DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Marafiki wangu waliooa yaani wamechoka Sana wanaishi Maisha Magumu Sana yaani unaweza ukajiuliza Mtu kabla Hana ndoa he was smart anafua ,anaoga ananunua nguo lakini akioa anageuzwa msukule wa Mtu .Kujipenda kunaanzia kwako. Nunua nguo yeye atakusaidia kuzitunza na kukuandalia upendeze
Ni kweli ulichosema.Kujipenda kunaanzia kwako. Nunua nguo yeye atakusaidia kuzitunza na kukuandalia upendeze
Ni maboya. Mwanaume kamili hageuzwi msukule na wala hapelekeshwi na mwanamke.Marafiki wangu waliooa yaani wamechoka Sana wanaishi Maisha Magumu Sana yaani unaweza ukajiuliza Mtu kabla Hana ndoa he was smart anafua ,anaoga ananunua nguo lakini akioa anageuzwa msukule wa Mtu .
Kataa ndoa ni utapeli
Aisee shati kuvaliwa zaidi ya mara moja ? Na hilo joto jasho vipi? Ukiwa na mkeo sidhani kama atakuacha uvae kwa kurudia nguo, anatakiwa kukuandalia nguo za week nzima bana. Wanaume mnajidai wagumu hadi kwenye nguo eti bila hivo ni dalili ya kuleft group, yaani kuwa nadhifu ni kuleft group aahπMark Zuckerberg anamiliki Facebook na instagram lakini yeye aliamua awe ananunua na kuvaa t-shirt za aina moja kila siku ili asubuhi asipoteze muda mwingi kuchagua nguo ya kuvaa, kwhyo kila siku anaonekana hajabadilisha t-shirt had watu wamemkariri ila hajali ye anaangalia mambo yake muhimu.
Wanaume wengi tunakuaga hivyo mwenye nguo nyingi ana shati/t-shirt 4, suruali 4, na viatu pea 3, unachotakiwa kuzingatia ni rangi ya nguo tu usipende nguo zinazo waka sana ukawa unaonekana kwa mbali Kama demu, shati 1 isipochafuka unavaa leo na kesho yaani siku mbili hapo maana yake wiki nzima inaisha hujaonekana na nguo moja mara nyingi
Kiatu kisipochafuka Kama we ni sharobaro unavaa siku 3 Kama ni mgumu mwenzetu unavaa wiki 1, ukirudi pale kwenye nguo kila ukibadilisha unafua usirundike nguo ndani, alaf wiki inayokuja unabadilisha suruali uliyo ivalia t-shirt flan wiki iliyopita unaibadilishia t-shirt, yaani hapo unamaliza mwaka mmoja hakuna anae kukariri kwa mavazi.
Mwanaume kuwa na nguo nyingi sana ni dalili ya kuleft group
Hakuna ambaye hajisacrifice kwaajili ya mwenzake, ni vile tu majukumu ni tofauti.Ni kweli ulichosema.
Ila wakati mwingine tunajisacrifice sana kwa ajili ya mke na watoto mpaka tunajisahau
Sasa hapa ndipo mke mwema atafanya juu chini ili mume naye asijisahau
Cha muhimu kataa Ndoa ili uishi vizuri ,Ni maboya. Mwanaume kamili hageuzwi msukule na wala hapelekeshwi na mwanamke.
Wewe endelea kukataa..wenzio wanaendelea kutuoa. Maisha ni kuchagua uzuri ni kwamba hakuna kupangiana.Cha muhimu kataa Ndoa ili uishi vizuri ,
Unachomwa na jua ili kumuhudumia Mwanamke ambaye Hana anachokusaidia zaidi ya Sehemu yake chafu ya mkojo huku ukikupa msongo wa mawazo na kuua uchumi wako kataa Ndoa.
Tunakula ndio si wanatupa wenyew lakiniπππMbona hao cha wote hela zao mnakula? π
HeeππNdoa ni kaburi
Siku zote wajinga hawaishagi wanakufa na kuzaliwa.Wewe endelea kukataa..wenzio wanaendelea kutuoa. Maisha ni kuchagua uzuri ni kwamba hakuna kupangiana.
Sijakuelewa hapa Demi ?Nyie mke akijisahau mnaenda kutafuta mwanamke mwingine
Ndo hivyo. Kufa na kuzaliwa ndo mpango wa Mungu.Siku zote wajinga hawaishagi wanakufa na kuzaliwa.
πππ hivi bado wapo wanaotoa wenyewe bila kupigwa kizinga?Tunakula ndio si wanatupa wenyew lakiniπππ
Msipojiongeza the days to come mtashuka zaidi maana kizazi hiki Cha leo kinajitambua Sana.Ndo hivyo. Kufa na kuzaliwa ndo mpango wa Mungu.
Hivi sijajua kwa nini wanawake mnakuwa wakali sana tukisema hatuoi.Wewe endelea kukataa..wenzio wanaendelea kutuoa. Maisha ni kuchagua uzuri ni kwamba hakuna kupangiana.
Anawazia watoto wake wa kike jinsi watakavyokuwa single mothersHivi sijajua kwa nini wanawake mnakuwa wakali sana tukisema hatuoi.
Yaani tusioataka kuoa mnatuchukia sana
Shida ni nini kwani?
Ni nadra sana siku hizi kukuta mwanamke analalamika...hata hapa jf nyuzi nyingi ni mwanaume analia. Sasa hapo jibu unalo nani anateseka zaidi.Msipojiongeza the days to come mtashuka zaidi maana kizazi hiki Cha leo kinajitambua Sana.