Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
Maana bila pesa hapo katikati ni sawa na hasara kwenye biashara. mapenzi hayafanyiki kabisa..
Mtu moja ana hudumia au kuhumiwa na michepuko zaidi ya minne,
ukavu na msinyao wa via vya uzazi ni wa kupindukia..
Bila pesa wapenzi hawakutani, lakini pia bila fedha hakuna mawasiliano ni ukimya tu, bila pesa hakuna maelewano,
uaminifu unaanza kuchuja...
vurumai, vitimbi na malumbano hayaishi..
Zaidi sana hakuna uvumilivu, ustahimilivu wala subra kwenye pesa, ni kwa wachache sana hili linafanyika na ni nadra sana kubaini..
Kumbe basi, vijana,
ake kwa waume, ni muhimu sana kumake money vya kutosha ili kupata utulivu na kuenjoy mapenzi ya dhati na biashara ya mapenzi kwa pamoja, other wise utapata tabu sana aise 🐒