.
 
Tumekwishachelewa. Pindi tatizo kama hili linapojitokeza ni vyema kuchukua hatua haraka. Kwa sasa jinsi mambo yalivyo kuwaondoa hawa wafanyabiashara wa pembezoni kwa barabara ni kuleta vurugu ambayo inaweza kusababisha hata vifo. Kwanza idadi yao ni kubwa sana na hilo virumai usipime.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…