Hivi Hayati Magufuli angekuwa hai hali ingekuwaje mpaka sasa

Sidhani.....hakushaurika yule..

Tena ukimshauri ndio umeharibu kabisaaaaaaaaaa....
Kuna mambo angejikuta tu mfumo wa unambadili msimamo wake unless awe genius mno kupigana na mfumo na kuushinda.

Mfano mabank kukosa deposit kutoka kwa wafanyabiashara sababu ya kushikilia fedha za wafanyabiashara na serikali kuondoa fedha zake kwenye mabank ya biashara huwezi ng'ang'ana na huo msimamo, otherwise utafeli vibaya na huwezi tengeneza wafanyabiashara wapya lazima urudi kwa wale wale ambao ni sehemu ya mfumo.
 
Uchumi wetu ingepaaaa kwa aslimia 9 uchumi wa Kati haswa aa
 
Kwanza umeongea hoja dhaifu sna eti chumvi viwwanda vilifungwaaa HV shule mlikwenda kusomeaa ujinga nn
 
Uchumi na kuongeza mishahara wapi kwa kwapi .mimi pato langu kiiongezeka sio laazin niongeze nguo .ninawa kuongeza hata kiwanja , na siku nikikiuza utaweza ukFikir I
Mimi ni mchawi kumbi ni akali tu
Aliyeelewa hii comment aweke tafsiri p'se.
 
Akuongeze mshahara kwa kazi gani?

Sent from my SM-A225F using JamiiForums mobile app
 
Naunga mkono hoja mkuu. Sisi watu weusi tuna unafiki wa damuni kabisa.
 
Utukufu wa Mungu ni wa ajabu sana !
 
Kwenye utawala wake nilikuwa namuuliza Mungu mara Kwa mara "tutaishi hivi hadi lini?"
 
angefufuka[emoji10][emoji10][emoji10]
 
Tungekuwa uchumi wa chini kabisa ila tungeambiwa tupo uchumi wa juu ndugu zangu(right track)
 
Heri ya Magufuli mara 100,kuliko huu uchawa wenu wa kujikombakomba usio maana yoyote. Totally failure
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…