Hivi hii hali ni kutaka tu wenyewe au kujisahau?

Ni kweli maana kuna wanaume wameleft group tayari ila sisi wale wanaume toleo la kwanza suala la kubadilisha nguo kila siku huo tunaona ni udada
🤣🤣🤣🤣🤣
 
Nilisema tutaelewana tu.
Naona somo limeanza kuwaingia.
#KATAANDOA #KATAAUTUMWA
 
dah!

waoaji hao wamefeli mahali...line zikiingiana watarudi kwenye ubora wao!
 
mkiambiwa wanawake wengi wana roho mbaya mnakuja juu
 
mkiambiwa wanawake wengi wana roho mbaya mnakuja juu

Perspectives mkuu!

Ukiziona roho mbaya zao, wanakuwa hivyo - wabaya.

Ukiona wema wao, wanakuwa wema.

Wao pia wanaona wanaume kwa perspectives (mitazamo) hii. Imesemwa; uhondo wa ngoma ni vile uichezavyo
 
Maisha noma brother hamna kitu kibaya kama kuzaa mfurulizo af kipato hakiongezek kipo palepale...
 
Perspectives mkuu!

Ukiziona roho mbaya zao, wanakuwa hivyo - wabaya.

Ukiona wema wao, wanakuwa wema.

Wao pia wanaona wanaume kwa perspectives (mitazamo) hii. Imesemwa; uhondo wa ngoma ni vile uichezavyo
lakini kati ya wanaume na wanawake, wanawake ni wabinafsi sana.
 
Mwanamke anaweza kweli kutaka kununua nguo kwa ajili ya mme/mpenzi wake lkn she will go for the lowest deal.

Asipokushonea kitenge basi atakubebea mitumba ya hamsini kitu, kadeti la buku 7 au lijinzi lipanaaa...

Kama ni kiatu, utaletewa Mokasino hiyo bonge la Kisigino....Halaf bado atataka umsifie eti kakuletea kiatu kizuri

Mimi huwa sitaki kabisa na alishajua
 
Mwanamke anaweza kweli kutaka kununua nguo kwa ajili ya mme/mpenzi wake lkn she will go for the lowest deal.

Asipokushonea kitenge basi atakubebea mitumba ya hamsini kitu, kadeti la buku 7 au lijinzi lipanaaa

Mimi huwa sitaki kabisa na alishajua
Ha ha ha,kumbe!
 
🤣🤣🤣🤣Hataree
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…