Hivi haya yanayofanyika siku hizi ni mapenzi kweli au biashara ya mapenzi?

Take note! Mwanamke kuwa na mchepuko zaidi ya wawili watatu ni asset kwake ila mwanaume kuwa na michepuko ni liability kwake
mapenzi yamekufaya ukawa CPA gentleman, si mchezo πŸ’
 
Ulitaka mapenzi yawe bure bure?

kama ni hivyo,
basi bei ishushwe kidogo ili wengi waweze kuafaord maana inaonekana gharama inaongezwa kiholela ndio maana mahusiano mengi yana matatizo hivi sasa πŸ’
 
Yaishe mkuu umeshinda
 
Pesa haikupi mapenzi ya dhati, wenye mapenzi ya dhati huvumilia hali zote na siku hizi hawapo. Ila pamoja na hayo yote, ngono imekuwa rahisi na kupoteza maana yake sababu ya fedha.
 
Mapenzi yalikuwapo kabla ya pesa kuja.

So mkorofi ni yule anayeipa pesa umuhimu kwenye mapenzi as if siku zote na miaka yote pesa ilikuwa na umuhimu.

Shida wanawake zetu wa kisasa wana "entitlement mindset" sana. Kwao ni muhimu sana kutaka jambo hata kama sio stahiki yao ndipo wakupe mahusiano.

Imagine mtu anataka uwe na gari, nyumba vyote viwe vya gharama, uwe na salio kubwa benki ili wakupe thamani ya kuwa mume katika maisha.

Ila ukiwaambia tuanze vitafuta hawakuelewi.
 
Mbn tabu yenyewe tushaiona na tunaikumbatia mzee tuachekwanza ndoa ni utapeli πŸ˜‚ kataaa
 
ni kweli kabisa mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…