Hivi haya yanayofanyika siku hizi ni mapenzi kweli au biashara ya mapenzi?

Hivi haya yanayofanyika siku hizi ni mapenzi kweli au biashara ya mapenzi?

Kulaa kimasiharaa au liwaa kimasiharaa usepee……….. dunia hawezii kukuonea hurumaa kisa umeumizwa na mpenzii
 
K- inayonuka haivumiliki abadani
huenda una tatizo la kiafya,

hivi ukikatiza feri ile smell ikikupiga puanni hadi utosini unapaki gari unaiacha kukimbia harufu au?🐒

we ni wa dar ee,
mapenzi yanahitaji kuvumiliana sana...
 
huenda una tatizo la kiafya,

hivi ukikatiza feri ile smell ikikupiga puanni hadi utosini unapaki gari unaiacha kukimbia harufu au?🐒

we ni wa dar ee,
mapenzi yanahitaji kuvumiliana sana...
na MUDA huu Niko hapa lakini ogopa mnuko wa hiyo...njoo hapa kontena upande wapili hapa nipo nahesabu meli
 
na MUDA huu Niko hapa lakini ogopa mnuko wa hiyo...njoo hapa kontena upande wapili hapa nipo nahesabu meli
hata hivyo,
hiyo inabaki kua ni kumbukumbu muhimu sana katika historia yako ya mahusuno 🐒
 
Nina mpango niende kanda ya ziwa hasa nimepanga iwe ngara vijijini kabisa huko na nikifika huko nataka niishi maisha yasiyo ya uhalisia wangu nataka nijifanye ni maskini sana labda naweza kupata mke atakaenipenda
Hii pia kwa sasa sio nzuri maan hata uko vijijini watu wameshavurugwa, kingne wanawake weng akili zao zinaendana hata awe msomi ktk mapenzi ujinga wao unakuwa the same
 
Maana bila pesa hapo katikati ni sawa na hasara kwenye biashara. mapenzi hayafanyiki kabisa..

Mtu moja ana hudumia au kuhumiwa na michepuko zaidi ya minne,
ukavu na msinyao wa via vya uzazi ni wa kupindukia..

Bila pesa wapenzi hawakutani, lakini pia bila fedha hakuna mawasiliano ni ukimya tu, bila pesa hakuna maelewano,
uaminifu unaanza kuchuja...
vurumai, vitimbi na malumbano hayaishi..

Zaidi sana hakuna uvumilivu, ustahimilivu wala subra kwenye pesa, ni kwa wachache sana hili linafanyika na ni nadra sana kubaini..

Kumbe basi, vijana,
ake kwa waume, ni muhimu sana kumake money vya kutosha ili kupata utulivu na kuenjoy mapenzi ya dhati na biashara ya mapenzi kwa pamoja, other wise utapata tabu sana aise 🐒
sasa hao vjana ake inabd uwatoe mana wenyewe ndo wanataka pesa na sasa usiwaweke hapo
mana changamoto sana HIKI KIZAZ CHA Z n shda sana pesa ndo kila kitu Dear msomi pamoja na ngoma ya langa na lady jdee uhalsia upo umo
itafute inaitwa pesa
 
Back
Top Bottom